Afya_code's profile picture. Turning BOYS into Men| Afya imara ya Uzazi 

https://chat.whatsapp.com/FZmP7C7dBvQ2ApKlwCfrLY

Health with Mhando 🩺

@Afya_code

Turning BOYS into Men| Afya imara ya Uzazi https://chat.whatsapp.com/FZmP7C7dBvQ2ApKlwCfrLY

Pinned

Happy New Month... Ni siku nyingine njema tena na Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii aliyotupatia Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa bado nipo kwenye maandalizi ya E-book yako ya #KuwaNiceGuyniUgonjwa Hivyo tarehe rasmi ya e-book kutoka nitaitaja Nashukuru kwa…


Health with Mhando 🩺 reposted

Kweli bro Ukweli mtupu 🔥 Kujwekeza binafsi huongeza thamani yako ya ndani na nje. Kadri unavyokua na ujuzi, ndivyo thamani yako sokoni inavyoongezeka — hiyo ndiyo ROI halisi ya maisha.


Health with Mhando 🩺 reposted

✊️

davitheempire's tweet image. ✊️

Health with Mhando 🩺 reposted

December 9 Tutasherehekea mwisho wa utawala wa Mwingereza katika ardhi ya Tanganyika


Health with Mhando 🩺 reposted

Hiyo wakuu tunaita Shit Test ya power shifting au Dominance Akiacha kukutafuta na mara ya mwisho wewe ndio ulimtafuta sit back and relax Ikipita muda akakucheki na malalamiko umeshinda na umemtawala Anatest kama una desperation ya Attention yake


Health with Mhando 🩺 reposted

📌📌💔🙏

Tinahcristiaan's tweet image. 📌📌💔🙏

Health with Mhando 🩺 reposted

Usiku huu Nmeaona! Mungu kaanza kuweka HUKUMU katika kila kiti ambacho si cha HAKI! ANGALIZO!! Endapo kama wewe kiongozi, umepoka nafasi ya Kiti ktk ngazi yoyote na si Halali, nakushauri ACHANA nacho kwa salama yako. Ukikaidi, LAANA na AIBU itakuwa Hadi KIZAZI chako chote!

sajo_mwaihabi's tweet image. Usiku huu Nmeaona!

Mungu kaanza kuweka HUKUMU katika kila kiti ambacho si cha HAKI!

ANGALIZO!!

Endapo kama wewe kiongozi, umepoka nafasi ya Kiti ktk ngazi yoyote na si Halali, nakushauri ACHANA nacho kwa salama yako.

Ukikaidi, LAANA na AIBU itakuwa Hadi KIZAZI chako chote!

Health with Mhando 🩺 reposted

Kwa bahati nzuri historia huwa haisahau, Hata ipite miaka mingapi. Haitasahulika kuwa mliwahi kuwa washiriki wa kupora UHAI wa watu wasiokuwa na Hatia. Vyombo vyetu vya habari ni vibaraka kwa Watawala 💔

CLOUDS MEDIA GROUP inasikitika kutangaza kifo cha aliyekua mfanyakazi wake Master Tindwa Mtopa, kilichotokea Oktoba 30, 2025 na kuzikwa Novemba 3, 2025 kwenye Makaburi ya Mama Kibonge yaliyopo Buza Jijini Dar es salaam. Clouds Media Group inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na…

CloudsMediaLive's tweet image. CLOUDS MEDIA GROUP inasikitika kutangaza kifo cha aliyekua mfanyakazi wake Master Tindwa Mtopa, kilichotokea Oktoba 30, 2025 na kuzikwa Novemba 3, 2025 kwenye Makaburi ya Mama Kibonge yaliyopo Buza Jijini Dar es salaam.

Clouds Media Group inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na…


Health with Mhando 🩺 reposted

Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema. Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.


Health with Mhando 🩺 reposted

Tunahitaji kuwatambua na kuwakumbuka wote waliouliwa wakipigania Taifa letu. Hatutasahau na tunataka uwajibikaji. Rest in power, compatriots.

TitoMagoti's tweet image. Tunahitaji kuwatambua na kuwakumbuka wote waliouliwa wakipigania Taifa letu. Hatutasahau na tunataka uwajibikaji. Rest in power, compatriots.

Health with Mhando 🩺 reposted

Siku zote, Akili inapofungwa, hata mwili hauwezi kuwa huru...🥲 Haswa katika kipindi hiki ambacho maisha yanazidi kuwa magumu kwa wengi, msongo wa mawazo, hofu, na maumivu ya ndani.... Kutoa hisia zako si udhaifu, Ni hatua ya kwanza ya kujiponya.... Afya ya akili ni uti wa…

ItsMrHealth's tweet image. Siku zote, Akili inapofungwa, hata mwili hauwezi kuwa huru...🥲

Haswa katika kipindi hiki ambacho maisha yanazidi kuwa magumu kwa wengi, msongo wa mawazo, hofu, na maumivu ya ndani....

Kutoa hisia zako si udhaifu, Ni hatua ya kwanza ya kujiponya....

Afya ya akili ni uti wa…

Health with Mhando 🩺 reposted

Mpaka sasa nina taarifa tatu za watu wa karibu na watu nnaofahamiana nao ambao wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi za vichwa At this point there shouldn't be turning back, wanatuzoea sana hawa mambwa😡🚮


29.10.2025 " My people suffer, my people dey there"


Health with Mhando 🩺 reposted

Mwanaume fanyia kazi " Self Esteem" yako na kila kitu kitabadilika Ukianza kujikubali kama ulivyo hautotumia nguvu kubwa kuishi nje ya Uhalisia wako ili ukubalike nje #KuwaNiceGuyniUgonjwa


Health with Mhando 🩺 reposted

Nilivyoacha kuwaza " Nikimwambia sijapenda alichofanya atajisikiaje/ atanionaje...?" " Yule demu nampenda lakini nikimwambia ataniona muhuni...Acha nile kwa macho" Kila kitu kilibadilika upande wangu Niliepuka friendzone . Nikapata pisi iliyonipenda MIMI KAMA MIMI…


Health with Mhando 🩺 reposted

Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali.. 🧵 Repost🔁 Follow @shabirnakamu Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka.. katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾

shabirnakamu's tweet image. Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali..

🧵
Repost🔁
Follow @shabirnakamu

Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka..

katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾
shabirnakamu's tweet image. Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali..

🧵
Repost🔁
Follow @shabirnakamu

Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka..

katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾
shabirnakamu's tweet image. Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali..

🧵
Repost🔁
Follow @shabirnakamu

Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka..

katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾
shabirnakamu's tweet image. Moja ya faida ya kusoma vitabu vya mindset ni kukufanya kuwa na MAONO (VISION) za mbali..

🧵
Repost🔁
Follow @shabirnakamu

Inawezekana wengi wetu hatufahamu uzito halisi wa kuwa na MAONO ya kueleweka..

katika andiko hili nitakuonyesha (kwa mifano halisi) ni kwa namna gani…👇🏾

Health with Mhando 🩺 reposted

Kuna content yake nitaielezea hili kidogo


Mara nyingi Nice Guys ndio set ya Wanaume ambao Wanawake hawawataki wakiwa kwenye prime yao Unajua kwanini...? #KuwaNiceGuyniUgonjwa


Jifunze kusema " HAPANA" kwa favours ambazo Wanawake wanataka uwafanyie Utagundua mengi na macho yako yatafunguka #KuwaNiceGuyniUgonjwa


Health with Mhando 🩺 reposted

Fanya makosa yote mbele ya Mwanamke ila usiwe Mwanaume dhaifu ( Nice Guy) Ukifanya kosa hili hautosamehewa kamwe na vile Wanawake walivyo wakatili kwa Wanaume dhaifu Kuwa mkarimu tu inatosha usiwe Nice utaumizwa #KuwaNiceGuyniUgonjwa


Health with Mhando 🩺 reposted

Tunaogopa sana hii kuwapoteza


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.