AINA ZA MAJINI NA NGUVU ZAO Majini mi jina maarufu la viumbe wenye asili ya kiarabu na kiajemi. Kulingana na Quran majini ni viumbe walioumbwa na mwenyezi Mungu kwa moto usio na moshi. Ingawa majini yametajwa kwenye Quran karibu mara 26 lakini 2alikuwepo kwenye hadithi za…
💨JINSI YA KUTUMIA SIMU YAKO KAMA MOUSE AU KEYBOARD – HATUA KWA HATUA (2025) Je, unajua unaweza kutumia simu yako kama mouse au keyboard ya kompyuta bila kununua vifaa vya ziada? Shuka 🧵👇 Retweet 🔄 ufike mbali
Muziki na Kidini Muziki unahusiana sana na roho za giza. Wengi wa mastaa maarufu leo wameshiriki katika mbinu za kishetani ili kufikia umaarufu. Hii ni kwa sababu, Muziki ni njia ya kuwasiliana na roho. Hata wale wanaodai kuwa wanachochea upendo, huweza kuingiza ujumbe wa giza…
Taa, Kamera, na Miungu ya Kale. Karibu tena. Leo tunatembea kwenye ardhi maarufu duniani kwa filamu, utajiri, na ndoto kubwa, Hollywood. Lakini nyuma ya pazia la red carpet, nyuma ya kamera na taa kali, kuna hadithi ndefu, nzito, na yenye harufu ya giza. Hii si tu hadithi ya…
💨 BATO LA TRUMP NA CHINA ▪️Trump kuongeza ushuru kwa China 30% kisha 84% ▪️China nayo ikaongeza hivyo hivyo ▪️Trump akaongeza tena ushuru hadi 145% ▪️China nayo ikajibu ▪️Trump akasema Xi ampigie simu ▪️Rais wa China akagoma kupiga simu ▪️Trump akatangaza kuwa atakuwa tayari…
Alifukuzwa na wenzie walio anzisha Paypal mpaka kumiliki Teknolojia kubwa ya anga duniani. NEVER GIVE UP - Safari ya mafanikio ni ndefu ina siri kubwa sana Swali ni namna gani Elon Musk mzaliwa wa South Africa alikuwa tajairi namba moja na apata vipi pesa kupitia anga? yaani…
Mchoro uliobadilisha Historia, Siri ya Yesu mweusi iliyofutwa na rangi nyeupe. Zamani, sanaa ilikuwa kama kamera ya leo. Michoro, sanamu na maandishi ya mkono vilikuwa vyombo vya kuhifadhi historia, mila, dini, na hata maono ya kesho. Kila kikwazo cha ulimwengu huu kama…
Kuna mambo ambayo mtu huyaona mbele ya macho yake kila siku, lakini bado moyoni huwa hajayakubali. Kuna maswali ambayo kila roho ya binadamu huwa nayo, ila jamii imetufundisha kuwa tuyaogope, yaseme kwa sauti ya chini, ama kabisa usiyaseme. Lakini leo, rafiki yangu, tuyamulike…
Hapa duniani kuna ulimwengu mwingine unaendelea na wewe huuoni, Ni ulimwengu wa kutisha na wenye viumbe vya kila aina. Kidogo wachawi wanauwekaga huu ulimwengu kwenye macho yetu. Unaambiwa tu Gamboshi ikifika usiku kunakuwa kama Marekani, maghorofa mengi, Huo ni ulimwengu…
Je, Kuna watu walioumbwa kabla ya Adamu na Hawa? Leo, tunaanza safari ya tafakari ya kipekee, tukielekea kwenye ukurasa wa mwanzo wa Biblia, kitabu cha Mwanzo. Mahali ambapo hadithi ya mwanadamu inaanza, lakini pia mahali ambapo maswali mengi ya kina yanaibuka. Tukitafuta…
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana, Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Na hakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake. Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti…
Kuna simulizi ambazo huzungumzwa kwa sauti ya chini, kana kwamba haziwezi kustahimili mwanga wa mchana. Lakini kwa wale wanaopenda kuchimba ndani ya maisha ya wanadamu maarufu, wanajua kuwa kila mafanikio makubwa huja na kivuli chake. Na hapa tunamzungumzia Katheryn Elizabeth…
Watu wengi wanapoisikia ngoma ya “See You Again”, mara moja wanakumbuka tukio la kusikitisha la kifo cha Paul Walker, muigizaji maarufu wa mfululizo wa Fast & Furious. Wengi huamini kuwa ngoma hii iliandikwa moja kwa moja kwa ajili ya kuenzi maisha yake. Lakini ukweli wa ndani…
Wanadamu na vitu vyote vilivyo hapa duniani ni Energy. Tunaweza kusema kuwa ni vibration. Na katika kwa mfumo wa consciousness hapa duniani tupo katika wavelength 7.23cm. Ndio maana unaweza ukaona kitu au ukagusa kitu kilicho kwenye mfumo huo. Hii ni namna ya vitu vinavyoishi…
Ukiambiwa upange mipango yako ya maisha, utapanga ya miaka kumi, pengine ishirini. Unajua kwa nini? Kwa sababu hutegemei kuishi milele. Akili yako inakuambia kuwa, baada ya muda fulani, hutakuwepo. Kwa hivyo, mipango yako inahusisha maisha yako tu na kile utakachoweza…
Leo nitaongelea imani ya kuunganisha ulimwengu wa roho kupitia maagano ya damu. Kwa wale wanaofuatilia vitabu mbalimbali vya dini watagundua kuna uhusiano mkubwa sana wa damu na ulimwengu wa roho. Kuna habari ya Kaini kumuua ndugu yake Abel, baada ya Abel kuuliwa Mungu alisema…
Kwa nini kuna Korea mbili? Historia iliyosababisha igawanyiko. Leo hii, tunajua dunia ina nchi mbili zinazoitwa Korea Kusini na Korea Kaskazini. Moja ikiwa na mfumo wa kidemokrasia na maendeleo makubwa, nyingine ikiwa na utawala wa kiimla na usiri mkubwa. Lakini je, unajua…
" NINI CHANZO NA SABABU YA KIFO CHA " BRUCE LEE" . Ilikua Ni May 10th Mwaka 1973 Bruce Akiwa Katika Studio Za Golden Harvest Studios Ilikua Ni Kipindi Ambacho Alikua Akitayarisha Mzigo Wake "Enter The Dragon" Sasa Baada Ya Kazi Nzito Ulifika Muda Wa Mapumziko Kidogo Ambapo Bruce…
Chumvi imebeba Siri ya usafi wa Mwili, Mali na Bahati njema. Katika ulimwengu huu wenye mambo yasiyoeleweka, watu wengi hutafuta njia za kujikinga na mikosi, kujisafisha mwili na roho, na hata kuimarisha hali yao ya kiuchumi. Wengine hukimbilia kwa waganga, wengine hutafuta…
United States Trends
- 1. Josh Allen N/A
- 2. Josh Allen N/A
- 3. Bo Nix N/A
- 4. Cooks N/A
- 5. Seahawks N/A
- 6. #BUFvsDEN N/A
- 7. Sean Payton N/A
- 8. Mahomes N/A
- 9. McDermott N/A
- 10. Seattle N/A
- 11. Shaheed N/A
- 12. Romo N/A
- 13. The NFL N/A
- 14. AFC Championship N/A
- 15. #SFvsSEA N/A
- 16. Sutton N/A
- 17. Joe Brady N/A
- 18. No Lamar N/A
- 19. #NFLPlayoffs2026 N/A
- 20. Prater N/A
Something went wrong.
Something went wrong.