Exavery Simukuka
@ExaverySimukuk2
librarian(rtd)
Waisrael wana Makazi yao yanayoitwa Kibbutz ambayo yanafanana na Vijiji vya Ujamaa. Kwenye Kibbutz watu wanaishi kwa Kufanya Kazi na Kugawana kwa Usawa kinachopatikana. Wanajenga huduma zao za Kijamii Kama Shule, Hospitali nk. Faida wanayopata wanaiwekeza tena ndani ya Kibbutz.
Footage of operations carried by Islamic Resistance against Zionist bases.
“There is something about safari life that makes you forget all your sorrows and feel as if you had drunk half a bottle of champagne — bubbling over with heartfelt gratitude for being alive.”#sophytours #DadaMuhifadhi Travel with sophytours 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫶❤️❤️
WITO KWA WAKAZI WA MBEYA
Papa Francis amesema akifariki asizikwe ndani ya Kanisa la Mtakatifu Petro huko Vatican, Kama ilivyo desturi ya Mapapa, bali azikwe kwenye Kanisa la Maria Maggiore lililopo Roma. Francis atakuwa Papa wa Kwanza kuzikwa nje ya Vatican katika kipindi cha zaidi ya Miaka 100 iliyopita
ما هو أعلى مقام وصلت إليه السيدة فاطمة الزهراء عليها السلام؟
مِنَ الْمُؤْمِنِينَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَيْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ يَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِيلاً "عاش مقاوما ومات شهيدا." من تشييع شهيد المقاومة محمد شيث في بلدته كفركلا الحدودية في جنوب لبنان
#HABARI Waziri wa Mambo ya Nje @JMakamba amesema kuwa kijana wa Kitanzania Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel, ambaye alikuwa akitafutwa tangu Oktoba 7, 2023 mara baada ya wanamgambo wa Hamas kuishambulia Israel, imebainika kwamba aliuawa mara tu baada ya kutekwa na…
VIDEO: Kikawaida ni ngumu kuthubutu, ngumu kucheza na moto na ni ngumu kuamini kama gari linaweza kupita juu ya tiles na zisipate hata mchubuko.......... haya yote nimeyasema baada ya Kampuni ya ABC kuziingiza Tanzania tiles ambazo ni mkataba wa kudumu kutokana na ubora wake…
Israeli soldiers filming themselves inside a mosque singing Hanukkah songs trampling with their shoes inside, is a call to all Muslim Leaders to stand up against them, cut all sorts of relations, and hit them where it hurts the most.
Ruzuku ni kwa mujibu wa kura walizopata, hata hao wabunge ni kwa mujibu wa kura za urais
Uhalali hawana walipaswa kujiuzulu
Ishu ya Wabunge haihusiani na Ruzuku
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba @jmakamba amesema wamejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, Kijana wa Kitanzania aliyekuwa anasoma nchini Israel, na ambaye walipoteza mawasiliano nae tangu tarehe October 07, 2023, na…
Kina Halima Mdee waliiambia Mahakama kuwa hawakupewa nafasi ya Kusikilizwa na CHADEMA. Mahakama baada ya kujadili hoja hiyo imeridhika waombaji walipewa nafasi ya kusikilizwa na CHADEMA lakini hawakutaka kuitumia. Kilichobaki ni maamuzi ya Mahakama.
📍Songea ▪️Aliyekuwa Mpambe -ADC wa Rais Jakaya Kikwete na Rais John Magufulu Meja Jenerali Mkeremi ala Nondozzz Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy leo hii tarehe 14 Disemba 2023 ametunikiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo…
Israel inasaidia dunia kupigana na Ugaidi, na imekuwa ukuta kuwazuia Magaidi kuenea kwa Kasi
“CHADEMA itakachokifanya ni kuwa Itawatoa wale Wajumbe waliokuwepo kwenye Kamati kuu halafu pia Wakakuwepo kwenye Baraza kuu. Halafu Kisha Baraza Kuu lifanye Maamuzi tena” Dickson Matata, Wakili wa CHADEMA.
United States Trends
- 1. #Worlds2025 44.2K posts
- 2. Doran 18.2K posts
- 3. #T1WIN 28.3K posts
- 4. Faker 31.9K posts
- 5. Sam Houston 1,611 posts
- 6. Oregon State 4,731 posts
- 7. Boots 29.5K posts
- 8. Lubin 5,878 posts
- 9. Keria 11K posts
- 10. #T1fighting 3,516 posts
- 11. Option 2 4,237 posts
- 12. #Toonami 2,728 posts
- 13. #GoAvsGo 1,605 posts
- 14. Hyan 1,448 posts
- 15. Frankenstein 126K posts
- 16. Oilers 5,355 posts
- 17. Louisville 14.4K posts
- 18. UCLA 7,809 posts
- 19. Nuss 5,485 posts
- 20. Nikki Glaser 1,007 posts
Something went wrong.
Something went wrong.