FixItWithTech's profile picture. Computer Science Engineer| Studied At SJCET| Web & App Developer  | Turning Ideas into Code| @SimbaSCTanzania, @ChelseaFC & @FCBarcelona.

AppVerseTech

@FixItWithTech

Computer Science Engineer| Studied At SJCET| Web & App Developer | Turning Ideas into Code| @SimbaSCTanzania, @ChelseaFC & @FCBarcelona.

AppVerseTech reposted

Tumerudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo ujao. #WenyeNchi #NguvuMoja

SimbaSCTanzania's tweet image. Tumerudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo ujao. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Tumerudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo ujao. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Tumerudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo ujao. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Tumerudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo ujao. #WenyeNchi #NguvuMoja

AppVerseTech reposted

#TajiriLaKihaya Ukweli mchungu ni kwamba TEAM FAM, imejipanga vilivyo… wamegundua kura hazipigiwa mitandaoni- wapo wanakimbiza saana vikao kwa wajumbe! Msiwaone wapo kimya hawapost mkafikiri wametulia… wanazunguka saaana hawa jamaaa! TEAM TAL, ni ukweli usiopingika kwamba…


AppVerseTech reposted

#TajiriLaKihaya Sema huku Afrika TAMAA Na UBINAFSI vinatutesa saaana aiseee💔💔 Haiwezekani nchi ambayo AJIRA ni tatizo - vijana wengi 25-35yrs HAWANA AJIRA. Lakini kuna watu wanamiliki Kazi zaidi ya moja tena wameajiriwa serikalini… Unapata mtu mmoja ni mjumbe wa body…


AppVerseTech reposted

"Hili baya na hatulisemi! Sasahivi Mashekhe, Viongozi wa Dini tumeanza Kukusanywa na kukusanyika kuomba amani. Lakini Hatukusanyiki kuomba Haki katika Nchi." Mhe. Othman Masoud;- Makamu wa Kwanza wa Rais ZNZ na M/Kiti wa Chama Cha ACT Wazalendo.


AppVerseTech reposted

Vijana wadogo wanazidi kupotea🥹

Mrsdaviee's tweet image. Vijana wadogo wanazidi kupotea🥹

AppVerseTech reposted

. @naythetrueboy ft. Raydiance - Nitasema Verse mbili hazitoshi kabisa Emmanuel, tungepata hata verse nane hivi kwenye hii hotuba kwa Taifa. Anyways, mpo wachache sana wasanii wenye uwezo wa kusema mambo yanayoigusa jamii bila woga. Kuna gharama za kulipa lakini wewe ni MSHINDI


AppVerseTech reposted

Rais wa Kitaa @naytrueboy Ahsante Sana Umekuwa Msaani Bora Katika Nchi Yetu, Umekuwa Shupavu na Jasiri Wewe na @Roma_Mkatoliki Mmekuwa Wasanii Bora Kabisa wa Kikazi hiki🙏🏽


AppVerseTech reposted

Mazoezi mepesi. Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja

SimbaSCTanzania's tweet image. Mazoezi mepesi.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Mazoezi mepesi.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Mazoezi mepesi.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Mazoezi mepesi.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja

AppVerseTech reposted

Mkundu wako

Nafanya kazi na kampuni inaitwa BoniYai Sifanyi kazi na BONIFACE JACOBO Natangaza mayai kwenye bango hayajakamatwa mayai na polisi hadi niandike unavotaka



AppVerseTech reposted

TAARIFA: kamanda wetu @ExMayorUbungo hali yake sio nzuri kiafya kabisa anachechemea anaonekana walimpiga baada ya kurudi kutoka kufanya ukaguzi nyumbani kwake wamegoma kutoa zamana na sasa wanampeleka mahakama ya hakimu mkazi kisutu.

kuringechadema's tweet image. TAARIFA: kamanda wetu @ExMayorUbungo hali yake sio nzuri kiafya kabisa anachechemea anaonekana walimpiga baada ya kurudi kutoka kufanya ukaguzi nyumbani kwake wamegoma kutoa zamana na sasa wanampeleka mahakama ya hakimu mkazi kisutu.

AppVerseTech reposted

‼️ALERT‼️ Watu mnaojiandaa na safari ya kuja Dar es salaam kwa ajili ya maandamano msivae sare za Chama safarin Kwenye mabegi yenu msibebe nguo yoyote ya Chama wala kitu chochote ambacho kina nembo ya Chadema Mkiwa ndani ya Bus jitaidini msipige story za Siasa wala Maandamano.


AppVerseTech reposted

Shekh Ponda kaongea point kubwa sana kuhusu ugumu wa kuwatenganisha viongozi wa dini na siasa, nchi yetu ina dini kubwa mbili na hao wananchi ndio wanaunda serikali kupitia siasa so kuwadharau viongozi wao wa dini ni sawa na kuwadharau wananchi wanaowaamini viongozi wao wa dini


AppVerseTech reposted

UPDATE 15: 00 : KUTOKA OSTERBAY POLISI ALIPO BONIFACE JACOB. Mpaka muda huu majira ya saa tisa kamili alasiri, ndugu yetu @ExMayorUbungo bado hajapelekwa Mahakamana wala kupatiwa mdhamana kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu. Tumefika hapa toka majira ya saa tatu kamili asubuhi,…

Ntobi_'s tweet image. UPDATE 15: 00 : KUTOKA OSTERBAY POLISI
ALIPO BONIFACE JACOB.

Mpaka muda huu majira ya saa tisa kamili alasiri, ndugu yetu @ExMayorUbungo bado hajapelekwa Mahakamana wala kupatiwa mdhamana kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu.

Tumefika hapa toka majira ya saa tatu kamili asubuhi,…

AppVerseTech reposted

Wao wanatuona sisi kama Wanyama tunaopaswa KUTEKWA, KUUWAWA na KUUMIZWA. Lakini, sisi tunahitaji wao watekeleze wajibu wao kwa weledi. #FreeDeusdetithSoka

MsigwaMpenda's tweet image. Wao wanatuona sisi kama Wanyama tunaopaswa KUTEKWA, KUUWAWA na KUUMIZWA.

Lakini, sisi tunahitaji wao watekeleze wajibu wao kwa weledi.
       #FreeDeusdetithSoka

AppVerseTech reposted

#TANZANIA: VIONGOZI WENGI WALIOCHAGULIWA SIO TAKWA LA WANANCHI - WARIOBA "Katiba imeweka utaratibu kwa kuwa siyo wote wanaoweza kushiriki katika uendeshaji wa nchi, Katiba imeweka utaratibu kuwawezesha wachague wawakilishi wao. Tujiulize tunapofanya tathmini, wananchi wana haki…

MwanzoTvPlus's tweet image. #TANZANIA: VIONGOZI WENGI WALIOCHAGULIWA SIO TAKWA LA WANANCHI - WARIOBA
"Katiba imeweka utaratibu kwa kuwa siyo wote wanaoweza kushiriki katika uendeshaji wa nchi, Katiba imeweka utaratibu kuwawezesha wachague wawakilishi wao. Tujiulize tunapofanya tathmini, wananchi wana haki…

AppVerseTech reposted

Kuna hatua yoyote ya maana ambayo Rais Samia na serikali yake wamechukua kudhibiti utekaji na mauaji ya wapinzani wa CCM na serikali? Kitu cha kushangaza, Rais anaonesha kukerwa sana na wanaotaka kuandamana kupinga utekaji na mauaji kuliko anavyokerwa na watekaji na wauaji.

DrCyrilo's tweet image. Kuna hatua yoyote ya maana ambayo Rais Samia na serikali yake wamechukua kudhibiti utekaji na mauaji ya wapinzani wa CCM na serikali? 
Kitu cha kushangaza, Rais anaonesha kukerwa sana na wanaotaka kuandamana kupinga utekaji na mauaji kuliko anavyokerwa na watekaji na wauaji.

AppVerseTech reposted

"Pamoja na kuwa tumezoea kufuzu makundi ya michuano ya CAF lakini hii ni tofauti kwanza hatujawahi kukutana na mwarabu katika hatua hii, mara nyingi tunakutana na timu kutoka Kusini mwa Afrika lakini safari hii tumepata mpinzani kutoka Kaskazini tena Libya."- Ahmed Ally.…


AppVerseTech reposted

Balaa la uzinduzi wa hamasa limeanzia Tawi la Mpira Pesa Magomeni tukianza safari kuelekea Kibaha ambapo zitafanyika sherehe za kuiendea siku ya #Kuwakaanga wapinzani wetu Al Ahli Tripoli. #WenyeNchi #NguvuMoja

SimbaSCTanzania's tweet image. Balaa la uzinduzi wa hamasa limeanzia Tawi la Mpira Pesa Magomeni tukianza safari kuelekea Kibaha ambapo zitafanyika sherehe za kuiendea siku ya #Kuwakaanga wapinzani wetu Al Ahli Tripoli. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Balaa la uzinduzi wa hamasa limeanzia Tawi la Mpira Pesa Magomeni tukianza safari kuelekea Kibaha ambapo zitafanyika sherehe za kuiendea siku ya #Kuwakaanga wapinzani wetu Al Ahli Tripoli. #WenyeNchi #NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Balaa la uzinduzi wa hamasa limeanzia Tawi la Mpira Pesa Magomeni tukianza safari kuelekea Kibaha ambapo zitafanyika sherehe za kuiendea siku ya #Kuwakaanga wapinzani wetu Al Ahli Tripoli. #WenyeNchi #NguvuMoja

AppVerseTech reposted

Hearing: Al Ahli Tripoli have decided that they will prepare their own food at the Libyan Embassy in Tanzania. So, they’ll only sleep at the hotel whiles the food they’ll eat will be brought to them directly from the Libyan Embassy including water, juice and fruits. Also:…

MickyJnr__'s tweet image. Hearing:

Al Ahli Tripoli have decided that they will prepare their own food at the Libyan Embassy in Tanzania. 

So, they’ll only sleep at the hotel whiles the food they’ll eat will be brought to them directly from the Libyan Embassy including water, juice and fruits. 

Also:…

United States Trends

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.