
Getruda
@GetrudaNestory
Living the dream,one step at a time.
Kuna kitu kinaitwa Neema. Ikikukuta, haikagui vyeti vyako, CV yako wala kabila lako — inabadilisha tu story ya maisha yako katika namna ambayo hukuwahi kufikiria. Kama unasoma tweet hii, Neema ya Bwana ikukute mahali ulipo. Claim it by retweeting this tweet.
Katika utafutaji wetu tunatafuta tunacho kitaka ila tunapata tunacho sitaili .✍
Mungu yuko nawe nyakati zote.

Sometimes in life , it reach a point where You sit down & wait For a miracle!!! 📍Kuna muda kwenye maisha, unakaa Chini na kusubiri muujiza Tu🥺

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/B/14 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza…




PITIA HAPA KWANZA UJIFUNZE KITU Vitu ambavyo mwanaune hutakiwi kuumiza akili 1. Maisha mazuri ya watu mtandaoni au hata marafiki zako Ukitaka kujitoa uhai endekeza kuchotwa na maisha ya watu mitandaoni ukajiona umefeli 2. Mipicha na video za ngono Kwenye mitandao Mambo hayo…
Chunga sana marafiki zako na company yako. Inaweza kukupotezea mahusiano au ndoa yako na ukajuta, ingawa sasahivi unawaona ni wathamani, ngoja upoteze cha thamani ndio utaijua tofauti #ChrisMauki

Kwa kukosa hekima utawafukuza watu wa maana kwenye maisha yako na kuwabakiza wajinga wanaokusifia tu na wasiokupeleka popote. Jichunguze #ChrisMauki

Wapo watakao kufanya uhangaike na uteseke lakini yupo mmoja ambaye anahangaika na kuteseka kwa ajiri yako
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko (pichani kulia) amesema Watu wawili akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti Mwanafunzi wa awali katika Shule ya Mount Moriah na kumuharibu sehemu zake za siri ambapo taratibu za kisheria…

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, leo amewasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma ambapo moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Taifa. “Kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa…

Mkazi wa Kijiji cha Kimamba A Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kwa tuhuma za kumuua Mke wake kisha kumfukia katika nyumba waliokuwa wanaishi, RPC wa Morogoro SACP Alex Mkama amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema Mke huyo ambaye kwa…

Ikawe siku ya kheri kwa kila mpambanaji. Tukitoka nyumbani, tusirudi mikono ikuwa mitupu. Asubuhi njema✋
United States Trends
- 1. Auburn 32.6K posts
- 2. Brewers 47.2K posts
- 3. Georgia 60.9K posts
- 4. Kirby Smart 4,362 posts
- 5. Michigan 58.5K posts
- 6. Kyle Tucker 2,600 posts
- 7. #ThisIsMyCrew 2,765 posts
- 8. Hugh Freeze 1,848 posts
- 9. Nuss 5,491 posts
- 10. Sherrone Moore 1,675 posts
- 11. Penn State 27.4K posts
- 12. #EnnisLima 3,215 posts
- 13. #UFCRio 55.3K posts
- 14. Billy Napier 2,579 posts
- 15. Indiana 48.9K posts
- 16. #MagicBrew 9,145 posts
- 17. #FightOn 1,142 posts
- 18. Andrew Vaughn 1,699 posts
- 19. James Franklin 14.5K posts
- 20. Wisconsin 19.9K posts
Something went wrong.
Something went wrong.