Gikaro Developer
@GikaroDeveloper
Software Developer | Building Websites & Apps | Tech Enthusiast | Sharing insights on Tech | 📩 DM for Inquiries
#TajiriLaKihaya HTML - 1 week CSS (Basic) - 1 week JavaScript - 3 months React - 2 months Intermediate CSS - 1 month Intermediate JavaScript - 1 month Advanced React - 2 months Typescript - 2 months React + Typescript - 1 month NextJS/TanstackStart/Remix patterns - 1 month…
Usiache kujifunza kitu kipya kila siku. You can’t be a developer overnight
XChat, Hii ndiyo mbadala wa DM, ina features nyingi sana including File sharing, video/voice calling, group messaging, etc
🎉Hello Chapter 29 —My first birthday as a father. Life hits different when you’re someone’s hero before they can even say your name.😎 Happy birthday Gaby Loves Tech Maparachichi #BabaJojo😎
My Instagram is growing like crazy, bruh. All I’ve got is an iPhone, two rectangle lights, and Adobe Podcast. No $1000 mic. No expensive lights. Just vibes and consistency.
Naam mkuu, kazi safi sana.
@ally_ndimbo ni Mtaalam wa masuala ya Usalama Mtandaoni, ebu msikilize alipotoa elimu kwenye #ElimikaWikiendi Spaces.
Upepo wa Deepseek umeishia wapi😆
BREAKING 🚨 Microsoft Integrates xAI's Grok into Azure Cloud Services! • Grok 3 brings advanced reasoning, coding & visual skills • Built by xAI, powered by Microsoft’s secure cloud @satyanadella x @elonmusk 🫱🏻🫲🏽
Kuna mjadala ulikuwa unaendelea kuhusu mambo ya VPN na Data Privacy. Wengi wanasema VPN ni marketing name and doesn't hide your data na haikufanyi kuwa Anonymous mtandaoni, VPN ni wafanyabiadhara tu. Una maoni gani kuhusu hilo?
PDF generation now available in beta in Grok Studio, on your desktop, at grok.com.
Hapo nyuma kidogo tulipata 1GB kwa Tsh 900, sasa hivi tuko kwenye Tsh 2100 🤔
Skype has officially shut down. R.I.P Legend 🙏🏽
Siku nyingine ukim-hotspot mpe speed limit au mpe Data limit, mfano unampangia atatumia 200MB kutoka kwako, zikiisha automatically itakata kwake lakini kwako itaonyesha bado umem-hotspot.
Unamhotspot mtu alafu kwake internet ndio inafanya vizuri kuliko kwenye simu yako.
Kwa mwaka 2024 pekee, startups nchini zimeajiri watu 138,453. Hii ni ongezeko kubwa kutoka 89,509 (2022) na 112,119 (2023).
I just published 👋 About Me: Building Mobile & Web Apps for Real-Life Impact medium.com/p/about-me-bui…
Hivi What’s really wrong with our payment gateways? Hakuna Payment inayosolve trillema yote kwa pamoja 1. Integration & Interoperability 2. Reliability & Speed 3. Affordability Cc @ally_ndimbo @TOTTechs @HabariTech @Positivenga1
United States Trends
- 1. #WWERaw 57.2K posts
- 2. Purdy 24.5K posts
- 3. Panthers 32.8K posts
- 4. 49ers 33.6K posts
- 5. Mac Jones 4,593 posts
- 6. Penta 8,982 posts
- 7. Canales 12.3K posts
- 8. #KeepPounding 5,075 posts
- 9. Gunther 13.4K posts
- 10. Jaycee Horn 2,516 posts
- 11. #FTTB 4,710 posts
- 12. Niners 4,871 posts
- 13. #RawOnNetflix 2,082 posts
- 14. Ji'Ayir Brown 1,106 posts
- 15. Melo 18.1K posts
- 16. #CARvsSF 1,189 posts
- 17. Rico Dowdle 1,483 posts
- 18. Mark Kelly 169K posts
- 19. McMillan 2,475 posts
- 20. Kittle 3,352 posts
Something went wrong.
Something went wrong.