The ReallyCaptain
@Heartcode_6
Heartcode
You might like
Mwanamke mwenye bahati ni yule aliekutana na mwanaume alievuka muda wa tamaa za kimwili na kuingia katika muda wa tamaa ya mafanikio na familia bora. Mwanaume mwenye bahati ni yule aliekutana na mwanamke aliemalizana na anasa za kidunia.
Kila mtu ana cha kupigania. Kuna mtu yupo anapigania afya yake, mwingine anapigania apate mtoto. Mwingine anapigania utafiti wa kuibadilisha dunia, mwingine yupo anapigania wewe ufeli katika mambo yako. Ila sisi twende tukaipiganie kesho yetu maana tukifeli sisi wanafeli wengi.
Sikiliza, kisha tabasamu, kisha puuza. Mola humrehemu mja alopuuza maneno kwa ajili ya kubakisha udugu. Usafi wa moyo si aibu, na kupuuza mambo sio ujinga, na kusamehe si unyonge , bali ni ibada na malezi.
Ukiachana na mapenzi, maumivu makubwa kwa kijana ni kuamka Asubuhi pamekucha na hajui aende wapi. Mwenyezi Mungu awapiganie wana wote wanaopitia hali hii uzuri huwa ni ya muda tu.
Sio kwamba hatutaki kuoa. Bali Kuna level Fulani ya maisha hatujaifikia. Kwa sababu tunatamani sana wake zetu waje waenjoy pindi wakiishi na sisi.
The #PlayerOfTheWeek had to come out from @AlAhly or @SimbaSCTanzania after the massive wins! 💫 Vote now for the best player in #TotalEnergiesCAFCL matchday 5 👇
SubhanAllah, a place in Iceland where Green Fields, Yellow River, Black Beach and Blue Sea meet.
Sasa mbona hata haifiki huko yn hapo nikama million moja na nusu au laki sita au saba
Taili la nyuma upande wakushoto
Sasa mbona hapo umetaja talent mbili tofauti huyo April hawezi kusimulia ila ni muandaaji mzuri ila huyo abdallah nimkali wa masimulizi wepeleka stor yako utafurahia jinsi anavyoitendea haki
Be careful of the friends you choose for you may become like them. The opinions of your friends are often more important than others; even your family. That’s why it’s in your best interest to choose your friends wisely. They can be the reason why you succeed or fail.
Wazee simtufundushe na sisi kuedit
Ndugu Retweet pinned post yangu tafadhali 🙏
GOD FIRST. ALL DAY. EVERYDAY.
Sometimes usijifanye baba mbele ya baba ako mjifunze kuwa na heshima sana mtafika mbali
United States Trends
- 1. #DWTS 19.1K posts
- 2. Robert 95.5K posts
- 3. Elaine 69.6K posts
- 4. Dylan 27.7K posts
- 5. #RHOSLC 3,436 posts
- 6. Northern Lights 5,619 posts
- 7. Carrie Ann N/A
- 8. Daniella 2,543 posts
- 9. #aurora 1,837 posts
- 10. #WWENXT 6,284 posts
- 11. Louisville 9,367 posts
- 12. Veterans Day 465K posts
- 13. Jeezy 3,223 posts
- 14. Meredith 2,911 posts
- 15. Woody 22.2K posts
- 16. Oweh N/A
- 17. Mikel Brown N/A
- 18. #DancingWithTheStars N/A
- 19. Bindi 1,504 posts
- 20. Myles Colvin N/A
Something went wrong.
Something went wrong.