40JESUS🪙🦅
@IBOPAS71
SOLE TRADER|| Boss in motion|| A GIANT ALIEN OF AFRICA|| kizama za kale|| #AFRISOL
You might like
Drop your favourite wallpaper Nataka nipate ya kusave kwa screen Let's go 🔥
Zingatia huyo Jamaa aliye repost 😁
Mama akitoa Salute kwa GEN-Z
Unapost hivi na unafunga Comment Tajiri we fungua tu.
By Time, Indeed, mankind is in loss, Except those who believe and do righteous deeds, and encourage one another to truth, and encourage one another to patience. — [Surah Al-‘Asr 103:1-3] // Naapa kwa zama (au muda), Hakika mwanadamu yumo katika hasara, Isipokuwa wale…
Hapo si unapiga kitu kinaitwa Lizard sandwich 🥪😋
Hapa utachukua hatua gani za kinidhamu na kimazingira??? 🤣
Kanisa limetumia neno"Waliouawa",wengine naona wanatumia"Waliofariki/Waliokufa". Ni process nzuri ya kuanza uponyaji,kwa kukiri waliuawa. Hii ibada hata sisi ambao sio waamini wa RC tutasali pamoja. Tusmifu YESU kristo?
💨 Ichi kitendo cha kuuwa watu na kuwazika kama wanyama sasa hivi familia zinabaki kufanya mazishi hewa bila miili ya wapendwa wao hakitosahaulika.
Anti-pant?
Sitaki kuona upumbavu wa huyo muuwaji popote.
Kwa anayofanya SAMIA—Adolf Hitler alikuwa MCHUMBA tuu.
Sasa walio ua wana hali za kawaida kabisa ase?
Dah aisee....
Mioyo Ina mengi bro, siku ya uchaguzi kaka yangu alikuwa anatoka kazini na wenzake wawili wakapigwa risasi wakafa hapo hapo. Kesho yake tukaenda kuchukua mwili wakasema Hadi xenge aapishwe. Tumerudi juzi hayupo mortuary. Tumesafirisha tu nguo angalau wazazi wakazione 😭💔
Watoto mapacha. Madaktari tarajali. Wamepigwa risasi wakafa papo hapo. Walikuwa wanatoka kazini kunusuru uhai wa Watanzania. Dada yao amenusurika kuuwawa kwa katazo la mama yao. “Unataka wakuuwe na wewe nani atanizika?” Wamezikwa mvua inanyesha. Mama hajalia. Ooh Lord!!😭😭
Abdul, nakuonya tena. Agana na nyonga kabla hujatuma mercenaries kuuwa wakosoaji walio nje ya TZ. Puuzia kama unaweza.
He is explaining that the police were actually coming back and telling each other they need to finish off the ones who were not dead yet. Samia Suluhu is a murderer.
Ni kama Wasanii wana magroup ya Whatsapp wametumiwa Template.
Haja kiri kuwa watu zaidi ya elfu 3 wameuwawa kwa kupigwa risasi. Hajaomba msamaha. Hajatoa pole. Hajutii. Anatoa vitisho zaidi asitunishiwe msuli. Watu wake wanaendelea kuuwawa. Hana utu. She is evil. A criminal!
Ukiachana na Local Media ambazo always huwa ni useless, janga kubwa kwa sasa ni Mobile Network Operators (watoa huduma za simu) & Internet Service Providers kwa kushirikiana na TCRA, these are most dangerous and useless Institutions kwenye nchi hii.
United States Trends
- 1. Northern Lights 31.8K posts
- 2. #DWTS 48.6K posts
- 3. #Aurora 6,489 posts
- 4. Justin Edwards 1,918 posts
- 5. Louisville 16.5K posts
- 6. Andy 59.5K posts
- 7. #RHOSLC 6,005 posts
- 8. #OlandriaxHarpersBazaar 4,070 posts
- 9. Lowe 12.3K posts
- 10. Oweh 1,934 posts
- 11. Kentucky 24.7K posts
- 12. Elaine 39.9K posts
- 13. Creighton 1,758 posts
- 14. JT Toppin N/A
- 15. Celtics 12K posts
- 16. #WWENXT 16.4K posts
- 17. Robert 98.3K posts
- 18. Dylan 30.4K posts
- 19. Gonzaga 2,310 posts
- 20. Jordan Walsh N/A
You might like
-
Bishow Mbaya
@Imblackhandsome -
Joka La Mdimu
@JokaLaMdimu9 -
Assenga Magari Tz
@GjAssenga -
MIRAMBO
@mirambograndson -
Dismas Maliva Perfect
@DismasMaliva1 -
WAKUNJOMBE
@SillivanMK -
Tanga boy❁ 💉🐄
@patriqdominiq -
Abdulla
@AbdullaBakre -
CHALII YA R
@Jogona_ -
COLDCARD BTC
@COLDCARDBtcChat -
MwanaJamii Digital
@MwanaJDigital -
Martin Yohana
@Martinyohana_jr -
Joseph
@JosephGidionL -
Tanzania Analyst 🇹🇿
@TanzaniaAnalyst -
Eric
@EricMaswi
Something went wrong.
Something went wrong.