JaneRithe's profile picture. National Chairperson of the Women's Wing     @ACTwazalendo

Janeth Rithe

@JaneRithe

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Tumeishiwa power hahaha


Na wewe mzee unaelia leo kijana wako alikufa, ulikuwa wapi kumkataza asitoke?.... @SuluhuSamia 2/12/2025


Tumechambwa sana leo asante sana kimekosekana kigoma tu.

JaneRithe's tweet image. Tumechambwa sana leo asante sana kimekosekana kigoma tu.

Hii segerea iko dsm?mbona kama ulyankulu Tabora kituo cha Afya mwanamke akienda kujifungua pamoja anatakiwa lundo la vifaa vya kujifungulia analazimika kubeba na maji madumu ya lita 20 mawili usipoenda nayo hutapata huduma ya kujifungua kituo cha barabara ya kumi.


Kwanini kwenye ile orodha ya uharibifu hakuna idadi ya vituo vya kupiga kura vilivyoharibika @Mwigulu_Nchemba nakukumbusha tu sio kwa ubaya 😁😁😁

JaneRithe's tweet image. Kwanini kwenye ile orodha ya uharibifu hakuna idadi ya vituo vya kupiga kura vilivyoharibika @Mwigulu_Nchemba nakukumbusha tu sio kwa ubaya 😁😁😁

Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

Heri ya siku ya kuzaliwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama chetu.Mungu akujalie maisha marefu na afya njema mpambanaji wa muda wote Mzee Juma Duni Haji.

ACTwazalendo's tweet image. Heri ya siku ya kuzaliwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama chetu.Mungu akujalie maisha marefu na afya njema mpambanaji wa muda wote Mzee Juma Duni Haji.

Ila unatufokea sana jamani ebu punguza kidogo sauti

VIDEO: “Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na…



Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

The era of dismissing legitimate criticism as foreign interference is over. Arrogance and threats will not silence the truth. The government should listen to both citizens and the international community instead of intimidating those raising concerns about abductions, killings,…

MchinjitaIR's tweet image. The era of dismissing legitimate criticism as foreign interference is over. Arrogance and threats will not silence the truth. The government should listen to both citizens and the international community instead of intimidating those raising concerns about abductions, killings,…
MchinjitaIR's tweet image. The era of dismissing legitimate criticism as foreign interference is over. Arrogance and threats will not silence the truth. The government should listen to both citizens and the international community instead of intimidating those raising concerns about abductions, killings,…

Yaani ukihamia ccm ghafla ubongo unaondoka kichwani panajaa dawa ya meno (whitedent) nimeona unasema hakuna aliyepinga matokeo ya uchaguzi wa Rais mahakamani hata katiba ya nchi unaijua kweli? au unataka tuamini kuwa akili ni nywele?na wewe unaupara sasa.

VIDEO: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo…



Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

Many Tanzanians want an international independent investigation into the killings. Three weeks after the election, there are many families still searching for their loved ones


Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

@tanpol huyu dada amefariki mikononi mwenu. Huyu ndiye mwakilishi halali wa wananchi wa kata ya sirari Tarime vijijini. Mlimkamata kufuatia maandamano ya wananchi kukataa tume isitangaze mgombea wa @CCMTanzania . Amefariki wakati kikosi chenu maalum kikimhoji. Hatujui ni mateso…

MchinjitaIR's tweet image. @tanpol huyu dada amefariki mikononi mwenu. Huyu ndiye mwakilishi halali wa wananchi wa kata ya sirari Tarime vijijini. Mlimkamata kufuatia maandamano ya wananchi kukataa tume isitangaze mgombea wa @CCMTanzania . Amefariki wakati kikosi chenu maalum kikimhoji. Hatujui ni mateso…

Mbunge wangu wa kivule

Tarehe 29 Oktoba 2025 ikiendelea KUCHUKULIWA KWA MZAHA kwa lengo la KUFICHA UKWELI kwa MASLAHI ya watu wachache, basi Taifa litapitia DHIKI KUU kwa MIAKA 82. UKWELI siyo MALI BINAFSI ya KIKUNDI FULANI CHA WATU.

PMadeleka's tweet image. Tarehe 29 Oktoba 2025 ikiendelea KUCHUKULIWA KWA MZAHA kwa lengo la KUFICHA UKWELI kwa MASLAHI ya watu wachache, basi Taifa litapitia DHIKI KUU kwa MIAKA 82. UKWELI siyo MALI BINAFSI ya KIKUNDI FULANI CHA WATU.


Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

Like & Ritwit bila sababu Repost 560 ❤️ Larry Madowo

Sativa2555's tweet image. Like & Ritwit bila sababu

Repost 560 ❤️  Larry Madowo

Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of…

CNNAfrica's tweet image. Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of…

Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

Tanzania itapata HAKI nayasema haya katika Jina La Yesu kristo. 🙏🏾

RahmaMwita's tweet image. Tanzania itapata HAKI nayasema haya katika Jina La Yesu kristo. 🙏🏾

Angekuwa mkristo kama @jgwajima angeshakamatwa

Hawa wanaotumwa na CCM kufanya haya wanayoyafanya wanautukana na kuudhalilisha UISLAMU. Hawautetei Uislamu. Waislamu wawakatae watu hawa. Waislamu wajitenge na watu hawa. Waislamu wawakane watu hawa.



Kuwe na MTU wa kumnyanganya maiki huyu mama sio dhambi hizi hotuba anaandika au anandikiwa anazipitia kabla hajasoma au anazikuta kwenye podium?@SuluhuSamia

JaneRithe's tweet image. Kuwe na MTU wa kumnyanganya maiki huyu mama sio dhambi hizi hotuba anaandika au anandikiwa anazipitia kabla hajasoma au anazikuta kwenye podium?@SuluhuSamia

Huyu mama @SuluhuSamia hakuna wa kumsaidia akapumzike kwanza?

JaneRithe's tweet image. Huyu mama @SuluhuSamia hakuna wa kumsaidia akapumzike kwanza?

Janeth Rithe รีโพสต์แล้ว

Hitimisho la TEC limenyooka tu bila kona kwamba Risasi hazikuwahi kunyamanzisha watu , kwani vifo huhamasisha vifo zaidi. Wakatoa wito pia kwa watawala wasikilize ili tuwe na mwanzo mpya. Maajabu ni kuona Press zimekuwa nyingi mnoo kupinga waraka huu Ukweli utasimama Daima

Ndolezi_Petro's tweet image. Hitimisho la TEC limenyooka tu bila kona kwamba Risasi hazikuwahi kunyamanzisha watu , kwani vifo huhamasisha vifo zaidi. Wakatoa wito pia kwa watawala wasikilize ili tuwe na mwanzo mpya.

Maajabu ni kuona Press zimekuwa nyingi mnoo kupinga waraka huu 

Ukweli utasimama Daima

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.