Judiciary System
@JudiciarySystem
The government of the people is for the people and act accordingly only to the people. BE HONEST, BE REALISTIC, BE HUMBLE AND BE HAPPY.
You might like
Watu wengi kama mchanga…
Baada ya Mhe Tundu Lissu kushindwa kufika Iringa jana jioni kutokana na wananchi kusimamisha msafara wake kwenye maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea Iringa. Hii ni leo asubuhi saa nne umati huu umejitokeza kumdhamini... Narudia hii ni asubuhi...#NiYeye2020
Mhe. @Kasesela naomba kujua mkutano wa machinga kama umefanyika. Cc. @TunduALissu @MsigwaPeter
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na wananchi wa Mbeya mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
Happy birthday Mhe. @LazaroNyalandu Mwenyezi Mungu akujalie uishi maisha marefu yenye baraka tele.
Hatimaye nimeuona Muujiza Unaoishi.Mgombea Wa Uraisi Kwa tiketi ya Chadema @TunduALissu na Makamu Wake Salumu Mwalimu. Wakisalimiana na Wananchi Wa Mafinga alipokuwa anatoka Iringa Mjini Kwa zoezi maalumu la Kuomba Udhamini #Niyeye2020 #SasaBasi #PeoplesPower
Hivi Mufti alishawahi wazungumzia Mashehe wa Uamsho mahala popoote palee ?? 😏
Iringa Tanzania Asubuhi hiiii Wajukuu wa Mkwawa Arthi ya Shujaa Mkwawa
Tanzanians Are Tired of Living in Fear of Magufuli, so Tundu Lissu is Standing Up to Challenge Him dlvr.it/Rdtcrm
robertamsterdam.com
Tanzanians Are Tired of Living in Fear of Magufuli, so Tundu Lissu is Standing Up to Challenge Him...
Podcast – special edition. Ever since he returned to Tanzania three weeks, opposition presidential candidate Tundu Lissu has been confronted by one obstacle or threat after another. The day he landed...
Mama huyu alimtegemea Mwanae kwa kila kitu. Pindi ambapo mwanawe alishikiliwa serikali ya Raisi @MagufuliJP kwa mashitaka yanayodaiwa kuwa ya uhujumu uchumi, mama Huyu alibaki bila msaada wa huduma Muhimu za Afya, kitu kilichopelekea afya yake kuzorota na hatimaye akaaga dunia
#Uchaguzi2020 Kiongozi wa chama cha @ACTwazalendo @zittokabwe ametoa wito kwa vyama vya upinzani nchini viache ubinafsi kwa kuwa Tanzania ni kubwa kuliko vyama na kwamba Watanzania hawatowasamehe kama hawatoamua kuwa na mgombea mmoja katika nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Ningekuwa Rais wa Tanzania ningemualika @TunduALissu ikulu, nikampa pole, kumkaribisha Tena nyumbani na kumtia moyo. Ningeweza fanya sherehe ya kitaifa kumshukuru Mungu. Ni kama vile Rais @MagufuliJP alivyomfariji moyo @HKigwangalla alipopata ajali. Nawaza tu!
Uchaguzi mkuu mwaka huu ntahudhuria mikutano ya Vyama vitatu tu. 1. CCM - ili kuona wasanii 2. CHAUMA - ili kula ubwabwa 3. CHADEMA - ili kuskiliza sera bora kwa ustawi wa Taifa letu. #NiYeye
#Tanpol nimewaona mstari wa mbele kumlinda mgombea wetu wa urais @TunduALissu huu ndio usawa tunaohubiri
Happy birthday Mhe. @LazaroNyalandu Mwenyezi Mungu akujalie uishi maisha marefu yenye baraka tele.
UMATI huu unamsubiri MBEBA MAONO muda huu eneo la MLIMA NYOKA nje ya jiji la MBEYA... #TukutaneOktoba28#TutashindaNaTutatangwazwa #SasaBasi#NIYEYE2020
Shikamoo Iringa na samahani sana kwa kuwakwaza kwa kuchelewa kwetu leo. Rev. Peter Msigwa amenipatia briefing juu ya nyomi la leo Mwembe Togwa. Nimekwishaingia Mjini na kesho tutakuwa pamoja Mwembe Togwa. Nawatakieni usiku mwema na Mungu awabariki sana.
United States Trends
- 1. Dodgers N/A
- 2. #FanCashDropPromotion N/A
- 3. Guehi N/A
- 4. Winston N/A
- 5. #FridayVibes N/A
- 6. #FursuitFriday N/A
- 7. Nobel N/A
- 8. Good Friday N/A
- 9. The Jito N/A
- 10. Chinese EVs N/A
- 11. #DMDFriendshipSS3EP5 N/A
- 12. #FridayMotivation N/A
- 13. Hassett N/A
- 14. Mets N/A
- 15. Martin Luther King Jr. Day N/A
- 16. Happy Friyay N/A
- 17. SINGSA LATAI EP11 N/A
- 18. Yankees N/A
- 19. Smart Money N/A
- 20. Carney N/A
Something went wrong.
Something went wrong.