WE WANT PEACE BORN OUT OF JUSTICE NOT INTIMIDATION. A society that prioritizes peace over justice and issues ceremonial statements without boldly advising leaders to uphold the truth is a living corpse a society that has lost its moral conscience and the courage to speak truth.…
Wewe ni mtu mwema sana, tunakuombea Mungu wetu aendelee kukulinda huko uliko.🙏🏻 #FreeJohnHeche #FreeJohnHeche
#Tanzania: The adjournment of Tundu Lissu’s treason trial to 3 November, 4 days after the 29 October general elections, is a clear confirmation that his persecution is part of a coordinated, state-sponsored campaign to suppress political opposition. #HumanRightsUnderAttackTZ
Kitu pekee naamini, pamoja na mambo yote mabaya ambayo yanatokea, CHADEMA sasa, TUPO KATIKA NJIA SAHIHI na TUTAVUKA SALAMA. Vita ni kubwa sana kutoka kwenye DOLA na marafiki wa DOLA. Lakini, CHADEMA lazima ibaki salama na watoto wetu wataitumia kutengeneza TANZANIA waitakayo.
UJUMBE TOKA KWA JOHN HECHE. Wambieni watu wetu Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana ! Kosa langu hata sasa ni kukataa kuwa msaliti wa mageuzi ili sote katika nchi tuishi utawala wa sheria na kulinda rasilimali zetu , , Hapa Jela…
Anaandika Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Dkt. Chris Mauki kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Oktoba 8, 2025. "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika.…
Tukiweka shada la maua na kamanda Neema Shozaile Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Geita DC kwa niaba ya CHADEMA katika kaburi la Marehemu Anthony Elias Gashule hapa kijiji cha Bugarama mkoani Geita. #R_I_P_Athony_Gashule
“Kaka be informed that, kuanzia wiki hii wamepanga kuwakamata/kuwaweka kizuizini anytime from today. Targeted. 1. John Heche 2. Amani Golugwa. 3. Boniphace Jacob 4.Sombody Lyenda. 5. Kuna dada anaitwa Mambosho. 6. Godbless Lema 7. Nuru Ndosi” Mnakumbuka hii?
My love language is praying for you without you knowing.
Yeyote anaesimama na wananchi katika kutetea Nchi yetu ni mwenzetu.. Watanzania hili ni jaribio kubwa kwetu ya namna tunavyochukulia maisha ya wenzetu. Hatuwezi kuruhusu Polepole na wenzetu wengine wapotezwe na kikundi cha wahuni kama vile kuku. Huyu mtu amejitokeza kutetea…
I am deeply concerned about the escalating pattern of enforced disappearances targeting critical voices and passive critics who speak out on matters of democracy, human rights, and good governance. The situation has become alarming and increasingly widespread, suggesting a…
Wananchi na wanachadema wote, chukueni tahadhari kubwa sana, msikubali kuchukuliwa na watu kizembe. Usikubali kuitwa na mtu usiemjua popote. Usitembee peke yako bila sababu.
Hauwezi kutaka kazi ya umma alafu ukakerwa na kauli za vijana wanaoona Taifa lao linaendeshwa kindezi, kiasi uwateke na/au kuwatupa jela. Lazima uwe na uvumilivu wa kisiasa au ukatafute kazi nyingine. Free this young fell, Kiduku, now.
Paul Chuwa (@TanzaniaOneJezi) na #FaridaMikoroti wameachiwa kwa dhamana ya polisi kituo kikuu cha polisi kati Dar es Salaam walipokuwa wanashikiliwa takribani siku 7 kwa tuhuma za makosa ya mtandao. Pamoja na kupewa dhamana kituo cha polisi kati (central police DSM) wametakiwa…
Niko hapa nachat nikiwa angani Ft 40,000 juu ya bahari ya Atlantic , lakini Internet iko vizuri kuliko Bongo…! NB: Na wala situmii VPN kama anavyotumia @MsigwaGerson 😎 #NoReformsNoElection
Ahsanteni sana kwa salaam za kumbukizi yangu ya kuzaliwa siku ya jana upendo ni mkubwa sana, Mungu awabariki.
Nakufahamu tangu tulipokuwa wote Bungeni, na kwa sababu hiyo siwezi kushangazwa na misimamo yako inayopuuza misingi ya haki nchini. Lakini nakusihi, kumbuka hadhi na utu wa mtu havipimwi kwa vyeo, bali kwa uadilifu na ujasiri wa kusimama upande wa kweli. Nafasi ya kuitwa Jaji…
Kimara Kona, Ubungo, Dar es Salaam, asubuhi ya leo. Wananchi wanaimba “tunamtaka Tundu Lissu”. Mbogamboga mchezo wenu wa kuwalazimisha wananchi kuwapenda kwa lazima haujazaa matunda. Pamoja na kumtunza TAL gerezani siku 180 anakumbukwa na wananchi na wanaimba jina lake bila…
United States Trends
- 1. Rockets N/A
- 2. Wemby N/A
- 3. #AEWDynamite N/A
- 4. Spurs N/A
- 5. Amen Thompson N/A
- 6. Benedict N/A
- 7. Sengun N/A
- 8. Ciampa N/A
- 9. #Bridgerton N/A
- 10. Fulton County N/A
- 11. Andrade N/A
- 12. Mikey N/A
- 13. Dylan Harper N/A
- 14. Model S N/A
- 15. Jaylon Tyson N/A
- 16. Chris O'Leary N/A
- 17. Castle N/A
- 18. Optimus N/A
- 19. #ChicagoPD N/A
- 20. Cavs N/A
Something went wrong.
Something went wrong.