PFM_Tech's profile picture. Computer & Technoligies

PFM~Tech Inc

@PFM_Tech

Computer & Technoligies

"Hatuna uhakika kama tutapata, ila tuna imani na anaetoa" . .. ... Best regards PFM~Technologies Iringa-Tanzania #God_Over_Everything


BREAKING NEWS Kocha wa Simba, FADLU DAVIS ana 90% ya kuondoka Simba yeye pamoja na benchi lake lote la ufundi.

PFM_Tech's tweet image. BREAKING NEWS
Kocha wa Simba, FADLU DAVIS ana 90% ya kuondoka Simba yeye pamoja na benchi lake lote la ufundi.

Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary

PFM_Tech's tweet image. Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary

Welcome for Computer Training Course. Starting on July PFM~Technologies we want you to build the future through Technology. Join us to get full computer course package.

PFM_Tech's tweet image. Welcome for Computer Training Course.
Starting on July PFM~Technologies we want you to build the future through Technology. Join us to get full computer course package.

PFM~Tech Inc reposted

Kwa nini bado unachoma akaunti na unalipia Trading view😂, unajua Kuna njia ya kupata lifetime trading view free ni wewe na mda wako? Kama bado upo unga na huna hela ya kulipia trading view? →Follow me →Like & Repost →Comment " FX TRICK" Kisha nitumie sms DM " Done"

iam_Elknows's tweet image. Kwa nini bado unachoma akaunti na unalipia Trading view😂, unajua Kuna njia ya kupata lifetime trading view free ni wewe na mda wako?

Kama bado upo unga na huna hela ya kulipia trading view? 

→Follow me
→Like & Repost 
→Comment " FX TRICK" 

Kisha nitumie sms DM " Done"

Maeneo ya Kazi Kumejaaa Chuki Sana, Jitahidi Sana Kuficha Uhalisia Wako ishi Kwa Kuigiza..📌 . . . #Ishinao_kwa_akili


° ° "Kamwe usijaribu kuthibitisha uzuri wako kwao, wewe fanya kilichosahihi kisha uamuzi waachie wao." Best regards, PFM~Techinologies


Bila Yeye sisi si chochote, anatubariki katika nyakati zote, Dear God🙏


Ukisoma vizuri kitabu cha Ayubu 1:21 Tunafundishwa "Daima kuwa wanyenyekevu. Kwa sababu kile ambacho Mungu hutoa, anaweza pia kuchukua". Best Regards PFM~Technologies


PFM~Tech Inc reposted

UZI.... 💨 JINSI WANAVYOTENGENEZA MIKEKA FEKI [betpawa & sportybet] Nafikiri wengi mmekutana na boom za kutisha hasa watumiaji wa betpawa, salio linasema millions sasa nitawapa njia rahisi uone wanavyo edit hiyo mikeka Shuka nayo

football_meme03's tweet image. UZI....

💨 JINSI WANAVYOTENGENEZA MIKEKA FEKI [betpawa & sportybet] 
Nafikiri wengi mmekutana na boom za kutisha hasa watumiaji wa betpawa, salio linasema millions sasa nitawapa njia rahisi uone wanavyo edit hiyo mikeka 

Shuka nayo

Man U haonekani wajameni

PFM_Tech's tweet image. Man U haonekani wajameni

Before 30

Ukishafikisha Miaka 30 Kijana Wa Kiume Tunapaswa Kufahamu kuwa. 1. Sio kila kitu chako unahitaji kukisema Kwa watu. 2. Ukikutana na mtu mwerevu kukuzidi, fanya kazi naye, ujifunze sio kushindana naye. 4. Familia unayoitengeneza wewe ni muhimu zaidi kuliko familia uliyotoka.

paulclementy's tweet image. Ukishafikisha Miaka 30 Kijana Wa Kiume Tunapaswa Kufahamu kuwa.

1. Sio kila kitu chako unahitaji  kukisema Kwa watu.

2. Ukikutana na mtu mwerevu kukuzidi, fanya kazi naye, ujifunze sio kushindana naye.

4. Familia unayoitengeneza wewe ni muhimu zaidi kuliko familia uliyotoka.


Simba: Ubaya ubwwwwweee... Yanga: 👇👇👇👇👇 😂😂😂😂😂😂

PFM_Tech's tweet image. Simba: Ubaya ubwwwwweee...

Yanga: 👇👇👇👇👇
😂😂😂😂😂😂

Kumbee familiaaa kabisaaaaa😂😂😂😂😂

PFM_Tech's tweet image. Kumbee familiaaa kabisaaaaa😂😂😂😂😂

United States Trends

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.