RealJerry255's profile picture. God Never Fails

jerry

@RealJerry255

God Never Fails

jerry 님이 재게시함

Kwa pesa madafu za nchi ile ya dhulma,.. hapa unanunua hadi uhuru wa mtu😂🚩...

fintanjr_'s tweet image. Kwa pesa madafu za nchi ile ya dhulma,.. hapa unanunua hadi uhuru wa mtu😂🚩...

jerry 님이 재게시함

Nimefata ushauri wa kunywa maji hapa kabla ya chochote, nimetapika Kweli za kuambiwa changanya na zako 😅


jerry 님이 재게시함

Huu Utaratibu wa Chapati mbili na chai kaleta nanii? Nimeagiza Chapati 6 kila mtu anashangaa hapa.


jerry 님이 재게시함

Baba Levo anatakiwa kukumbushwa kuwa watu wanahitaji kutengenezewa mazingira rafiki ya Kupata Chakula chao, sio Kusaidiwa chakula.

fumbokhanJr's tweet image. Baba Levo anatakiwa kukumbushwa kuwa watu wanahitaji kutengenezewa mazingira rafiki ya Kupata Chakula chao, sio Kusaidiwa chakula.

jerry 님이 재게시함

Katiba inasema "Mbunge ajue kusoma na kuandika" . Mbunge ameshindwa kuongea kiingereza,mnamshangaa na kumcheka...😁😁😁 Kosa lake nini?


jerry 님이 재게시함

Haso zetu zikajipe familia. 🙏 Good morning friends of me. ❤

Ayodimejitz's tweet image. Haso zetu zikajipe familia. 🙏
Good morning friends of me. ❤

jerry 님이 재게시함

Nimeamka njaa inauma kinoma alafu nakutana na Huyu binti analisha mbuzi msosi wa binadamu😭😭😭💔💔💔💔

TravisKitengo_'s tweet image. Nimeamka njaa inauma kinoma alafu nakutana na Huyu binti analisha mbuzi msosi wa binadamu😭😭😭💔💔💔💔

jerry 님이 재게시함

Kuwa First Born sio kazi Ndogo kuna muda Unatembea barabarani huku unaongea Peke yako.!!🙌🙌


jerry 님이 재게시함

Mtu akifanya vizuri sio vibaya kumpa pongezi, Kiredio anatengeneza great Content, moja ya idea nzuri sana hii.

fumbokhanJr's tweet image. Mtu akifanya vizuri sio vibaya kumpa pongezi, Kiredio anatengeneza great Content, moja ya idea nzuri sana hii.

jerry 님이 재게시함

Dogo limevunja rekod ya familia limepata ufaulu wa chin kuliko wote ( IV ya 26), mzee anasema "hata mim niliesoma enz za ujima sikufeli kama wewe" 🤣🤣🤣🤣


jerry 님이 재게시함

Ukiwa idle tu mwenyewe mzee mama wala hata hakucheck, sasa uwe na washkaji bata limekolea hizo simu utafikiri nyumba inaungua. Mna nini lakini wake zetu? 🤔


jerry 님이 재게시함

Vita ya Stationary na Stationery 😂😂😂 #ThursdayVAR

spana_Konki's tweet image. Vita ya Stationary na Stationery 😂😂😂 #ThursdayVAR
spana_Konki's tweet image. Vita ya Stationary na Stationery 😂😂😂 #ThursdayVAR
spana_Konki's tweet image. Vita ya Stationary na Stationery 😂😂😂 #ThursdayVAR
spana_Konki's tweet image. Vita ya Stationary na Stationery 😂😂😂 #ThursdayVAR

jerry 님이 재게시함

Huku ndio kumekucha wapwa zangu.....!

waziri3wa_wapwa's tweet image. Huku ndio kumekucha wapwa zangu.....!

jerry 님이 재게시함

Hapa Konde Ametupa Funzo Kubwa Sana Vijana Kwamba Usiogope Kuoa Mwanamke Aliyekuzidi Umri ni Namba tu!😂😍

zumbekhan's tweet image. Hapa Konde Ametupa Funzo Kubwa Sana Vijana Kwamba Usiogope Kuoa Mwanamke Aliyekuzidi Umri ni Namba tu!😂😍

jerry 님이 재게시함

Mwalim mkuu: kila mtu aje na mzazi Wake la si hivyo nisikuone hapa. Yatima:

son_noeli's tweet image. Mwalim mkuu: kila mtu aje na mzazi   Wake la si hivyo nisikuone hapa.

Yatima:

jerry 님이 재게시함

Kwa waliomuelewa kiredio hii picha kamaanisha nini? 🤔 Hapa wengi watakosa ❌️

wilsonjuma08's tweet image. Kwa waliomuelewa kiredio hii picha kamaanisha nini? 🤔

Hapa wengi watakosa ❌️

jerry 님이 재게시함

Afadhali Mapenzi Yanavunja Moyo, Ingekuwa Vipi Mapenzi Yangekuwa Yanavunja Miguu?? Wote Tungetembea Na Magongo Au Wheelchair.


jerry 님이 재게시함

Hakuna mwanaume anae jua ku care kama mwanaume anae taka kuku dinyaa madada nawasanua🙌🙌😂😂


jerry 님이 재게시함

Ukiiangalia yale ya bibisi kuna watu ni wakatali kuliko farao aisee!.


jerry 님이 재게시함

Kiburi kinavoondoka mwilini kwa demu ambae tayari ushalala nae😂

heisnabeel's tweet image. Kiburi kinavoondoka mwilini kwa demu ambae tayari ushalala nae😂

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.