Sheriffect's profile picture. show respect

Sheriffs 🇹🇿

@Sheriffect

show respect

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Uliwahi kusikia nini kuhusu viwanda vinavyo tengeneza pesa? Je ni kweli pesa zote zina tengenezwa Uswisi? Je! Unajua Afrika pia zipo nchi nyingi tu zina print pesa zao mwenye? Huu hapa ukweli kuhusu utengenezaji na pesa Shuka Na Uzi mfupi 🧵⤵️

kaji_sijo's tweet image. Uliwahi kusikia nini kuhusu viwanda vinavyo tengeneza pesa? 

Je ni kweli pesa zote zina tengenezwa Uswisi? Je! Unajua Afrika pia zipo nchi nyingi tu zina print pesa zao mwenye? 

Huu hapa ukweli kuhusu utengenezaji na pesa 

Shuka Na Uzi mfupi 🧵⤵️

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Unaposema "Benz," watu wengi wanajua unazungumzia gari la kifahari, lenye hadhi na historia ndefu. Lakini ukilitaja kwa jina lake kamili, Mercedes-Benz, unaweza kujiuliza, "Hivi kwa nini lina majina mawili? Mercedes imetokea wapi?" Kampuni ya Benz ilianza mwaka 1886 chini ya…

Phbhimself's tweet image. Unaposema "Benz," watu wengi wanajua unazungumzia gari la kifahari, lenye hadhi na historia ndefu.

Lakini ukilitaja kwa jina lake kamili, Mercedes-Benz,  unaweza kujiuliza, "Hivi kwa nini lina majina mawili? Mercedes imetokea wapi?"

Kampuni ya Benz ilianza mwaka 1886 chini ya…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Hili ni tukio la moto kabisa, limetokea jana tu, na ni funzo kubwa kwa yeyote anayedhani mapenzi na pesa ni vitu vinavyokwenda sambamba. Unamjua Israel Adesanya, mwanamasumbwi mkali wa UFC, bondia ambaye amewahi kushikilia taji la uzani wa kati na kuwa mmoja wa wapiganaji bora…

Phbhimself's tweet image. Hili ni tukio la moto kabisa, limetokea jana tu, na ni funzo kubwa kwa yeyote anayedhani mapenzi na pesa ni vitu vinavyokwenda sambamba.

Unamjua Israel Adesanya, mwanamasumbwi mkali wa UFC, bondia ambaye amewahi kushikilia taji la uzani wa kati na kuwa mmoja wa wapiganaji bora…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Imekuwa ni mfululizo kwa wakati mfupi sana kujua siri nyingi nyuma ya pazia. Achana na wale madogo wa Dubai, ila turudi siku kadhaa nyuma ndani ya mwaka huu Usiku wa Januari 25, 2025, ulikuwa wa kawaida kwa wengi huko Madrid, lakini kwa Eric Mandala Kinzenga, ulikuwa mwanzo wa…

AlphaIndextz's tweet image. Imekuwa ni mfululizo kwa wakati mfupi sana kujua siri nyingi nyuma ya pazia.

Achana na wale madogo wa Dubai, ila turudi siku kadhaa nyuma ndani ya mwaka huu

Usiku wa Januari 25, 2025, ulikuwa wa kawaida kwa wengi huko Madrid, lakini kwa Eric Mandala Kinzenga, ulikuwa mwanzo wa…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Niyapi Matumizi Na madhara ya delay rings, Maana naona sikuhizi zimekuwa kimbilio la Vijana..?? Juzi nilipokea DM ya kijana akidai, Katumia hii Ringi kwa muda mrefu, Kiasi kwamba akiacha kutumia hawezi kabisa Kupiga Shoow...🙌

ItsMrHealth's tweet image. Niyapi Matumizi Na madhara ya delay rings, Maana naona sikuhizi zimekuwa kimbilio la Vijana..??

Juzi nilipokea DM ya kijana akidai, Katumia hii Ringi kwa muda mrefu, Kiasi kwamba akiacha kutumia hawezi kabisa Kupiga Shoow...🙌

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Wengi wametajwa kama Pablo Escobar, El Chapo, Creselda Blanco na wengine lakini hatuwezi kumsahau "Narco-President" “Narco-President.”, ndio ni kiongozi mkuu wa nchi aliyekuwa akijuhisiaha moja kwa moja na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Mwaka 1989, milio ya risasi na…

AlphaIndextz's tweet image. Wengi wametajwa kama Pablo Escobar, El Chapo, Creselda Blanco na wengine lakini hatuwezi kumsahau "Narco-President" 

“Narco-President.”, ndio ni  kiongozi mkuu wa nchi aliyekuwa akijuhisiaha moja kwa moja na biashara haramu ya madawa ya kulevya.

Mwaka 1989, milio ya risasi na…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Katika hizi shughuli zake za kuwa dancer kwenye sehemu za starehe ndio kwa mara ya kwanza mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani alimuona Kajala na kuvutiwa naye na Kuanza kufanya juhudi za kumpata. Kajala sio tu kwamba alikuwa mapepe bali pia alikuwa ni mrembo kweli kweli. Hii…

kinlop_'s tweet image. Katika hizi shughuli zake za kuwa dancer kwenye sehemu za starehe ndio kwa mara ya kwanza mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani alimuona Kajala na kuvutiwa naye na Kuanza kufanya juhudi za kumpata.
Kajala sio tu kwamba alikuwa mapepe bali pia alikuwa ni mrembo kweli kweli. Hii…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Jitaidi sana 👇 Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo! Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo! Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi! Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu! Parachichi &…


Sheriffs 🇹🇿 reposted

MUZIKI WA SPUNDA MAALIM NASH X BLACK NINJA. INAPATIKANA KWA EMAIL AU WHATSAPP. BEI - 10,000/= LIPIA KATIKA LIPA NAMBA ZIFUATAZO MIXX BY YAS - 17912371 MUTALEMWA THEOBARD M-PESA - 37126743 MAALIM STORE. UKISHALIPIA NITUMIE UJUMBE WHATSAPP WA MUAMALA WAKO KWENYE 0769522346

Nashemcee's tweet image. MUZIKI WA SPUNDA

MAALIM NASH X BLACK NINJA.

INAPATIKANA KWA EMAIL AU WHATSAPP.
BEI - 10,000/=

LIPIA KATIKA LIPA NAMBA  ZIFUATAZO

MIXX BY YAS - 17912371
MUTALEMWA THEOBARD 

M-PESA - 37126743 MAALIM STORE.

UKISHALIPIA NITUMIE UJUMBE WHATSAPP WA MUAMALA WAKO KWENYE 0769522346
Nashemcee's tweet image. MUZIKI WA SPUNDA

MAALIM NASH X BLACK NINJA.

INAPATIKANA KWA EMAIL AU WHATSAPP.
BEI - 10,000/=

LIPIA KATIKA LIPA NAMBA  ZIFUATAZO

MIXX BY YAS - 17912371
MUTALEMWA THEOBARD 

M-PESA - 37126743 MAALIM STORE.

UKISHALIPIA NITUMIE UJUMBE WHATSAPP WA MUAMALA WAKO KWENYE 0769522346

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Ukichukua dola 100 ya Marekani, pale mbele utamuona mwanaume mmoja amewekwa na watu wengi wanahisi huyo ni George Washington. Subiri kwanza! Unamjua George Washington? Washington alikuwa rais wa kwanza wa Marekani ambaye alikuwa miongoni mwa watu walioupambania uhuru wa nchi…

Phbhimself's tweet image. Ukichukua dola 100 ya Marekani, pale mbele utamuona mwanaume mmoja amewekwa na watu wengi wanahisi huyo ni George Washington.

Subiri kwanza! Unamjua George Washington?

Washington alikuwa rais wa kwanza wa Marekani ambaye alikuwa miongoni mwa watu walioupambania uhuru wa nchi…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

#MICHEZO Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limeitoza faini ya dola 50,000 (Zaidi ya milioni 120 za Kitanzania) timu ya CS Sfaxien ya Tunisia, pamoja na adhabu ya kucheza mechi mbili za nyumbani za kombe la shirikisho bila mashabiki, ambapo mechi hizo zitakuwa ni dhidi ya…

eastafricatv's tweet image. #MICHEZO Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limeitoza faini ya dola 50,000 (Zaidi ya milioni 120 za Kitanzania) timu ya CS Sfaxien ya Tunisia, pamoja na adhabu ya kucheza mechi mbili za  nyumbani za kombe la shirikisho bila mashabiki, ambapo mechi hizo zitakuwa ni dhidi ya…

Sheriffs 🇹🇿 reposted

use this app on stream or wafim

darkseid1860's tweet image. use this app on stream or wafim

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Hili tambara wachache sana watalijuwa jina 😂

Kirikuu20's tweet image. Hili tambara wachache sana watalijuwa jina 😂

Sheriffs 🇹🇿 reposted

Hii yenyewe.. Anya na Chris


Sheriffs 🇹🇿 reposted

Petro Luanda are in Lubumbashi to face TP Mazembe. 🚨 #CAFCLwithMicky #TotalEnergiesCAFCL

MickyJnr__'s tweet image. Petro Luanda are in Lubumbashi to face TP Mazembe. 🚨

#CAFCLwithMicky 
#TotalEnergiesCAFCL
MickyJnr__'s tweet image. Petro Luanda are in Lubumbashi to face TP Mazembe. 🚨

#CAFCLwithMicky 
#TotalEnergiesCAFCL

Sheriffs 🇹🇿 reposted

So Atletico Madrid will only play with 6 players then? 🤔🟦

🚨 A blue card is to be introduced in football 🟦 The new card will see players removed from the field for 10 minutes if they commit a cynical foul or show dissent, per The @Telegraph 👀

OneFootball's tweet image. 🚨 A blue card is to be introduced in football 🟦

The new card will see players removed from the field for 10 minutes if they commit a cynical foul or show dissent, per The @Telegraph 👀


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.