Japhari L. Kibona
@Visualizedboy
*The talented ones are the Blessed ones* 📌Graduated at UDOM (2017-2020) 📌BedADMAN 📌SIMBA SC, MAN UTD&R. MADRID FAN Am here to hang around with sociable ones
You might like
Unaweza kuwa na mgogoro mkubwa wa kihisia na maumivu makali kiasi kwamba unatumia ngono kupambana na hisia unazoogopa kuzikabili. Hisia za ngono zinakuwa tambara unalotumia kufunika fundo gumu la hisia unazokwepa kuzizungumzia. Ngono ikishakoma kuwa tendo linalokuunganisha na…
Askari wa Magereza wamenizuia kuingia gereza la Ukonga leo kumwona Mwenyekiti @TunduALissu . Wamesema wana maelekezo kuwa asionane na kiongozi yoyote wa @ChademaTZ2 . Tutautaarifu umma hatua tutakazochukua kufuatia kadhia hii. #FreeTunduLissu #FreeChadema #freetanzania
Tukifanikiwa kuwapotezea Wasanii, Timu za Kariakoo pamoja na Wapuuzi wachache ambao wapo mitandaoni kwa sababu za kueneza propaganda, Kituo kinachofuata ni TANZANIA NJEMA..
Aminini nawaambieni. Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao. Na zaidi mtauona umuhimu wa kukosoa!! Hakuna kikubwa wanachopata zaidi ya kupoteza vingi, Sana sana nyie…
Nguvu ya tuk tuks, boda bodas, na matatus katika kampeni za watawala kuchukua madaraka hugeuka tishio pale watawala wawapo katika position ya hatia. Maskini hana itikadi. Leo yupo huku; kesho yupo kule. Hili huwanyima usingizi watawala dhalimu: namna ya kuwadhibiti maskini…
"Ukipewa hela zihesabu kwanza. Kuzihesabu haina maana kuwa humuamini anayekupa, bali inakuweka huru wewe na yeye kwa mashaka yoyote yanayoweza kujitokeza mbeleni ikitokea kuna upungufu katika hela hizo" ~Togolani Mavura.
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥 Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI , ⛔️ Usihudhurie show zao. ⛔️ Wa-unfollow kila…
Breaking News!! Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.
Tumewahi jadili humu kua vyombo vyetu havijawahi kukutana na changamoto serious back to back. Siku wakikutana na matukio serious ndani ya wiki tutaona matundu ya net kila sehemu. Ifike hatua tuchague kua serious.
Eti AONYWA?! What the hell is that supposed to mean?! Au alitumwa kusema hayo?!Maana vinginevyo tungesikia kashtakiwa kwa UHAINI/UGAIDI… NB: Sema MCHONGO wa kutugawa kidini UMEBUMA.😎
Tukielekea #D9 tutoke tukiwa tumejiandaa Kuna mambo tumejifunza 👉🏽 Polisi ni kama magaidi hawana msaada kwetu ❌ wanafyatua risadi hovyo 👉🏽 Risasi ikikupata au mtu karibu yako jaribu kujiburuta au kumburuta mhusika sehemu salama - msije mkaishia wote kudhurika 👉🏽 Hifadhi hiki…
FURSA KWA WATAFITI Watanzania mlioko katika sekta ya Elimu... Kuna hii fursa. If you passionate about enhancing school leadership to promote educational quality, equity, and system resilience across Africa, ESSA wanatoa up to $15,000 for Descriptive Action Research and $35,000…
Kama una kamjomba kako au kadogo kako kamekuja Dar first Year kape namba yangu nikape pamba kali kasionekane kakuja ☎️ 0623533526 Bolt: The Mandevu Store Location :Mabibo Mwembeni
"Kuwapa maarifa wengine hakukupunguzii maarifa yako uliyonayo bali huyaongeza. Maarifa unayoyatoa kwa wengine yanaachia nafasi katika ubongo wako wa kuruhusu maarifa mapya. Usipoyatoa kwa wengine, hayo uliyonayo yanachakaa." ~Togolani Mavura.
Kabla ya kuwa na DINI ulianza kuwa Mtanganyika Kabla ya kuwa Mwanachama uTanganyika ulianza Kabla ya Uanaharakati, uTanganyika ulianza Usikubali kutolewa relini Mkuu, hudai Haki kisa Fulani anadai, ila unadai Haki kwasababu wewe ndio muhanga namba moja. 🚶🏾♂️🚶🏾♂️
“Unajua nacheka nini? Hii ni maajabu” 😂
Nilimwambia itatokea namna hii ili ikitokea msifikirie ni kwa nguvu zenu. Wala kwa akili zenu. Wala uwezo wenu. Ni mkono wa Mungu utakuwa umefanya. Mjue mmpewa na Mungu. Na nikitoka hapa upepo utaanza kuvuma, ambao hujawahi kuona. You will see a miracle. #Code
Mwanadamu hutamani kujua ni lini, lakini MUNGU hatoi Exactly siku au tarehe, ila atakupa ISHARA! Marko 16:17 "Na ISHARA hizi zitafuatana na wale WAAMINIO..." Keep holding, God is under control. Na siku ifika ATASHTUKIZA kama ambavyo alifanya nyakati zilizopita.
Canada ni nchi ambayo kila kitu kimepangiliwa na mifumo iko wazi. Kama una haki ya kupata kitu fulani, watakupa. Taarifa yoyote utakayo utaipata online au unaweza kupigia simu mamlaka husika na wanapokea. Unaweza kuwatumia barua viongozi hata waziri mkuu na ofisi zao zitakujibu.
United States Trends
- 1. #WWERaw 13.1K posts
- 2. Kalani 8,535 posts
- 3. Stein 16.4K posts
- 4. Sidney Crosby N/A
- 5. Crumbl 1,023 posts
- 6. #NEPats 1,295 posts
- 7. Abdul Carter 2,630 posts
- 8. Penn State 10.8K posts
- 9. Admiral Bradley 18.3K posts
- 10. Monday Night Football 3,633 posts
- 11. Ivy Nile N/A
- 12. #Patriots 3,381 posts
- 13. #jeopardy N/A
- 14. Hartline 4,557 posts
- 15. REAL ID 8,605 posts
- 16. Josh Norris N/A
- 17. Jaxson Dart 4,979 posts
- 18. Merry Christmas 59.7K posts
- 19. FEED THE STUDS N/A
- 20. #NYGvsNE N/A
You might like
-
Nathan Paul Jr
@Fikra_pevu -
Makanya jr
@kayombo29 -
D E E 🇹🇿
@LubonaJr -
Shane McMahon
@ShaneShayo -
D I N G O O
@dingoopoul97 -
Mkataumeme
@Shabiki255 -
#Man_water🇧🇸
@Mc_walterII -
Mwalimu Tarajali
@nzagamba2015 -
hurryGun🔫
@6xtus -
HERO🧠
@HenryRobertJr1 -
Kerrigan
@clinton_lema -
JacobJooh
@ngengemkeniiiii -
Gustaph Lyakurwa.
@Gustaphlyakurwa -
Elias
@EliasEliasBoy -
Abuu Zahraa
@Ibn_Mustwapha97
Something went wrong.
Something went wrong.