ibracadabra__jr
@cadabrajr44
Belive in God @Manchesterunited @Yanga #Father
You might like
Gen Z Tanzania wanavyozima udini kwa utani na ubunifu bbc.in/3LXl1fu
Young Africans edge AS FAR with a single goal. 👏 #TotalEnergiesCAFCL
Many Tanzanians want an international independent investigation into the killings. Three weeks after the election, there are many families still searching for their loved ones
Hii ripoti ya @CNN!!!!! Moyo wangu unavuja damu. Kwamba mliwaondoa majeruhi wazima na kuwapeleka mortuary? Kwamba mmezika watu kwenye makaburi ya pamoja, badala ya kuwapa ndugu miili ya watu wao? Haya mtayajibu vipi? Hiyo kiu ya madaraka ni kubwa kiasi gani kwamba unafanya…
Wakristo Wenzangu Assalam Aleykum mmeamka salama? Allah awalinde na wafunike kwa Damu ya Yesu.
Bunge la Ulaya limepitisha pingamizi dhidi ya mpango wa Tume ya Ulaya wa kuelekeza msaada wa kifedha kwenda Tanzania kupitia mfuko wa NDICI-Global Europe hatua inayotajwa kuchochewa na hali ya kisiasa inayoendelea Nchini Tanzania. Hatua hiyo imekuja baada ya matokeo ya kura…
Huyu Sheikh Shafii Tukimpiga vizuri anaweza kutuambia akili nyingi katoa wapi. Jamaa katumia njia nyepesi sana kuwaelewesha Vishoia
Hivi ndivyo DUNIA inavyotangaza habari za TANZANIA. Wakati vyombo vya habari vya ndani vikikwepa kuongelea kabisa habari kama hizi dunia imeendelea kutangaza UHALISIA kama hivi. Hii inamaanisha hata bila MEDIA za bongo dunia itaona na itasikia HABARI ZA UHALISIA wa…
Aksante TEC, Aksante Kanisa. Ni Mungu pekee ametulinda hata sasa sisi dhidi ya muuwaji Samia. Hatutakufa bali tutaishi kuushuhudia UKUU wa Mungu wetu tunayemuabudu.
Anazungumza Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pissa. Aksante TEC. Aksante Kanisa la Mungu tunayemuamini🙏🏽😭
"Kuandamana ni haki ya raia kama njia ya kufikisha ujumbe au malalamiko ikiwa njia ya mazungumzo imeshindikana. Chamsingi yawe maandamano ya amani". Askofu Wolfgang Pisa, Raisi wa TEC. November 15, 2025
"Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote wawajibike, au kuwajibishwa na mamlaka zao za uteuzi. Hasira ya Wananchi ipo katika kuona hakuna anayewajibika kwa matendo maovu waliyofanyiwa raia".-; Askofu Wolfgang Pisa, Rais wa TEC. November 15, 2025
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote. Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki. Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu. Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia. Damu ya wenzetu haijamwagika…
HIZI NDIYO TAFAKARI ZA KITUME . Mababa Askofu TEC watoa tafakari ya hapa tulipo na tunatokaje.Hawa ndiyo Wachungaji wa kondoo.Tujihadhari sana na wala Kondoo.
MAMA WA KAMBO ACHA UONGO! Wewe binafsi umehuzunishwa na nini? Watu wamekufa 2 weeks ago, na wameuliwa na Askari ambao unajitapa kuwa wewe ndio Amri Jeshi Mkuu, na isitoshe ukaja na kuilaghai Dunia kuwa walikuwa Raia wa Kigeni, na on top of it ukaweka vitisho vya kutumia Nguvu…
I swear to GOD I hate her voice.
Alipata kusema mchungaji Kakobe.
Hakuna kitakachofichwa waliohusika na mauaji haya lazima wawajibishwe. Video @bbcswahili
Walitaka dunia isisikie na kuona haya mauaji. Ona leo @bbcswahili wamethibitisha mauaji yalifanywa na VYOMBO VYA USALAMA. Walijua haya yatabaki GIZANI milele wakizima mtandao. Asante @bbcswahili 🙏 Repost 500 TUTAKUWEPO🫵😎
United States Trends
- 1. #GMMTV2026 258K posts
- 2. Moe Odum N/A
- 3. #WWERaw 76K posts
- 4. Purdy 28.2K posts
- 5. Panthers 37.7K posts
- 6. Finch 14.5K posts
- 7. Bryce 21.2K posts
- 8. TOP CALL 9,240 posts
- 9. Keegan Murray 1,510 posts
- 10. Gonzaga 4,072 posts
- 11. 49ers 42.2K posts
- 12. Canales 13.4K posts
- 13. AI Alert 7,905 posts
- 14. Timberwolves 3,862 posts
- 15. Alan Dershowitz 2,633 posts
- 16. Check Analyze 2,377 posts
- 17. Market Focus 4,722 posts
- 18. Token Signal 8,497 posts
- 19. #FTTB 5,916 posts
- 20. Penta 10.7K posts
You might like
-
Paulo na Sila 🩸
@PauloNaSilla -
ROTTA👃
@EddyAB_ -
AGAFE
@tussiwe -
king lameck
@king_lameck -
Dr. KENGE WA BARA
@MPOGOMI -
SungweCost
@sungweone -
M k i b o s h o.!
@AmaniLeodigard -
Mzee mzee
@JoseTillya -
KITASA🔑🧥
@kikotiofficial -
NKOSI WA AFRIKA
@nkosiwaafrika -
ʙʟαCκ MαMʙα
@JuniorChumviTz -
Athanas
@athanasrenatus -
Mr. Guchibanda (Senator)
@guchibanda -
Nkunda Laurent
@FidelisLaurent -
PAYO☠️
@aimkelv
Something went wrong.
Something went wrong.