cycleclement's profile picture. Be yourself and keep it simple

clementc

@cycleclement

Be yourself and keep it simple

clementc reposted

Terror in Tanzania: Torture, Killings, and Political Kidnappings Fuel a Rising Panic washingtonstand.com/article/terror… Thank you @WSHStand 🙏🏽


clementc reposted

Mnataka tuache kuzungumzia haya? Mnataka tusahau haya? Nchimbi unaakili sawasawa kweli? Kwamba wote tuwe na dementia kama nyinyi na kumbukumbu za ndugu zetu mliowaua ili mpate vyeo zipotee? Nyinyi ni blood mongers #SamiaTheKillerMustGo

InexorablesoG's tweet image. Mnataka tuache kuzungumzia haya? 
Mnataka tusahau haya?
Nchimbi unaakili sawasawa kweli?
Kwamba wote tuwe na dementia kama nyinyi na kumbukumbu za ndugu zetu mliowaua ili mpate vyeo zipotee? 
Nyinyi ni blood mongers 

#SamiaTheKillerMustGo

clementc reposted

CCM imeua ndoto za vijana wengi sana kutokana na mifumo mibovu ya kuongoza nchi. CCM inataka kutuongoza kama mazezeta; hawataki tujielewe wala tuulize maswali. CCM ni tafsiri ya mfumo kandamizi. Hii si siasa, ni uhalisia wa tunayoyapitia katika nchi yetu wenyewe. Naichukia CCM.


clementc reposted

Free SC Tundu AM Lissu Now!!


clementc reposted

‼️🚨 SULUHU AND HER MURDEROUS CABAL BLOCK BBC YOUTUBE DOCUMENTARY URL IN #Tanzania‼️ Following the @BBCAfrica BBCEye investigative piece on #EnforcedDisappearances - the documentary URL both English and Swahili versions - have been blocked officially! It can only be viewed with…

MariaSTsehai's tweet image. ‼️🚨 SULUHU AND HER MURDEROUS CABAL BLOCK BBC YOUTUBE DOCUMENTARY URL IN #Tanzania‼️
Following the @BBCAfrica BBCEye investigative piece on #EnforcedDisappearances  - the documentary URL both English and Swahili versions - have been blocked officially! It can only be viewed with…

clementc reposted

Kwenye kikao baada ya mauaji halaiki ya #MO29 Mwuaji-in-Chief alipoapishwa kwenye kificho kambi ya jeshi, aliambiwa “ikifika Januari watanzania watakuwa wameshasahau watakuwa bize na mambo mengine!” Wakamwambia watanganyika hawana kumbukumbu na wataleta michezo na burudani…

MariaSTsehai's tweet image. Kwenye kikao baada ya mauaji halaiki ya #MO29 Mwuaji-in-Chief alipoapishwa kwenye kificho kambi ya jeshi, aliambiwa “ikifika Januari watanzania watakuwa wameshasahau watakuwa bize na mambo mengine!” Wakamwambia watanganyika hawana kumbukumbu na wataleta michezo na burudani…

clementc reposted

Hata ktk ajali ya baharini au angani wafiwa hutafuta miili ya wapendwa wao ili wapate 'closure, waweze kuaga wapendwa wao kwa heshima. Sembuse waliouawa na kupotezwa mwaka jana. Hakuna closure bila kupata wapendwa wao na uwajibikaji wa waliosababisha vifo vyao


clementc reposted

Nipo nipo tu wapendwa 😎 msione kimya! Hiki si kipindi cha kusema mengi - so nipo nawasoma, nawaelewa, nafanyia kazi mambo mengi! #TutaelewanaTu

MariaSTsehai's tweet image. Nipo nipo tu wapendwa 😎 msione kimya!
Hiki si kipindi cha kusema mengi - so nipo nawasoma, nawaelewa, nafanyia kazi mambo mengi!
#TutaelewanaTu

clementc reposted

Anaandika Askofu Bagonza: “Mimi nadhani tunahitaji kumbukumbu ndiyo maana; a) Kila mwaka 7/4 tunakumbuka kuuawa kwa hayati Amani Abeid Karume. Tunamtonesha nani? b) Kila 14/10 tunakumbuka kifo cha hayati Julius Kambarage Nyerere. Tunamtonesha Mjaluo yupi? c) Tuna siku ya…

MariaSTsehai's tweet image. Anaandika Askofu Bagonza:
“Mimi nadhani tunahitaji kumbukumbu ndiyo maana;
a) Kila mwaka 7/4 tunakumbuka kuuawa kwa hayati Amani Abeid Karume. Tunamtonesha nani?
b) Kila 14/10 tunakumbuka kifo cha hayati Julius Kambarage Nyerere. Tunamtonesha Mjaluo yupi?
c) Tuna siku ya…

clementc reposted

THE ENABLER! @akin_adesina has been the enabler of the Butcher of Tanzania @SuluhuSamia and when I flagged to him a year or kore ago the abductions and torture done by her, Adesina blocked me! That is when I knew something’s up! He needs to be included in the ICC and any other…

MariaSTsehai's tweet image. THE ENABLER!
@akin_adesina has been the enabler of the Butcher of Tanzania @SuluhuSamia and when I flagged to him a year or kore ago the abductions and torture done by her, Adesina blocked me! That is when I knew something’s up! 
He needs to be included in the ICC and any other…
MariaSTsehai's tweet image. THE ENABLER!
@akin_adesina has been the enabler of the Butcher of Tanzania @SuluhuSamia and when I flagged to him a year or kore ago the abductions and torture done by her, Adesina blocked me! That is when I knew something’s up! 
He needs to be included in the ICC and any other…

clementc reposted

These MoFos 🖕🏽Mafwele and Co 🚮 Mnapambana kuni hack zaidi ya mwezi sasa na mi nawazoom tu! Tulieni kwa sasa! Kila kitu kiko set - hata kesho mniue -@IntlCrimCourt hamtakwepa na uwajibikaji upo! Nilihakikisha hili! Make sure you watch this @BBCAfrica documentary about…

MariaSTsehai's tweet image. These MoFos 🖕🏽Mafwele and Co 🚮
Mnapambana kuni hack zaidi ya mwezi sasa na mi nawazoom tu! Tulieni kwa sasa! Kila kitu kiko set - hata kesho mniue -@IntlCrimCourt hamtakwepa na uwajibikaji upo! Nilihakikisha hili! 

Make sure you watch this @BBCAfrica documentary about…

clementc reposted

Habari zenu Watanzania, wauwaji bado wanahangaika kutafuta legitimacy. Lazaro Nyalandu ndio anaewatafutia hiyo mikutano yote ya kupiga picha na viongozi wa nchi za nje. Kwa sasa Nyalandu yuko Marekani anawatafutia mikutano mingine, so far Kampatia Zungu mkutano na speaker wa…

mangekimambi's tweet image. Habari zenu Watanzania, wauwaji bado wanahangaika kutafuta legitimacy. Lazaro Nyalandu ndio anaewatafutia hiyo mikutano yote ya kupiga picha na viongozi wa nchi za nje. 

Kwa sasa Nyalandu yuko Marekani anawatafutia mikutano mingine, so far Kampatia Zungu mkutano na speaker wa…
mangekimambi's tweet image. Habari zenu Watanzania, wauwaji bado wanahangaika kutafuta legitimacy. Lazaro Nyalandu ndio anaewatafutia hiyo mikutano yote ya kupiga picha na viongozi wa nchi za nje. 

Kwa sasa Nyalandu yuko Marekani anawatafutia mikutano mingine, so far Kampatia Zungu mkutano na speaker wa…
mangekimambi's tweet image. Habari zenu Watanzania, wauwaji bado wanahangaika kutafuta legitimacy. Lazaro Nyalandu ndio anaewatafutia hiyo mikutano yote ya kupiga picha na viongozi wa nchi za nje. 

Kwa sasa Nyalandu yuko Marekani anawatafutia mikutano mingine, so far Kampatia Zungu mkutano na speaker wa…

clementc reposted

Ninamtakia wiki njema Tundu AM Lissu na mateka wote wa kisiasa popote walipo. Kundi hili la wahanga wa siasa za kizandiki wanahitaji matumaini ili waione kesho wakiwa imara. Survival ya aliye kizuizini inajengwa na uimara wa kuamini kesho njema itafika & it is well. Solidarity.


clementc reposted

Huu ndio mchezo ametufanyia DW WORLD -- Kwa sasa ni mmiliki wa bandari zote nchini -- Ana control njia zote za maji nchini Panama mahakama imesema mambo kama haya kampuni kumiliki bandari na maeneo ya bandari ni makosa na sio takwa la katiba kwa nchi hiyo haya ndio…

President Trump has kicked China out of the western hemisphere. China lost Venezuela and the Panama Canal. The Panama courts have ruled that China's CK Hutchison cannot own the ports on each side of the Panama Canal. Control of the two ports equals control of the Panama Canal.…



clementc reposted

Watulie kama maji kwenye mtungi 🤣 Yaani hii inaitwa funga kazi! Kimama hiyo safari yake ya Abu Dhabi aitangaze basi mbona kimyakimya?


clementc reposted

Get dramatically closer with 8x zoom.


clementc reposted

Nyie viongozi uchwara ndani ya serikali haramu ya @SuluhuSamia acheni kukaa vikao kujadili namna ya kuifuta @ChademaTZ2 Narudia ACHENI! Mtafeli mapema! Tunawafuatilia kwa karibu na mipango yenu miovu! Mnavyoendelea kuumiza wanachama na chama hiki ndivyo mnavyozidi kukiua FAMILY…

MariaSTsehai's tweet image. Nyie viongozi uchwara ndani ya serikali haramu ya @SuluhuSamia acheni kukaa vikao kujadili namna ya kuifuta @ChademaTZ2 
Narudia ACHENI! Mtafeli mapema!
Tunawafuatilia kwa karibu na mipango yenu miovu!
Mnavyoendelea kuumiza wanachama na chama hiki ndivyo mnavyozidi kukiua FAMILY…

clementc reposted

Hadharani wanadai maridhiano; ndani wanaendeleza kuteka na kutoa mashinikizo kwa Majaji ili viongozi walio mahabusu waendelee kushikiliwa. Hamuwezi kuleta maridhiano kwa kuiweka pembeni taasisi kama Chadema yenye viongozi na wanachama waathirika wakubwa ktk mnayotaka kuridhiana.

joeselasini's tweet image. Hadharani wanadai maridhiano; ndani wanaendeleza kuteka na kutoa mashinikizo kwa Majaji ili viongozi walio mahabusu waendelee kushikiliwa.
Hamuwezi kuleta maridhiano kwa kuiweka pembeni taasisi kama Chadema yenye viongozi na wanachama waathirika wakubwa ktk mnayotaka kuridhiana.

Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa ujanja ujanja na uongo… Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kukodi wahuni watukane watu wanaosema ukweli… Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kuua kila mwenye mawazo tofauti.. Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kujaza watu hofu ya kutekwa au kumbambikiziwa…



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.