You might like
Maswali ya Dodoso ya Wakili Deogratias Mahinyila (Mwenyekiti wa Bavicha Taifa) kwa Shahidi wa pili (PW2) ambae ni Veronica Makasi Nyamkura ambae anasema yeye ana umri wa miaka 53. Mahinyila: Mama Shikamoo Veronica: Marahaba Mahinyila: Unajua mimi niko kazini hapa na sina
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 206 Ubishani unaendelea kati ya Mhe. Lissu na Wakili wa Serikali Wakili wa Serikali: Mshitakiwa kama aliandika kwenye maelezo yake kufanya vurugu na yeye akajibu kuzuia uchaguzi ndiyo kufanya vurugu zenyewe, namuomba shahidi atueleze alivosema
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 205 Mhe. Lissu anaendelea na Cross Examination. Mhe. Lissu: katika maelezo yako kuna sehemu yoyote umesema mwenyekiti Tundu Lissu amesema tufanye vurugu? Shahidi wa kificho P3 : Hapana hakuna hayo maelezo Mhe. Lissu: unafahamu maana ya neno
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 203 Mhe. Lissu anaendelea na Cross Examination, Jaji Ndunguru: upande wa mashitaka. Mkude: No objection. Jaji Ndunguru : turejee kifungu 194 cha CPA. Mkude: kifungu cha 194 kwa ujumla wake ni kuhusu protection ya ushahidi, kwa sababu shahidi
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 202 Mhe. Lissu ameanza kumfanyia Cross examination Shahidi wa kificho P3. Mhe. Lissu: shahidi hapo ulipo unaweza kuniona? Shahidi wa kificho P3 : hapana Mhe. Lissu: kwa taarifa yako hata mm siwezi kukuona kweli si kweli? Shahidi wa kificho P3 :
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 201 Anasimama Wakili wa Serikali Mkude anasema tunashahidi mwingie wa kulindwa ni P3, Mpaka sasa huyu ni shahidi wa 13. Shahidi ameingia kwenye kijumba cha mbao tayari. Sasa anajitambulisha. Shahidi wa kificho P3 : Nina miaka 35 Shahidi wa
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 200 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi Coplo Vicent. Mhe. Lissu: waeleze wahesimiwa majaji kama kuna mtu yoyote alishuhudia ukiandiika hayo maelezo Shahidi Coplo Vicent : hakuna niliandika mm mwenyewe Mhe. Lissu: uliambiwa
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 199 Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 198 Anaingia jamaa mmoja mrefu, kavaa kaundasuti nyeusi anakitambi ila sio mnene wala mwembamba anaingia hapa. Jaji anauliza Shahidi unaitwa nani? H937 Detective Vincent 36 umri, Mkristo, Anapewa biblia kwa ajili ya kuapa anasema atasema
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 197 Katuga anasema: Kuna chama kinasema lazima mashahidi wote wa kificho watajulikana, sisi ni rai yetu kwamba ipo siku hata mimi nitakuja kuambiwa nilishawahi kuwa shahidi wa kificho, kwahiyo tunaomba mahakama itolee maamuzi ili kuondoa shida ya
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 19, 2026 Jana tuliishia Part 195 so leo tunaendelea na-; Part 196 Majaji na mtuhumiwa ndio wanaingia ndani ya Chumba cha Mahakama almaarufu Ukumbi Na. 1 hapa Mahakama Kuu. Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, John Heche alifika mapema sana
UTANGULIZI KUHUSU KESI YA MHE. LISSU Leo Tarehe 19/02/2026 tunaendelea tena na Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu. Hadi sasa tumeshasikiliza ushahidi wa Mashahidi 11 wa Jamhuri na leo tutaendelea na shahidi wa 12 na kuendelea
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 194 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination P7 ambae ni shahidi wa kificho. Shahidi wa kificho P7 : Ni kweli Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama hayo maneno kuhusu majaji yapo? Shahidi wa kificho P7 : hayapo. Mhe. Lissu: Je kwenye
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 193 Wakili wa Serikali; ikawaje? Shahidi wa kificho : Nikaandika maelezo haya niliyoyatoa Mahakamani. Wakili wa Serikali anasema Mheshimiwa Jaji Mwisho wa Mahojiano na Shahidi. Tuko tayari kwa Maswali ya Dodoso. Anasimama Mhe. Tundu Lissu.
TOILET PAPER. Media house ni corrupted kwa kiwango kisichorekebishika. Narejea katuni ya @masoudkipanya alipozifananisha na ‘toilet paper’. Nafikiri hakukosea. Zinaogopa kuripoti cross-examination ya Tundu Lissu (tazama video). zinaandika na kuonesha upande wa
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 191 Jaji Ndunguru anawaita upande wa Serikali kwa ajili ya Re-Examination Wakili wa Serikali anasema hawatakuwa na maswali. Jaji Ndunguru : Shahidi sasa uende tumemalizana. Shahidi anasepa. Renatus Mkude: Tunae shahidi P7 tunaomba yeye
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 189 Wakili wa Serikali anaendelea kumuongoza shahidi wa kificho P4 Wakili: Nini kingine? Shahidi wa kificho P4 : Tulivyoenda kuripoti Tarehe 17/04 tuliambiwa tusubiri tuandikwe maelezo, nikaandikwa hayo maelezo. Wakili: Unamfahamuje huyo Tundu
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 190 Mhe. Lissu anaendelea na kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P4 Mhe. Lissu: Ulisema ulikuwa unaperuzi kwa simu yako majira ya Mchana, waeleze kwenye hayo maelezo, maneno hayo yapo? Shahidi wa kificho P4 : yuko kimya. Shahidi wa
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 188 Mahakama imerejea. Majaji wameingia muda huu saa tisa. Mhe. Tundu Lissu yupo. Cha ajabu Mawakili wa Serikali hawapo. Mh. Lissu ameuliza Jamhuri imekimbia. Watu wanacheka.😂😂😂 Majaji wako pale mbele. Hakuna kinachoendelea muda huu.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 187 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi ASP Geofrey Lutufye. Mhe. Lissu: Mnajifanya mapolisi mnawasingizia watu vitu vya bure haya itakushangaza hao mliowakamata baada ya kesi yao kuisha ni mashahidi wa kesi hii? ASP
United States Trends
- 1. Xbox N/A
- 2. Supreme Court N/A
- 3. SCOTUS N/A
- 4. Jack Hughes N/A
- 5. Slovakia N/A
- 6. Congress N/A
- 7. Tariffs N/A
- 8. Phil Spencer N/A
- 9. Tage Thompson N/A
- 10. Constitution N/A
- 11. IEEPA N/A
- 12. Sarah Bond N/A
- 13. Mitch N/A
- 14. Microsoft N/A
- 15. Huckabee N/A
- 16. Tucker N/A
- 17. #USAHockey N/A
- 18. Dylan Larkin N/A
- 19. Eichel N/A
- 20. Kavanaugh N/A
You might like
Something went wrong.
Something went wrong.