Lucas josh
@lucas_josh8
Just engage #No gravity
Mh. John Heche na viongozi wengine waliokamatwa wameachiliwa huru. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tuwaombee warehemu wote wapate pumziko la amani Damu zao ziwe juu ya vizazi vyote vilivyo sababisha haya💔
Jeshi la polisi jana walituambia HAWA ni bodaboda Kutoka nchi jirani. Hawa ndio wameua watanzania zaidi ya ELFU 3 nchi nzima. REPOST 500 ———————— Yesterday, the police told us that THESE are motorcycle riders from a neighboring country. These are the ones who have killed…
#TajiriLaKihaya Kama Tweep anadiriki KUCHEKA, KUKEJELI watu katika Kipindi hiki… Basi huyo Hafai hata kua Rafiki yako Humu… UnFollow na Block- huyo ni muuaji!
The problem with Tanzania’s Electoral Commission is that it has come to view the electoral process as its personal property rather than a civic exercise belonging to the people. The very name of the Commission contradicts its conduct. One moment it narrows the rules, the next it…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 16, 2025 Jana tuliishia part 105 so leo tunaendelea na-; Part 106 Muda huu ni saa tatu asubuhi. Tumefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Hali ya Mahakama ni nzuri. Tunawashuhudia Waandishi wakichukua picha…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 60 Mhe. Lissu : wakati unaongoza hiyo timu ulisema, Tar. 06/04 ulimtafuta Mkurugenzi wa Jambo TV John Marwa? George : siwezi kukutajia ila nilipata namba ya kiongozi wa Jambo TV sikujua jina lake kama ndio Marwa. Mhe. Lissu : Huyu Kiongozi wa…
Whatsapp watoe update mpya tuwe yunazuia zile "THIS GROUP WAS MENTIONED" Inakera kinoma.
Linapofika swala la dini ndo utagundua kuwa kumbe as africans bado tuna safari ndefu.. Soma comments humo ndani👎🏿👎🏿
#TajiriLaKihaya Wale jamaaa ukiwapa vifungo vya biblia… Utasikia wanajitetea eti- Biblia inafaa kusomwa ukiwa na Roho mtakatifu… Hivi hivi huwezi ielewa😅😀😅 Kwa hio ni wangapi wanaoshikwa na hio roho mtakatifu? Kwa maana hio basi asilimia 80% yao hawaielewi biblia-…
#TajiriLaKihaya Leo kwenye POST zangu jitahidi ukiisoma usipandishe kisukari… Ndio namalizia malizia mwaka - Niachane na Twitter💯
#TajiriLaKihaya Huu ndio mwezi wangu wa mwisho nkiwa na miaka 29. Namalizia malizia Ku Post upuuzi… mwakani nikiwa 30yrs Natulia kabisaaa! Na mambo ya kienda vizuri naweza toka Twitter kabisaaa… kama nlivyoacha IG na FB baada ya kugonga 25yrs.
Ni leo hiyo kutakuw na zile status za kuunganisha picha na caption za bye bye 2024,mara fake friends bla bla...
Kwani hamuwezi angalia #SquidGame2 bila kupost wazee 🙆♂️ Au ndo ile kuonekana unafatilia sana🙌🏿
Samia Suluhu Hassan is NOT my President. RT if you agree.
United States Trends
- 1. #hazbinhotelseason2 31.5K posts
- 2. Northern Lights 47.3K posts
- 3. #HazbinHotelSpoilers 2,776 posts
- 4. #huskerdust 8,770 posts
- 5. #chaggie 4,625 posts
- 6. #Auroraborealis 4,714 posts
- 7. Vaggie 5,899 posts
- 8. MIND-BLOWING 36.3K posts
- 9. Carmilla 2,558 posts
- 10. H-1B 38.2K posts
- 11. SPECTACULAR 25.7K posts
- 12. H1-B 4,401 posts
- 13. Superb 23.1K posts
- 14. Wike 229K posts
- 15. Justified 18.5K posts
- 16. Sabonis 6,297 posts
- 17. Creighton 2,381 posts
- 18. Justin Edwards 2,603 posts
- 19. STEM 15.8K posts
- 20. Jamal Murray N/A
Something went wrong.
Something went wrong.