#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO
@manaal_ms
"And our Lord does not burden a soul beyond that it can bear". (2:286)
You might like
35 days Wewe ndiye uliniletea Daniel katika maisha yangu. Wewe ndiye ulitoa kibali cha upendo wetu, uvumilivu wetu, na safari yetu pamoja. Wewe uliweka msingi kati yetu wetu, uliotufikisha hapa mimi na danny. Ee Mungu, unaona jinsi ninavyohangaika mwili umechoka, moyo umebeba…
A seed can not grow into a tree without first being buried in the darkness of the soil. suffocated by weight but within that struggle something miraculous happens the seed breaks open it transforms what looked like its destruction was actually the beginning of its new life. the…
Hakuna watu wengine wanafiki kama wale wanaojifunika majuba au swala tano na astaghafirullah nyingi mdomoni, wanafiki wakubwa nyie ndio mtavutwa midomo siku ya kiama. Muislam gani huna imani? Staki kuamini kuna watu hawana utu kiasi hichi 🚮🚮🚮🚮🚮
My heart aces💔 yaan hichi kitu kitabaki kwenye mioyo yetu, things will never be the same . Watu walioshuhudia vifo vya watu wao mbele ya macho yao itabaki kwenye mioyo yao milele, watoto walioshuhudia wazazi wao kuuliwa mbele yao, chuki watakayoijenga ndani yao itabaki…
Yaan ukiachana na wasanii na waandishi wa habari, kuna hawa watu ambao wanatuzunguka, wapo very cold hearted! Wamekosa utu kabisa yaan wamejaa ubaguzi tu nashindwa hata ku define, mnadhani ni wasanii tu? Tumezungukwa na watu wanafiki hawana utu wamejaa roho mbaya kabisa chuki…
Mmempiga risasi anko wangu bila sababu akiwa getini kwake, tumekuja muhimbili mmetusibitishia na kutuonesha na sindano tukalipia leo tunakuja ili tuchukue mwili mnasema hayupo tuelezeni mmempeleka wapii 😭😭😭
"Mimi naongea haya sababu nimepoteza dada yangu na hakuwa kwenye maandamano. Alikuwa anaendesha gari akiwa na mtoto wake mdogo. Kapigwa risasi akiwa anaendesha gari. Ame acha watoto wadogo wawili na mbaya zaidi mtoto wake mdogo ameshuhudia mama akifa machoni mwake! " C&P
“rabbi inni Lima anzalta ilayya min khairin faqeer” recite this dua whenever your heart feels uneasy, whenever you're in desperate need of something good to happen, recite this dua with full conviction that Allah swt is listening and will respond.
Ya Rab, sio kwamba nimekaa kimya kwa kukosa cha kusema kuhusu nchi yangu, bali maumivu yamenifanya nisipate maneno. Ya Allah, simama na uoneshe utukufu wako hakuna binadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwingine isipokuwa wewe, ee Mola. Sisi wengine hatuna wa kukimbilia ila…
We saw the killings. We’ll never forgive. We’ll never forget.
My heart aches for every soul that was lost during the elections in Tanzania. Innocent lives taken while standing for truth, for hope, for a better tomorrow. No words can ease the pain their families carry, no justice can replace the light that was stolen from us. They were sons,…
Tumepata taarifa za kuaminika kwamba Mh John Heche ameondolewa kituo cha polisi Mtumba Dodoma alipokuwa anashikiliwa kwa zaidi ya siku kumi na land cruiser nyeupe na kutokomea naye kusikojulikana.
“Sikubali utekaji, sikubali uonevu, sikubali ufisadi, nimedhamilia kusimama na wananchi mpaka utekaji ukome” Askofu Josephat Gwajima #MO29 #Maandamano #Oktoba29Tunatoka
"Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Ni hatari kubwa kwa amani yetu. Mtu akikosea apelekwe polisi na mahakamani. Haki itawale. La sivyo tunacheza na moto utatuangamiza sote. Tujitafakari na Tujisahihishe".-; Anna Tibaijuka.
I just finished listening to Bishop Gwajima today - he spoke many gems. A few stood out to me, especially this: it should always be about the people. People deserve respect - to be listened to, valued, and acknowledged. You cannot claim to build a nation while disregarding the…
Allahumma innaka 'afuwwun, tuhibbul-'afwa, fa'fu 'anna O Allah, You are Most Forgiving, and You love forgiveness; so forgive us.
“But Allah is your Protector, and He is the best of helpers.” — Al Qur’aan [3:150]
John Heche hajulikani alipo - Ndugu bbc.in/49g3SqL
Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia. So kama Kuna mama anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua wanae walipo na anawaona na anafuraha basi Mungu ataamua hawa wamama wengine atawafuta vipi machozi.
United States Trends
- 1. Northern Lights 36.3K posts
- 2. #DWTS 50K posts
- 3. #Aurora 7,473 posts
- 4. Justin Edwards 2,055 posts
- 5. Louisville 17.2K posts
- 6. #RHOSLC 6,361 posts
- 7. Creighton 1,991 posts
- 8. #OlandriaxHarpersBazaar 4,622 posts
- 9. Andy 60.7K posts
- 10. Gonzaga 2,634 posts
- 11. Lowe 12.5K posts
- 12. #GoAvsGo 1,432 posts
- 13. Oweh 2,038 posts
- 14. JT Toppin N/A
- 15. Kentucky 25.4K posts
- 16. Celtics 12.2K posts
- 17. Elaine 40.9K posts
- 18. Robert 100K posts
- 19. Dylan 31.1K posts
- 20. Go Cards 2,742 posts
You might like
-
Neema Mduma, PhD
@nakadori -
Zayed Bakhresa
@zayedbakhresa -
EnaLovesShawarma
@enamalisa -
Sunny ☀️
@alwaysmyra -
Laurel Kivuyo
@KivuyoLaurel -
Bonge La Afya
@BongeLaAfya -
Yours__Gee🥀
@Ganerosee -
Faraja | Direct Sales Agent
@faraja_zungu -
Jamii Forums
@JamiiForums -
Antidote
@Mentidote -
GGK✨
@GloryKazimoto -
KING👑🇹🇿🇰🇪
@KING39lh -
SIR JEFF⚡🇹🇿
@Sirjeff_D -
⁰³.⁰³.³³
@444holywitch -
Hildaya - Makash
@HildayaD
Something went wrong.
Something went wrong.