Thadei Mhabuka
@mhabukat
Hata ukisema ukweli watakuona mbaya wapate sababu yakukudhuru.
You might like
Huo ndio ukweli wenyewe na inaonyesha jinsi gani nchi yetu imepotea na kuchukuliwa na genge la watu wachache ambao hawajachaguliwa na wananchi. HUO NI UHAINI.
Wasajili chama ili tujue ni washindani baadala ya kutumia nguvu.
Leo ndo mkesha kusuburia #D25 Tuandae mabango, picha, maji na bendera na tukumbuke hii ni kwa ajili ya ndugu zetu waliouwawa na kwa ajili ya Tanzania mpya na bora Maandamano bila kikomo maana yake anytime, anywhere and every day! #SamiaMustGo #J1
Namfuatilia baba yangu CLEMENCE MWANDAMBO kwa karibu sana tangu arudi kutoka MATEKA ni kama kawa mara 10 ya alivyokuwa awali. Zamani mzee alikuwa anaongea kwa MAFUMBO sana, alikuwa anakosoa kwa kuweka Code nyingi sana. Ila baada ya KUTEKWA na kurudi uraiani kaanza kunyoosha…
Jaji mstaafu , Waziri Mkuu mstaafu Sinde Warioba anasema watanzania waliokufa kwenye vita ya KAGERA ni wachache kuliko waliokufa #MO29. Idadi ya watanzania waliokufa Vita ya KAGERA ni 373, huku idadi ya watanzania waliokufa #MO29 inakadiriwa kuwa zaidi ya watanzania ELFU KUMI.…
Niliongea mara kadhaa kuhusu mgawanyiko kwenye vyombo vya usalama, watu wakadhani naongea ili watu wapate motisha ya kuandamana….. Kuna jambo linakuja……… Huwezi kuua wananchi kinyama vile ukadhani maisha yataendelea tu
Igp wambura, achilia huyu mtanzania
Yet, yule msemaje wa serikali alikunanga wewe for asking Tanzanians to contact you with evidence, alafu sasa wanajaribu kufanya ulichofanya. Problem is hakuna mtu atawatumia chochote coz it’s a trap.
Kwa wale mnaonilaumu why sifungui account ingine instagram, ni hivi siruhusiwi kuwa kwenye platform yoyote ya meta kwa sasa. Hata nikifungua account ingine itafungwa hapo hapo. Yani ni lazma wanirudishe wenyewe. Trust me, it breaks my heart kuona kazi niliyoifanya, day & night…
Waziri mkuu, Jaji mtu mwenye rekodi kubwa amefanya kazi na mwalimu Nyerere anazungumza… Alafu wewe unatoka kumshambulia badala ya kujibu hoja zake. Kuna wapinzani wa ccm kwa mamia kwenye vituo vya polisi.. watu wamepigwa, wameuwawa, wamevunjwa na polisi na wengine…
Aliona jambo ambalo halifundishwi mashuleni wala vyuoni. Kwamba mtu anaweza kuwa mkatili na mwenye huruma kwa wakati mmoja. Alifahamu kuwa uhalifu hauui ubinadamu kabisa. Alipotoka jela aliandika kwmb jela ilimfundisha kuwa binadamu akivuliwa hadhi, bado hubaki na njaa ya maana.
Miaka ya gerezani ilimvunjavunja kimwili. Aliugua, alidhoofika, alikaribia hata kufa mara kadhaa. Lakini kiakili, akili yake ilizidi kuwa kali zaidi. Alipoachiwa huru, Fyodor Dostoevsky hakutoka kama mwandishi aliyefanikiwa. Bali kama mtu aliyefunuliwa ukweli mchungu wa maisha.
Jaji Sinde Warioba Haya ndio matunda ya Nyerere
WAKATI MAWAZO YANAPOKUWA KOSA. TUNDU LISSU SIO MHAINI #UZI Historia inajirudia kwa namna tofauti. Mnamo 1849, Fyodor Dostoevsky alifungwa si kwa kuua, si kwa kuiba, BALI kwa kufikiri na kuandika kwa uhuru. Leo, Afrika bado inaishi kipindi hicho kwa majina tofauti....
Thabiti Kombo alimwambia Samia anakwenda kupambana kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri amerudi na suti mpya na kuongezeka shavu tu Aliyesaidia sana ni Hamza Johari kujifanya yeye ni AG akaanza kutuma mabarua kila kona anataka watanzania wa kuua, Huyu Johari atasaidia sana…
MSIKILIZE BONIFACE JACOB MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA
Haya Albert Msando ana ushahidi wa mauaji ya Goba Centre - mdau anasema asikosekana kwenye orodha ya ICC apeleke ushahidi! Jamani tutafakari - kuna tofauti gani kati ya hawa wauaji na magaidi wengine kama Al Shabab? Ushenzi si kuua tu bali kilichofuata baada ya mauaji halaiki Ndo…
Taarifa muhimu kutoka “mabeberu” na jibu la Rubio kwa mapicha ya Kombo Kumbe kale ka msaada hamkupata? Ila endeleeni tu soon #tutaelewanatu mbona? Tunasubiri majibu na ufafanuzi wa kiwaki kutoka serikali haramu Sisi tunaendelea kusema #SamiaMustGo #D25 #J1
ALERT: Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Kamanda @ExMayorUbungo atazungumza na Watanzania leo hii. #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
United States Trends
- 1. Spurs 47.5K posts
- 2. Merry Christmas Eve 43.7K posts
- 3. Rockets 24.6K posts
- 4. #Pluribus 19.3K posts
- 5. Cooper Flagg 12K posts
- 6. UNLV 2,547 posts
- 7. Chet 9,934 posts
- 8. Ime Udoka N/A
- 9. SKOL 1,708 posts
- 10. #PorVida 1,728 posts
- 11. Mavs 6,288 posts
- 12. Randle 2,668 posts
- 13. Kawhi Leonard 1,032 posts
- 14. #VegasBorn N/A
- 15. Rosetta Stone N/A
- 16. #WWENXT 12.1K posts
- 17. connor 153K posts
- 18. Yellow 60K posts
- 19. #GoAvsGo N/A
- 20. Keldon Johnson 1,640 posts
You might like
-
Maburuki
@Maburuki6 -
Ambakisye Mwakisyala
@AmbakisyeMwak11 -
MDUDU MENDE
@mdudumende01 -
sai🎉
@Missai15378799 -
Josephat Masabuda
@Beybuddah -
George Rugambwa
@georgerugambwa -
Sophist
@emasinzo1 -
Rammy
@rammywrld -
Optimizer
@anthypocrisy19 -
Mamwavi_Nkabasia
@joeselasini -
Mwangunule
@OriginalMkisi -
DouglasMboya.
@DouglasMboya3 -
Romuald Mrosso
@MrossoRomuald -
reuben Dan
@scamber_ben -
General Ngola
@GeneralNgola
Something went wrong.
Something went wrong.