#scopemedia search results
"Sina taarifa za kutosha kuwahusu Kagera lakini nina fahamu ni timu nzurii, Tunaziheshimu timu zote ambazo tunapaswa kucheza nazo ni lazima tushinde kesho ili kutengeneza mazingira mazuri kuelekea mchezo dhidi ya Wydad" -Kocha Mkuu wa @SimbaSCTanzania A. Benchikha #ScopeMedia
Kumbe @yangasc hesabu ZENU za kufuzu Robo fainali ni rahisi kiasi hiki na hamsemi..? 😂 Haya Dogo wa YANGA ametupa hesabu zake za vidole kwa timu yake kutinga Robo fainali ya CAFCL msimu huu sema katuambia RB Leipzig sasa sijui ndio CR Belouzidad hiyo 😁. #ScopeMedia
"Kufungwa ni jambo la kawaida kwenye mpira wa Miguu kinachokera ni kuwa tumefungwa na MALIMBUKENI Najua mnapata kero mkikutana nao wanawakera sababu ya ulimbukeni wao sisi Simba si wa kwanza kufungwa". #ScopeMedia
Shabiki wa @SimbaSCTanzania Mchome Mapovu alitabiri kuwa timu yake itafungwa na Wydada kwa sababu Wydad Wana quality ya kuwafunga Simba muda wowote. Haya ni mahojiano ya kabla ya Mechi. #ScopeMedia
Wydad AC wametinga hatua ya Fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE baada ya kuichapa Esparence Tunis kwa penati 5-4 baada ya kutoka sare ya goli 1 -1 kwa dakika 90. Aliekosa penati kwa upande wa Esparence ni Rodrigo Rodriguez ambae ndie Mfungaji wa bao la kusawazisha. #ScopeMedia
Mwamba Peter Shalulile amerudi kazini na kuipatia Mamelodi goli la kuongoza kwenye mchezo wa pili wa Fainali ya AFL. Mamelodi 1-0 Wydad ⚽ Shalulile 45+12' Aggregate: Mamelodi 2-2 Wydad #ScopeMedia
Mamelodi wanapata goli la pili kupitia kwa Modiba Mokoena na sasa ubao unasoma 2-0 mchezo wa pili wa Fainali ya AFL. Game on Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad ⚽ Peter Shalulie 45+3' ⚽ Modiba 53' Aggregate: 3-2 #ScopeMedia
Mzee Magoma amesema kuwa yeye ndie aliependekeza Aziz Ki akasajiliwa Yanga baada ya kumuona kwenye mechi na Simba SC. #ScopeMedia
Klabu ya Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE baada ya kuichapa Wydad Athletic club kwa jumla ya magoli 3-2 kwenye michezo miwili ya Michuano hiyo ya AFL iliyozinduliwa October 20,2023 ikijumuisha timu nane (Kila Kanda ilitoa timu walau 1). #ScopeMedia
Mechi ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns ni mapumziko na hakuna timu ambayo imeona lango la mwenzake. Umiliki wa Mpira Al Ahly 52.8% Mamelodi 48.2% Al Ahly wamekosa penati kwenye kipindi Cha kwanza. #ScopeMedia
Kinda wa miaka 20 Chijioke Mbaoma anaekipiga kwenye klabu ya Enyimba ameendelea kuwa na msimu mzuri ndani ya ligi Kuu ya Nigeria ambapo mpaka sasa anaongoza kwenye orodha ya wafungaji akiwa amefanikiwa kufunga magoli 13 mpaka sasa. #ScopeMedia
Beki wa @AlAhly Ali Maaloul anakosa penati dakika ya 12 baada ya Golikipa wa Mamelodi Sundowns L.Wiliams kuitoa. Game on Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns Aggregate: Al Ahly 0-1 Mamelodi #ScopeMedia
Ahmed Arajiga amechaguliwa kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Kariakoo Derby kati ya @SimbaSCTanzania dhidi ya @yangasc November 5,2023. Aidha Mohamed Mkono na Kassim Mpanga watakuwa waamuzi wasaidizi kwenye mchezo. Ramadhan Kayoko ni mwamuzi wa akiba. #ScopeMedia
Esperance de Tunis wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa Nusu fainali ya AFL kwa 1-0 vs Wydad, Matokeo haya kwa Esperance ni sawa na yale waliyoyapata kwenye mechi ya kwanza ya Robo fainali dhidi ya Tp Mazembe. Full Time Wydad 1-0 Esperance de Tunis ⚽ Boussefiane 60' #ScopeMedia
Picha inayowaonyesha wasemaji wa timu mbili @SimbaSCTanzania @ahmedally_ na @YoungAfricansSC @AliKamwe wakiwa bungeni pamoja na mtangulizi wao ambae pia amewahi kuhudumu kwenye idara hiyo hiyo ya habari kwenye vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Haji Manara . #ScopeMedia
Shabiki wa Simba SC Sam anasema ni ngumu kwa Simba SC kutwaa Ubingwa wa ligi msimu ujao kwa sababu Wachezaji waliosajiliwa wanahitaji muda zaidi mpaka waweze kuelewana. Tazama mahojiano haya kwa urefu zaidi Kwenye YouTube channel yetu ya Scope Media. #scopeboii #ScopeMedia
Shabiki wa Yanga amejikuta kwenye mtego wa kuchapwa viboko viwili ikiwa kama sehemu ya kutimiza ahadi yake aliyoitoa kuwa Azam FC wasipoifunga APR achapwe FIMBO mbili. #ScopeMedia
Mzee Shaban Kamwe ambae ni baba mzazi wa Ally Kamwe anasema Bora aende Marekani kwa P Diddy kuliko kuhamia Yanga. Tazama mahojiano haya kwa urefu zaidi kwenye YouTube channel ya Scope Media. #ScopeMedia
"Mvua ni ishara nzuri kwa Simba. Tukiwa katika wiki hii yenye thamani kubwa ya #KariakooDerby tumewaletea tukio lingine kubwa la kihistoria kati ya Simba na Serengeti." Meneja wa habari na mawasiliano wa @SimbaSCTanzania. #ScopeMedia
Manara,kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbali mbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya kumtaka Rais huyo ajiuzulu kwa tuhuma za TFF kudaiwa na Yanga. Manara aliwa Polisi leo saa 4 asubuhi,ila tayari umeondoka baada ya kupata dhamana. #scopeboii #ScopeMedia

"Yanga wanacheza sana kitimu, kwahiyo Mimi nawahofia zaidi kama timu kuliko mchezaji mmoja mmoja." Maneno ya Meneja wa habari na mawasiliano wa @SimbaSCTanzania @ahmedally_ amezungumza hayo wakati akihojiwa kupitia @ufmradiotz . #ScopeMedia
Mechi ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns ni mapumziko na hakuna timu ambayo imeona lango la mwenzake. Umiliki wa Mpira Al Ahly 52.8% Mamelodi 48.2% Al Ahly wamekosa penati kwenye kipindi Cha kwanza. #ScopeMedia
Beki wa @AlAhly Ali Maaloul anakosa penati dakika ya 12 baada ya Golikipa wa Mamelodi Sundowns L.Wiliams kuitoa. Game on Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns Aggregate: Al Ahly 0-1 Mamelodi #ScopeMedia
Wydad AC wametinga hatua ya Fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE baada ya kuichapa Esparence Tunis kwa penati 5-4 baada ya kutoka sare ya goli 1 -1 kwa dakika 90. Aliekosa penati kwa upande wa Esparence ni Rodrigo Rodriguez ambae ndie Mfungaji wa bao la kusawazisha. #ScopeMedia
"Mvua ni ishara nzuri kwa Simba. Tukiwa katika wiki hii yenye thamani kubwa ya #KariakooDerby tumewaletea tukio lingine kubwa la kihistoria kati ya Simba na Serengeti." Meneja wa habari na mawasiliano wa @SimbaSCTanzania. #ScopeMedia
"Mvua ni ishara nzuri kwa Simba. Tukiwa katika wiki hii yenye thamani kubwa ya #KariakooDerby tumewaletea tukio lingine kubwa la kihistoria kati ya Simba na Serengeti." Meneja wa habari na mawasiliano wa @SimbaSCTanzania. #ScopeMedia
Beki wa @AlAhly Ali Maaloul anakosa penati dakika ya 12 baada ya Golikipa wa Mamelodi Sundowns L.Wiliams kuitoa. Game on Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns Aggregate: Al Ahly 0-1 Mamelodi #ScopeMedia
SIMBA SC imeondolewa rasmi kwenye michuano ya AFL kwa faida ya goli la ugenini. Full Time AL AHLY 1-1 SIMBA SC Agregates: AL AHLY 3-3 SIMBA SC #Scopemedia
Picha inayowaonyesha wasemaji wa timu mbili @SimbaSCTanzania @ahmedally_ na @YoungAfricansSC @AliKamwe wakiwa bungeni pamoja na mtangulizi wao ambae pia amewahi kuhudumu kwenye idara hiyo hiyo ya habari kwenye vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Haji Manara . #ScopeMedia
"Yanga wanacheza sana kitimu, kwahiyo Mimi nawahofia zaidi kama timu kuliko mchezaji mmoja mmoja." Maneno ya Meneja wa habari na mawasiliano wa @SimbaSCTanzania @ahmedally_ amezungumza hayo wakati akihojiwa kupitia @ufmradiotz . #ScopeMedia
Ahmed Arajiga amechaguliwa kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Kariakoo Derby kati ya @SimbaSCTanzania dhidi ya @yangasc November 5,2023. Aidha Mohamed Mkono na Kassim Mpanga watakuwa waamuzi wasaidizi kwenye mchezo. Ramadhan Kayoko ni mwamuzi wa akiba. #ScopeMedia
Mabingwa wa Ligi ya Afrika Kusini Mamelodi imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu Fainali ya African American Football League baada ya kuiondosha Atletico Petro de Luanda kwa jumla ya Mabao 2-0 kwenye michezo 2 ya AFL. @Masandawana watakutana na @AlAhly Nusu Fainali #Scopemedia
Mwamba Peter Shalulile amerudi kazini na kuipatia Mamelodi goli la kuongoza kwenye mchezo wa pili wa Fainali ya AFL. Mamelodi 1-0 Wydad ⚽ Shalulile 45+12' Aggregate: Mamelodi 2-2 Wydad #ScopeMedia
Mamelodi wanapata goli la pili kupitia kwa Modiba Mokoena na sasa ubao unasoma 2-0 mchezo wa pili wa Fainali ya AFL. Game on Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad ⚽ Peter Shalulie 45+3' ⚽ Modiba 53' Aggregate: 3-2 #ScopeMedia
"Sina taarifa za kutosha kuwahusu Kagera lakini nina fahamu ni timu nzurii, Tunaziheshimu timu zote ambazo tunapaswa kucheza nazo ni lazima tushinde kesho ili kutengeneza mazingira mazuri kuelekea mchezo dhidi ya Wydad" -Kocha Mkuu wa @SimbaSCTanzania A. Benchikha #ScopeMedia
Uwanja wa Mohamed V umeamka sasa Esperance De Tunis wamefungua njia na Wydad wanajipatia bao la kuongoza kupitia kwa Boussefiane dakika ya 60' Game on Wydad 1-0 Esperance De Tunis ⚽ Boussefiane 60' #ScopeMedia
Mechi ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns ni mapumziko na hakuna timu ambayo imeona lango la mwenzake. Umiliki wa Mpira Al Ahly 52.8% Mamelodi 48.2% Al Ahly wamekosa penati kwenye kipindi Cha kwanza. #ScopeMedia
"Nilikataa kwenda Mamelodi Sundowns kwa sababu tungeanza kugawana mechi na striker wao Peter Shalulile nikaona nichague Pyramids." Mayele ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na Ayoma TV. #ScopeMedia
Wydad AC wametinga hatua ya Fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE baada ya kuichapa Esparence Tunis kwa penati 5-4 baada ya kutoka sare ya goli 1 -1 kwa dakika 90. Aliekosa penati kwa upande wa Esparence ni Rodrigo Rodriguez ambae ndie Mfungaji wa bao la kusawazisha. #ScopeMedia
Klabu ya Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE baada ya kuichapa Wydad Athletic club kwa jumla ya magoli 3-2 kwenye michezo miwili ya Michuano hiyo ya AFL iliyozinduliwa October 20,2023 ikijumuisha timu nane (Kila Kanda ilitoa timu walau 1). #ScopeMedia
Kocha Mkuu wa klabu ya Olympique Lyon (Ufaransa) Fabio Grosso amepigwa mawe baadae ya basi la TIMU hiyo kuvamiwa na mashabiki wa Marseille wakati wakiwa njiani kuelekea uwanjani kwenye mchezo wa Ligue 1 unaozikutanisha timu hizo leo. #ScopeMedia
Esperance de Tunis wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa Nusu fainali ya AFL kwa 1-0 vs Wydad, Matokeo haya kwa Esperance ni sawa na yale waliyoyapata kwenye mechi ya kwanza ya Robo fainali dhidi ya Tp Mazembe. Full Time Wydad 1-0 Esperance de Tunis ⚽ Boussefiane 60' #ScopeMedia
Kinda wa miaka 20 Chijioke Mbaoma anaekipiga kwenye klabu ya Enyimba ameendelea kuwa na msimu mzuri ndani ya ligi Kuu ya Nigeria ambapo mpaka sasa anaongoza kwenye orodha ya wafungaji akiwa amefanikiwa kufunga magoli 13 mpaka sasa. #ScopeMedia
Mechi ya Ligi kuu ya Ufaransa kati ya Marseille dhidi ya Lyon imehairishwa baadae ya Kocha Mkuu wa Lyon Fabio Grosso kupigwa mawe na Mashabiki wa Marseille baadae ya basi la Lyon kuvamiwa na mashabiki wa Marseille wakati wakiwa njiani wakielekea kwenye mechi hiyo. #ScopeMedia
"Kufungwa ni jambo la kawaida kwenye mpira wa Miguu kinachokera ni kuwa tumefungwa na MALIMBUKENI Najua mnapata kero mkikutana nao wanawakera sababu ya ulimbukeni wao sisi Simba si wa kwanza kufungwa". #ScopeMedia
Something went wrong.
Something went wrong.
United States Trends
- 1. #DWTS 45.8K posts
- 2. Northern Lights 24.2K posts
- 3. #Aurora 4,973 posts
- 4. Justin Edwards 1,653 posts
- 5. Louisville 14.8K posts
- 6. Andy 58.9K posts
- 7. Lowe 12K posts
- 8. #RHOSLC 5,413 posts
- 9. Elaine 41.9K posts
- 10. Kentucky 23.6K posts
- 11. Celtics 11.4K posts
- 12. #OlandriaxHarpersBazaar 2,496 posts
- 13. Oweh 1,709 posts
- 14. JT Toppin N/A
- 15. Robert 97.8K posts
- 16. #WWENXT 15K posts
- 17. Dylan 30.2K posts
- 18. Jordan Walsh N/A
- 19. Whitney 8,550 posts
- 20. Kam Williams N/A