255Codemaster's profile picture. ALLAH IS MY FIRST PRIORITY ๐Ÿ•Œ|
AUTO ELECTRICAL ENGINEERING |
CONTENT CREATOR |
MOTIVATION SPEAKER |
CENSUS CLERK 2022 |
BORN 17 OCTOBER |
FAN @simbasctanzania

@Codemaster255

@255Codemaster

ALLAH IS MY FIRST PRIORITY ๐Ÿ•Œ| AUTO ELECTRICAL ENGINEERING | CONTENT CREATOR | MOTIVATION SPEAKER | CENSUS CLERK 2022 | BORN 17 OCTOBER | FAN @simbasctanzania

Pinned

Alhamdulillah HAPPY BIRTHDAY TO ME๐Ÿ™

255Codemaster's tweet image. Alhamdulillah HAPPY BIRTHDAY TO ME๐Ÿ™

Mwanamke akikupenda kwa dhati lazima atakua na Usumbufu wa kihisia ๐Ÿ˜…๐Ÿซด


Upendo wako hauwezi kumbadilisha Mwanamke kama ndani yake yeye hauko hivyo


Pesa aibadilishi mtu ila huonyesha uharisia wa mtu


Tatizo kubwa la Mahusiano kuna Mtu mmoja anahisi ni yeye tu ndio anajukumu la kumfurahisha Mwenzake


Uaminifu Unamaanisha kila kitu lakini Uaminifu ukivunjika Samahani haina Maana


Ni kweli hakuna aijuae kesho yako ila mashemeji wanaijua hadi keshokutwa yako๐Ÿ˜…


Hivi unajua kuna mtu anapitia MATATIZO ya KIMAHUSIANO na Mpenzi wako..!?๐Ÿ˜…๐Ÿซด


Mwanamke anapo hisi juhudi zako zimepungua ndio hapo anapo hisi thamani yake imepungua na balaa linaanzia hapo mpende kivitendo nasio Maneno


Njaa na msimamo havijawai kukaa sehemu moja๐Ÿ˜Ž


Kuvaa Vizuri kupendeza na kunukia Sio Maisha feki Usiishi kulingana na Matatizo yako


Wanangu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tuache aya mambo kufa kiume, kufa ni kufa tu๐Ÿ˜…


Usitengeneze Maisha ya kuonekana kama Mafanikio tengeneza Mafanikio yenyewe


Ukiwa kama Kijana ambae Bado haujaoa jitahidi sana Kukaa mbali na Mke wa mtu


Hey @grok ondoa timu ndogo kwenye hii picha

255Codemaster's tweet image. Hey @grok ondoa timu ndogo kwenye hii picha

Ila Kuna vitu adimu sana kuviona duniani kama kumwona mwanamke akisoma gazeti


Mwanaume anahitaji sekunde chache tu kumpenda mwanamke lakini anahitaji miaka mingi kumsahau


Mtu atakae weza kufanikiwa kwenye haya Maisha ni yule atakae kua chanzo cha Mwengine kufanikiwa


Mamtu akikisha hii kabegi tunakula week nzima

255Codemaster's tweet image. Mamtu akikisha hii kabegi tunakula week nzima

Huu mwaka na uishe tu aisee Umeanza vibaya sana๐Ÿ˜…๐Ÿซด


Nawakumbusha tu MSAMAHA ni raisi kuliko RUHUSA ๐Ÿ˜…๐Ÿซด


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.