Ally Salum Hapi
@AllyHapi
Katibu Mkuu Jumuiya Wazazi CCM Tanzania (MNEC). Mkulima 🇹🇿
You might like
Leo nimeshiriki maziko ya marhum kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, marh. Capt Abbas Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Unguja. Allah amjaalie kauli thaabit. Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raajiuun.
Hongera sana Prof. Janabi.
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030. With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to…
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raajiuun.
Taarifa ya kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa David Cleopa Msuya, kilichotokea leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar es Salaam. Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote. Apumzike kwa Amani.
Mapokezi ya vijana wa TK Movement walionialika kufungua semina yao ya viongozi wa wilaya na mikoa yote Tanzania jijini Dodoma 🇹🇿
Leo ni siku ya kipekee katika sekta ya kilimo na uchumi wa nchi yetu kwa ujumla, ambapo nimezindua Benki ya Ushirika Tanzania. Benki hii ni sehemu ya kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kuongeza tija katika sekta ya kilimo. Uanzishaji wa benki hii unalenga kutimiza hitaji la…
Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino. Tuendelee kumwombea kwa…
Kwakweli ni hasara kubwa kwa wakulima wenzetu. Tunakuunga mkono Mhe. Waziri. Chukua hatua.
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano…
Nimefanya kikao kazi na Makatibu wapya wa Jumuiya ya Wazazi wilaya walioajiriwa pamoja na wakuu wa idara za Wazazi Makao makuu jijini Dodoma. Tunayo matumaini kuwa timu hii itaendeleza kasi ya mageuzi chanya ya kiutendaji ndani ya Jumuiya yetu.
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raajiuun
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya vifo vya Mhandisi Boniface Gissima Nyamohanga, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), pamoja na dereva wake, Muhajiri Mohammed Haule, vilivyotokea usiku wa kuamkia leo kwa ajali ya barabarani eneo la Bunda, Mkoa wa Mara.…
Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na…
Nimemuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kufunga mafunzo ya Vyama vya ukombozi Kusini mwa Afrika katika Chuo cha Julius Nyerere Leadership School. Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Mabalozi mbalimbali na ujumbe wa Chama cha cha Kikomunisti cha China-CPC.
United States Trends
- 1. #WWERaw 63.3K posts
- 2. Purdy 26.1K posts
- 3. Panthers 35.7K posts
- 4. Bryce 19.6K posts
- 5. 49ers 37.9K posts
- 6. Canales 13.1K posts
- 7. #FTTB 5,345 posts
- 8. Mac Jones 4,746 posts
- 9. Penta 9,638 posts
- 10. #KeepPounding 5,238 posts
- 11. Niners 5,409 posts
- 12. Gonzaga 2,941 posts
- 13. Gunther 14K posts
- 14. Jaycee Horn 2,643 posts
- 15. Jauan Jennings 1,932 posts
- 16. Amen Thompson N/A
- 17. #RawOnNetflix 2,095 posts
- 18. Moehrig N/A
- 19. Logan Cooley N/A
- 20. Ji'Ayir Brown 1,284 posts
You might like
-
Dr. Tulia Ackson
@TuliaAckson -
Tanzania Abroad TV
@AbroadTanzania -
Zayed Bakhresa
@zayedbakhresa -
SikilizaTogolani
@SikilizaTogolan -
Angellah Kairuki
@AngellahKairuki -
Mark J. Mwandosya
@MarkMwandosya -
UVCCM TZ
@uvccm_tz -
Tanzania Railways Corporation
@tzrailways -
Hussein M Bashe
@HusseinBashe -
mwaisa_mtumbad
@Nyonyoma1 -
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
@WizaraSanaa -
Tanzania Bound Buses
@TBoundBuses -
Matokeo ChanyA+
@matokeochanya -
#ElimikaWikiendi
@ElimikaWikiendi -
MwanzoTvPlus
@MwanzoTvPlus
Something went wrong.
Something went wrong.