BenixMatrix's profile picture. I talk about copywriting, content marketing, and self-learning. | Panorama Authentik

Benix Matrix

@BenixMatrix

I talk about copywriting, content marketing, and self-learning. | Panorama Authentik

Benix Matrix أعاد

Mengi niliojifunza Youtube,Google, Chatgpt, Udemy na social media yamenisaidia kwenye maisha kuliko yale ya shule ila umuhimu wa shule unabaki palepale bila shule me hata nisingekutana na watu wanaeza nisanua how to use hizi platforms kutoboa. Dropout wa harvad sio wa Zayoni mkuu


Benix Matrix أعاد

WANAUME NA SANAA YA KUJIKATA MIGUU dizastavina.com/2025/10/20/wan…


Benix Matrix أعاد

I don’t know who needs to hear this but, you need to share less details of your personal life on the internet.


Benix Matrix أعاد

Acha Kukimbizana na Vipepeo Huwezi Kuwakamata kwa Style Hiyo! Badala yake: Tengeneza Bustani, Panda Maua, Yamwagilie Vizuri—Yakinawiri Vipepeo Watakuja Wenyewe Kupiga Misele Kwenye Bustani na hivyo Ndivyo Unavyowanasa Kirahisi! Focus on Yourself KING!


Benix Matrix أعاد

Shida ni 1 tunaishi kwenye tafsiri za Ukristo na Uislam sana ndio maana uelewa juu ya hili upo limited humo. Buddha na Taoist wanaamini tupo kwenye mzunguko wa maisha, utaendelea kuzaliwa na kufa. Pia The theory of quantum immortality inaeleza hivyo kufa na kuzaliwa upya.

Hivi kweli kutakua na motoni after life?💀



Benix Matrix أعاد

What I’ve learned is… in marketing , especially for a small business , you don’t act a certain way to attract a certain type of customer. Your aura & soul will somehow naturally reflect in your business!!


Unataka Kuwa Copywriter mzuri? Hizi ni kozi 3 za bure unazoweza kuanza nazo leo: 1) Copywriting Essentials – HubSpot Academy 2) Writing for the Web – OpenLearn 3) The Strategy of Content Marketing – Coursera


Jifunze Content Marketing it will change your life! Nenda YouTube search hizi channels: - HubSpot - Ahrefs - GaryVee - Brian Dean - Alex Cattoni Internet + Computer yako tu. Content Marketing itakulipa ukiwa serious nayo au unaweza usipate kitu kabisa.


Benix Matrix أعاد

Grind small long enough and you learn the game. When you finally scale, it looks like uchawi to everyone else!!


Benix Matrix أعاد

Ila basu nafanya sana hizi njia offline as Co manager director wa Mangi maziwa na inasaidia sana kwangu na kiroho kuvutia alot of rolay client

Mwasenga anauza TV Mwanjelwa, Mbeya Maduka ya jirani hayauzi kama yeye Watu wanasema mchawi Leo Ameniambia: "Kila mteja namwambia anipigie simu anapopata tatizo la TV. Anaponipigia nahakikisha anapata ufumbuzi." Nimejua! Kumbe mchawi sio yeye mchawi ni huduma bora anayotoa.



Mwasenga anauza TV Mwanjelwa, Mbeya Maduka ya jirani hayauzi kama yeye Watu wanasema mchawi Leo Ameniambia: "Kila mteja namwambia anipigie simu anapopata tatizo la TV. Anaponipigia nahakikisha anapata ufumbuzi." Nimejua! Kumbe mchawi sio yeye mchawi ni huduma bora anayotoa.


Usiweke tu content mtandaoni kwa sababu umeambiwa Dunia ya sasa ni lazima biashara yako iwepo mtandaoni. Hapana, kwanza "Define your message" 1) Clarity: Ni ujumbe gani unataka kufikisha kwa walengwa? 2) Emotion: Unataka kuamsha hisia gani (joy, surprise, curiosity, n.k)


Benix Matrix أعاد

Heshima na Mafanikio ya Mwanaume Vinaanzia Pale Anapokuwa na Uwezo wa Ku-Control Mdogo wake! Acha Kuongea Sana Punguza Kujieleza Sana Acha kutuma Ma-Paragraph ya Texts kwa Wanawake Kutumia Muda Mwingi Peke yako SILENCE is the True POWER—Use It!


Benix Matrix أعاد

Biashara umefungua sehemu ambayo watu wanapita sana Umeiweka Google Maps Google inakwambia watu wengi wanapita saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku, Jumapili hakuna movements Wewe kwa Google yako umeandika mko open kila siku saa 1 asubuhi- Saa 12 Jioni. Kwanini?


Kama Unafanya Marketing... Basi jifunze: 1. Scarcity - Jinsi ya kupunguza usambazaji ili kuongeza uhitaji. 2. Positioning - Jinsi ya kujitofautisha na washindani wako. 3. Social Proof - Jinsi ya kujenga kuaminika kwa biashara yako. Bookmark This! Itakusaidia.


Benix Matrix أعاد

Font ni sehemu ya logo, kwenye logo design usitumie default setting za font kama zilivyo. Moja ya dhumuni la logo ni kuhifadhi kumbu kumbu kwa mtazamaji, tafuta namna ya kubadili default setting za font kuweka upekee kwenye logo.


Benix Matrix أعاد

Artists and their teams should spend at least 8-12 weeks planning and coordinating an album release. At least.


Benix Matrix أعاد

Verses done for that Freshlikeuhhh & Dizasta Vina track.

barcitybaby's tweet image. Verses done for that Freshlikeuhhh & Dizasta Vina track.

Benix Matrix أعاد

Marketing cannot manufacture resonance. It only amplifies what’s already there. If the foundation (the music) is not undeniably great, you cannot ad spend or TikTok hack your way into forcing people to care for the long term. At best you’ll see a spike that collapses. I have put…


Benix Matrix أعاد

A great manager listens deeply to recognize an artist’s core essence, and then builds a strategy around that.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.