Christacker2000's profile picture. MTANGANYIKA

T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala

@Christacker2000

MTANGANYIKA

Pinned

Hifadhi nguvu zako kwa ajili ya vita na mapambano yenye tija, na muda wa kupambana ukifika, hakikisha unapambana kwa kutumia kila ulichohifadhi; jino, kucha, ngumi, kisu, rungu, bastola na hata pesa. GM - simaanishi Good Morning, namaanisha Get Money JITATHMINI


T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

25/26 loading… ✊

ChelseaFC's tweet image. 25/26 loading… ✊
ChelseaFC's tweet image. 25/26 loading… ✊

Bro, tushakuwa watu wazima, Acha ujinga & ushamba wa kwenda date ufukweni, restaurant, cozy café, movie night, cheka tu nk 1st Date: Unam video call - Zoom/Google Meet 2nd Date: Unamchukua mnaenda Kisutu kusikiliza kesi ya TAL 3rd Date: Kituo cha watoto yatima Be a MAN!🫵🏽


Wawekezaji hupata gawio Wafanyabiashara hupata faida Wanasiasa hupata rushwa Wafanyakazi hupata mshahara Vibarua hupata posho Wadangaji hupata hongo Wakulima hupata mazao Wachungaji hupata sadaka Wa-kutiki Oct hupata ahadi za uongo😅 Wewe muungwana unaingizaje kipato chako??


Ukichoka usiache kabisa ila pumzika


T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

Mkumbushe mwanao, Mzee aliyekaa chini ya mti anaona mbali kuliko Kijana aliye juu ya mti!!

Nnauye_Nape's tweet image. Mkumbushe mwanao, Mzee aliyekaa chini ya mti anaona mbali kuliko Kijana aliye juu ya mti!!

Mungu anaweza subira yako ishike. Atakuliwaza acha wakati ufike. Mungu ni mjuzi wa kila lilokuswibu. Tena msikivu kayaahidi majibu. Alhamdulillah ala kuli hali. Baada ya dhiki faraja.😪😓


T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

Wachambuzi S.L.P Radio zote Tz Tanzania Februari 12,2025 YAH : KUMKOSOA ATEBA Ndugu Wachambuzi, Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu Leo Februari 12, nimeona andiko bwana mmoja anajiliza eti Ateba hakosolewi kama anavyokosolewa mshambuliaji wao Bob Marley Hivyo basi…


Omba Mungu akupe vitu vinne 1. Neema ya kuaminika 2. Neema ya kukubalika 3. Neema ya kupendelewa 4. Neema ya kibali


T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

- Nimecheka Sanaaa baada ya kuiona hii Clip... 😁😁

From Anne

T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

Go buddy.

godbless_lema's tweet image. Go buddy.

Kama kitanda unacholalia kimegusana na ukuta... bro ongeza juhudi na ukaribu wako na Mungu


T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua ‘Namba sita ya Airport’…

FKihamu's tweet image. Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua ‘Namba sita ya Airport’…

T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

NYIMBO WANAZOSIKILIZA NYUMA MWIKO HIVI SASA Yatapitaa - Diamond Platinum Dunia Mapito - Matonya Matatizo - Harmonize Hili limeniumiza sana - Zabron Singers Usinitengee - Profesa Jay Binti - Lady Jay Dee


T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

Definitely not

Kamala Harris has repeatedly stated that she does not believe that illegal immigrants are criminals. A candidate who holds this position will most definitely not secure the border.



T.O Chrissantus Sixnatus Ngajimala reposted

Habari, pole sana kwa tatizo la mtandao. Tunafuraha kukujulisha kwamba huduma zote zimerejea kwa wateja, na wale walioathirika watarudishiwa vifurushi na miamala yao. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tunawashukuru kwa uvumilivu wenu. Ahsante sana. ^EJK


Kila unayekutana nae maishani, anapigana vita usiyoifahamu. Jifunze kuwa mwema, siku zote.” - Brad Meltzer


Days are made of mornings. Lives are made of days. Win the morning, win the day. Win the day, win in life.


"Nishafanya kila UHUNI, nishaishi maisha DUNI, nishalala SAKAFUNI, nikang'atwa na KUNGUNI, nishachanja kila KUNI, nishaDate kila SABUNI.....Leo nipo UGHAIBUNI"🎶 MKATO 💐


Walikuaga Wanetu Sanaa Hata Hatujui Kilitokea Nini. Tumejikuta Tu Saiv Tunaview Status Zao Na Wao Wanaview Zetu. Na Hamna Salamu Then life Inaenda Na Hakuna Kitu Kimestop..life Inabadilika Wao Wamepata Wana Wengine, Na sisi Tuna Wanetu Na Hatuna Bifu Nao Na Wao Siamini Kama Wana


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.