Cuthbert Sweetbert
@CuthbertSweetb2
Tal vez te guste
Waziri wa Ujenzi mpya angeanza na kutembelea miradi ya barabara inayoendelea DAR na kuhimiza wakandalasi waongeze kasi na kuacha kuvuruga sehemu ambazo awazijengi kwa wakati huu,aisee hii foleni ni shida, katikati ya mji hakufai sijui mvua zikianza kuchanganya itakuwaje
Good girls. Insipiring Mungu wetu ni mmoja. Ila njia za kumfikia ndizo nyingi. MBARIKIWE sana. Mtatusaidia kuwacheki matapeli wa udini wanaotaka kuligawa taifa zaifi kana kwamba matatizo tuliyonayo hayatoshi.
#TajiriLaKihaya WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu…. Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu… Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa…
Asanteni TEC na Viongozi wa dini mnaotushauri kipindi hiki kigumu kwa Taifa letu badala ya wapotoshaji wanaotutangazia udini wao? Tume imeundwa na Rais na tunasubiri Hadidu rejea zake kujua kama kweli ni TUME YA KIJAJI (kimahakama) au ya kiutawala tu pamoja na kuongozwa na Jaji
“ Uvumilivu ni silaha ya wanaume walioamua kulinda utu na heshima hata inapogharimu amani yao binafsi.” Happy men’s day CHADEMA.
Karibuni sana Pia tunapatikana Kahama - Shinyanga
Wangapi wanajifunza?? Nitajitahidi niandike mambo ya msingi[elementary things] kwa watu wanaojifunza kuomba. Hii ni shule ya maombi🖐️🖐️
Ukioa Wife Material umepata Pepo Duniani na Akhera. Kuna wasomi wawili kwenye Familia, Form Six na yule wa Chuo wanafanya nini kupambana na Maisha haya? Pamoja na Changamoto anazopitia bado hajakata tamaa na a aweza kutabasamu, Mashaallah. Tupate mawasiliano ya Mama huyu…
Bro to Bro Chochote unachopoteza kama mwanaume, ilimradi si uhai wako, unaweza kukirudisha na hata kwa ukubwa zaidi. Unaweza kuinuka tena kutoka kwenye chochote. Mshirikishe Mungu kwenye mipango yako, weka Juhudi na usikate tamaa. Ulishawahi kufanya, unaweza kufanya tena!
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 46 Anaendelea Mhe. Lissu Hii kesi haijasikiliza upande hata mmoja, hamjasikiliza mashahidi hata mmoja hii Tarehe. 12 November 2025 ni tarehe ya Hukumu. Kama kuna hukumu tayari tujue. Nani anayeandika vitu vya namma hii. Anapanga ratiba ya…
Wale wakoma hawakumuomba Mungu moja kwa moja, bali walichukua hatua ya ujasiri wakiwa katika hali ya kukata tamaa. Walisema, “Tukikaa hapa tutakufa, hebu twende kwa Washami.” Kwa macho ya kawaida, ilikuwa ni uamuzi wa kibinadamu tu, lakini kwa macho ya kiimani, ilikuwa hatua…
Wanazuoni na wanateolojia kuna swali Hatuoni au kuelezewa wale wakoma wakimuomba Mungu lakini walipoamua kwenda kwa washami tunaona Mungu anahusika hii maana yake nini? @Phbhimself
Dereva wa GSM hataki chuma mpya iguswe muda na bado analeta masihara barabarani. #AboodBusService Vs #GSMtruck
Endelea kuomba Mungu anakuwa anafanya kazi bila kukuonyesha. Mungu anakuwa anasogeza factors[watu na mifumo] moja hadi nyingine pamoja. Akishamaliza utoana muujiza. Usikate tamaa kuomba. Yesu alitushauri tuombe wakati wote bila kukoma.
#TajiriLaKihaya Lissu kosa Lake Kuu ni Kutaka hili lisijirudie tena💔 ni kupigania FREE and FAIR ELECTION….
Sucessful businessmen uwa wapo humble sana, unajua kwanini? They know and have lived through failure. Wanajua mafanikio ni kitu kinachoweza kuja na kuondoka.
Imetokea hapo tazara Ndo mkisikia mtu kapigwa panga mnaanza kushangaa ndo haya mambo @fadhili_ndilla @ALHelmsman_14 @TBoundBuses
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 10, 2025 Part 1 Kesi imeanza Kasimama Wakili Nassoro Katuga anatambulisha Jopo la Mawakili wa Serikali kama kawaida yao. Wapo mawakili sita wanaiwakilisha Jamhuri. Katuga anasema mshitakiwa yupo. Anaulizwa Mhe. Lissu nae anasema…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 8 Tumerudi Majaji wameingia. Kama kawaida wako watatu. Kumbukumbu ni kwamba tuliahirisha ili Mh. Lissu akasome nyaraka za proceedings alizopewa leo mara baada ya zile za kwanza alipewa nusu ambazo zimeanzia Tar. 18/08 na sio kuanzia Tar. 10/04.…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 7 Jaji anasema sisi tukizonazo kama Majaji zinaonesha colum ya kwanza tar. 10/04/2025. Na anasoma waliokuwepo siku hiyo. Upande wa utetezi pia anawasoma waliokuwepo. Jaji anasema au tukupe kwanza ili uendeleee. ? LISSU anakubali. Wameenda…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 5 Anasimama Mhe. Lissu kuanza na suala la jurisdiction kwanza. Ameleta pingamizi kuwa mahakama hii haina mamlaka kivipi kusikiliza kesi hii. Mh. Lissu anaanza kwa kusema taarifa hii niliyoitoa nilishaitoa mapema huko nyuma hasahasa mahakama ya…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 4 Anakaribishwa Mhe. Tundu Lissu. Anasema kwamba sina pingamizi na mapendekezo ya wakili wa serikali Mkuu. Kwanini nimeleta hizo hoja mbili 1. 4/09/2025 nililetewa summons kuwa nitasomewa mashtaka leo na kuyajibu. Sasa kwenye shauri kama hili…
United States Tendencias
- 1. Ravens 52.4K posts
- 2. Ravens 52.4K posts
- 3. Ravens 52.4K posts
- 4. Lamar 41.8K posts
- 5. Joe Burrow 17.2K posts
- 6. Zay Flowers 3,789 posts
- 7. #WhoDey 3,166 posts
- 8. Cowboys 88.2K posts
- 9. Derrick Henry 4,266 posts
- 10. Zac Taylor 2,496 posts
- 11. Perine 1,465 posts
- 12. Harbaugh 2,727 posts
- 13. #CINvsBAL 2,525 posts
- 14. AFC North 2,049 posts
- 15. Mahomes 32.6K posts
- 16. Cam Boozer 1,998 posts
- 17. Sarah Beckstrom 190K posts
- 18. Tanner Hudson 1,216 posts
- 19. #heatedrivalry 5,488 posts
- 20. Chase Brown 2,615 posts
Tal vez te guste
-
MDUDU MENDE
@mdudumende01 -
Nguleke
@Swililisyakuku -
MrB_🦋
@MrB_Official04 -
Mabingwa Arena 🏆
@MabingwaArena -
Augustino Shemsika
@AugustinoShems3 -
Alan Sungura
@alan_sungura -
Zungu la Roho..😎
@Ibrahim35269702 -
Rammy
@rammywrld -
Mwangunule
@OriginalMkisi -
Sophist
@emasinzo1 -
king motorz Tz.
@thebrain_O -
Romuald Mrosso
@MrossoRomuald -
reuben Dan
@scamber_ben -
Story Teller
@hamisi_grandee -
General Ngola
@GeneralNgola
Something went wrong.
Something went wrong.