You might like
Kama humpi pesa demu wako siye tutampa, hatuwezi kuona msichana mzuri ateseke kwa uzembe wako.
Ndugu yangu Kibajaji Lusinde safiri salama na urejee salama ili utekeleze maagizo uliyopewa ya kunishambulia. Niguse ninuke!
“Hate no one no matter how much they have wronged you. Live humbly no matter how wealthy you have become, think positively no matter how hard life is. Give much even if you have been given a little, and forgive who has wronged you”- Imam Ali (A.S)
Hii nahis mpiga picha camera iliyumba.#nakupendaTanzania
Mh Waziri @HKigwangalla Hii Ni Sanamu Ya Nyerere Huyu huyu Baba Wa Taifa Tunayemjua Au Nyie Mna Nyerere Mwingine Huko Chato?
Go Ethiopia go 💪🏽💪🏽 Bado sisi sasa 🤣🤣 Tutafika tu, eti? #ChangeAfrica #ChangeTanzania
Septemba mwaka huu Ethiopia inatarajia kuzindua Satelaiti yake ya kwanza iliyobuniwa na kuwekewa vipengele na vitu muhimu na raia pamoja na wanasayansi wa Ethiopia. Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya nchini humo inatajwa kuhusika kwa kiasi kikubwa ktk ubunifu huo #KwanzaHabari
JIWE LA WIKI @kigogo2014 GONGA LIKE NA TUMA NENO MOJA KWA MWANAJESHI KIGOGO...@HildaNewton21 @halimamdee @MariaSTsehai @Advocate_Jebra @fatma_karume @SuphianJuma 💪💪💪💪👌🙌🙌🙌
Wazee wetu wa zamani ilikua uBrotherMen hautimii kama hauna tattoo ya NANGA (⚓) kwenye mkono 😩.
Jiepushe kusoma vitu ambavyo vinaweza kukuongezea UJINGA.
Huwezi kuwa na furaha ikiwa huthamini hata kidogo ulichonacho.
Uzoefu wangu wa SIASA za UPINZANI na hili litathibitishwa na RAIA wengi waliowahi kumbana na mkono wa JESHI letu la POLISI, ni ukweli ulio WAZI kabisa wengi (SIO WOTE,kuna walio smart sana) hutumia NGUVU na SI AKILI. Kuna HAJA ya kufanyia MAPITIO vigezo vya KUJIUNGA na JESHI.
Septemba mwaka huu Ethiopia inatarajia kuzindua Satelaiti yake ya kwanza iliyobuniwa na kuwekewa vipengele na vitu muhimu na raia pamoja na wanasayansi wa Ethiopia. Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya nchini humo inatajwa kuhusika kwa kiasi kikubwa ktk ubunifu huo #KwanzaHabari
Mungu akinijaalia nikapata gari yangu, sitoacha kuwabeba watoto wa shule wanaoelekea niendako wakati huo, These kids are struggling.
Bila kujitambua, chama ambacho kiko ktk sintofahamu kubwa kuliko yote ni chama kilichopo madarakani - what unites them? Kwa vyama mbadala kuna uniting force they are purpose driven albeit weakened. Ni ukweli hawataki kuikubali but it is a #fact #Shikamoo2020 #ChangeTanzania
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imempa siku 7 mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wachapishaji wa gazeti hilo kuwasilisha majibu dhidi ya madai ya Bernard Membe. Waziri huyo mstaafu wa Mambo ya Nje anataka kulipwa Sh 10 bilioni kwa kuchafuliwa na gazeti tajwa.
Kwa vile hakuna ujinga unao shindikana kwa sasa,ni bora kufuta mfumo wa Vyama vingi kuliko kuliingiza Jeshi la Polisi ktk siasa.Kauli ya RPC Arusha ktk mkutano wa ccm hivi karibuni ni kauli mbaya inayoleta mpasuko ktk jamii.Kuliingiza Jeshi ktk siasa ni kuleta machafuko ktk jamii
Ukiwa na stresi ukipita mahali ukaona hata mbuzi au ng’ombe wawili wanakuangalia unahisi wanakusema.
Palamagamba kapewa TZS 1 bil China juzi Serikali ikapiga vigelegele. USA ilitupa TZS 1 trill kupeleka umeme vijijini. Serikali ikawaita MABEBERU na ikasema hatuna haja na hivyo vipesa. Kwanini? Eti hawataka kupewa masharti ya kuheshimu DEMOKRASIA iliopo kwenye Katiba yetu. 🤣🤷🏽♀️
United States Trends
- 1. Ole Miss 71,3 B posts
- 2. Lane Kiffin 23,3 B posts
- 3. Trinidad Chambliss 13,4 B posts
- 4. #PowerForce 3.758 posts
- 5. Kirby 20,2 B posts
- 6. #SugarBowl 7.613 posts
- 7. #BLACKWHALE N/A
- 8. Pete Golding 4.738 posts
- 9. #HottyToddy 8.404 posts
- 10. Bobo 24,6 B posts
- 11. Indiana 122 B posts
- 12. Gunner 13,2 B posts
- 13. #GoDawgs 11 B posts
- 14. Rebs 4.419 posts
- 15. Sean McDonough 1.295 posts
- 16. Jenard 1.028 posts
- 17. Kawhi Leonard 2.840 posts
- 18. Mamdani 430 B posts
- 19. Dmac N/A
- 20. Lucas Carneiro 1.473 posts
You might like
Something went wrong.
Something went wrong.