ECDNETWORK's profile picture. A National Umbrella Network advancing Early Childhood Development in Tanzania through advocacy, knowledge, and collaboration.

Tanzania ECD Network

@ECDNETWORK

A National Umbrella Network advancing Early Childhood Development in Tanzania through advocacy, knowledge, and collaboration.

Pinned

📢 Over the last 30 years, we've gained critical insights into stunting in Tanzania. Watch Dr. Ester Elisaria from @ifakarahealth break down key findings from our latest report in a webinar hosted with @Thriveevidence. #ECD #Nutrition #Stunting : youtu.be/AabTs1HI4jM?si………

ECDNETWORK's tweet card. Thrive Webinar | 30 years of Stunting in Tanzania | Dr. Ester Elisaria

youtube.com

YouTube

Thrive Webinar | 30 years of Stunting in Tanzania | Dr. Ester Elisaria

🎯 Kwa Nini Tuwekeze kwa Watoto Chini ya Miaka 8? 🧠 90% ya ubongo hukua kabla ya miaka 8 👨‍👩‍👧‍👦 Tabia & ujifunzaji hujengwa mapema 📚 Malezi bora = ufaulu & mchango kwa jamii 🌍 Uwekezaji wa mapema hupunguza gharama za baadaye Tuwekeze mapema, tujenge taifa imara! 💪 #MtotoKwanza

ECDNETWORK's tweet image. 🎯 Kwa Nini Tuwekeze kwa Watoto Chini ya Miaka 8?

🧠 90% ya ubongo hukua kabla ya miaka 8
👨‍👩‍👧‍👦 Tabia & ujifunzaji hujengwa mapema
📚 Malezi bora = ufaulu & mchango kwa jamii
🌍 Uwekezaji wa mapema hupunguza gharama za baadaye
Tuwekeze mapema, tujenge taifa imara! 💪
#MtotoKwanza

🎉 TECDEN@25! Celebrating 25 years of championing Early Childhood Development in Tanzania! Thank you for walking this journey with us. Together, we’ve built foundations for a brighter future. #TECDEN25 #ECDTanzania #MaleziCampaign #MultisectoralCoordination #InvestInchildren

ECDNETWORK's tweet image. 🎉 TECDEN@25!
Celebrating 25 years of championing Early Childhood Development in Tanzania! Thank you for walking this journey with us. Together, we’ve built foundations for a brighter future. #TECDEN25 #ECDTanzania #MaleziCampaign #MultisectoralCoordination #InvestInchildren

Kwa kushirikiana na @ORTAMISEMITZ, @MaendeleoYaJami na @UTPCtz, tumeendesha mafunzo ya Sayansi ya Malezi na Maendeleo ya Mtoto kwa Maafisa Lishe na Ustawi wa Jamii wa mikoa. Lengo: Kuimarisha malezi bora kwa watoto wa miaka 0–8. Mtoto ni msingi wa maendeleo ya taifa. @Dr_DGwajima

ECDNETWORK's tweet image. Kwa kushirikiana na @ORTAMISEMITZ, @MaendeleoYaJami na @UTPCtz, tumeendesha mafunzo ya Sayansi ya Malezi na Maendeleo ya Mtoto kwa Maafisa Lishe na Ustawi wa Jamii wa mikoa.
Lengo: Kuimarisha malezi bora kwa watoto wa miaka 0–8.
Mtoto ni msingi wa maendeleo ya taifa. @Dr_DGwajima

Malezi chanya huanzia nyumbani Mzazi mwenye uelewa hujenga mazingira salama kwa mtoto kukua kimwili, kihisia, kiroho na kijamii. Katika #TanzaniaMaleziSummit2025Mwanza, tumejifunza kuwa: Mzazi mwenye ujuzi humlea mtoto mwenye tija na manufaa kwa jamii na taifa kwa ujumla. #Mtoto

ECDNETWORK's tweet image. Malezi chanya huanzia nyumbani
Mzazi mwenye uelewa hujenga mazingira salama kwa mtoto kukua kimwili, kihisia, kiroho na kijamii.

Katika #TanzaniaMaleziSummit2025Mwanza, tumejifunza kuwa: Mzazi mwenye ujuzi humlea mtoto mwenye tija na manufaa kwa jamii na taifa kwa ujumla. #Mtoto

🧠 Mtoto anapopata malezi bora katika miaka ya awali, Taifa hupata nguvu kubwa ya maendeleo! #Malezi2025Mwanza imeonesha kuwa kuwekeza mapema kwa watoto wa 0-8 ni hatua ya kitaifa kuelekea ustawi na uchumi jumuishi. 👉🏽 #MtotoNiMalezi #MaleziCampaign #TanzaniaYaKesho #TMS2025

ECDNETWORK's tweet image. 🧠 Mtoto anapopata malezi bora katika miaka ya awali, Taifa hupata nguvu kubwa ya maendeleo!

#Malezi2025Mwanza imeonesha kuwa kuwekeza mapema kwa watoto wa 0-8 ni hatua ya kitaifa kuelekea ustawi na uchumi jumuishi.
👉🏽 #MtotoNiMalezi #MaleziCampaign #TanzaniaYaKesho #TMS2025

Tanzania Malezi Summit 2025 Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Malezi kwa Muktadha wa Dini ya Kiislamu na Kikristo hatua ya kihistoria kwa ustawi wa mtoto! Mtoto aliyelelewa kwa misingi ya imani hujengwa kuwa raia bora! #MtotoKwanza @Dr_DGwajima

ECDNETWORK's tweet image. Tanzania Malezi Summit 2025
Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Malezi kwa Muktadha wa Dini ya Kiislamu na Kikristo hatua ya kihistoria kwa ustawi wa mtoto!

Mtoto aliyelelewa kwa misingi ya imani hujengwa kuwa raia bora! #MtotoKwanza @Dr_DGwajima

UZINDUZI RASMI Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Taifa wa Vikundi vya Wazazi vya Malezi na Matunzo ya Mtoto jijini Mwanza wakati wa #TanzaniaMaleziSummit2025. Mwongozo huu ni hatua kubwa ya kuimarisha malezi na matunzo ya watoto. #MtotoKwanza

ECDNETWORK's tweet image. UZINDUZI RASMI Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Taifa wa Vikundi vya Wazazi vya Malezi na Matunzo ya Mtoto jijini Mwanza wakati wa #TanzaniaMaleziSummit2025. Mwongozo huu ni hatua kubwa ya kuimarisha malezi na matunzo ya watoto. #MtotoKwanza

Kila dakika unayoongea, kucheza au kusikiliza mtoto wako ni uwekezaji mkubwa katika ubongo wake 🌱🧠. Muda wako ndio msaada bora zaidi kwa ukuaji wake wa kiakili, kihisia na kijamii. #TMS2025 #MaleziBora #MtotoNiMalezi @Dr_DGwajima @UNICEFT @maendeleoyajami @HakiElimu @af_ecn

Kupitia #MtotoKwanza, @ecdnetwork na wataalamu wa lishe, ustawi wa jamii, CSOs na Wizara walifanya tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto. Lengo: Kuimarisha ushirikiano wa wadau katika afua jumuishi kwa maendeleo ya mtoto.

ECDNETWORK's tweet image. Kupitia #MtotoKwanza, @ecdnetwork na wataalamu wa lishe, ustawi wa jamii, CSOs na Wizara walifanya tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.
Lengo: Kuimarisha ushirikiano wa wadau katika afua jumuishi kwa maendeleo ya mtoto.

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko azindua kampeni ya kuhamasisha uanzishwaji wa vituo vya malezi ya awali ngazi ya jamii. Watoto milioni 9 (miaka 0–8) wapo nchini, lakini kuna vituo 206 pekee! Tuwekeze katika afya, elimu na ustawi wa mtoto kwa mustakabali bora wa taifa. @af_ecn

We continue to champion multi-sectoral collaboration for impactful change in #ECD. 🤝 At the Tanzania Malezi Summit 2025, we united through showcases, presentations & dialogue to call for more investment in ECD. @hiltonfound @UNICEFTanzania #Malezi2025 #InvestInECD #ECDTanzania

ECDNETWORK's tweet image. We continue to champion multi-sectoral collaboration for impactful change in #ECD. 🤝 At the Tanzania Malezi Summit 2025, we united through showcases, presentations & dialogue to call for more investment in ECD. @hiltonfound @UNICEFTanzania 
#Malezi2025 #InvestInECD #ECDTanzania

🌍 As part of our continued efforts in #ECD coordination & advocacy, TECDEN proudly co-organized the Tanzania Malezi Summit 2025 @maendeleoyajami @ortamisemitz uniting partners to call for greater investment in Early Childhood Development services across 🇹🇿. #InvestInECD #TMS2025

ECDNETWORK's tweet image. 🌍 As part of our continued efforts in #ECD coordination & advocacy, TECDEN proudly co-organized the Tanzania Malezi Summit 2025 @maendeleoyajami @ortamisemitz uniting partners to call for greater investment in Early Childhood Development services across 🇹🇿. #InvestInECD #TMS2025

The Lancet (2016) – Series on Early Childhood Development: Inasema kuwa uwekezaji katika miaka ya awali hupunguza gharama za afya, elimu ya marekebisho, na mifumo ya haki ya jinai — na huongeza tija kazini, kipato, na mchango wa mtu katika uchumi wa taifa. #MaendeleoYaMtoto

Tanzania Malezi Summit 2025 ..."Malezi ni mtoto anapolelewa vizuri tunaandaa jamii iliyo bora kwa jili yetu si kwa kwa ajili ya mtu mwingine..." Dkt Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu #MtotoNiMalezi #TMS2025 @UNICEFTanzania @Dr_DGwajima @maendeleoyajami @af_ecn @ECDAction

Tanzania Malezi Summit 2025 "If we want to change the story, we must begin by changing the way the story is written, who is allowed to tell it, and whose voices are included.- Elizabeth Maginga TECDEN Board Chair #InvestInchildren #ECDAgenda #ECDBudget #Policyinfluence

Tanzania ECD Network reposted

Mchakato wa maandalizi ya mtoto utakao mwezesha mtoto kukua,kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumii kutategemea aina ya malezi atakayo pewa mtoto. Kuelekea Kongamano kubwa la Malezi, @cdo_mzumbe inaungana na @ECDNETWORK kuwaalika wadau kushiriki #TMS2025.

cdo_mzumbe's tweet image. Mchakato wa maandalizi ya mtoto utakao mwezesha mtoto kukua,kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumii kutategemea aina ya malezi atakayo pewa mtoto. Kuelekea Kongamano kubwa la Malezi, @cdo_mzumbe inaungana na @ECDNETWORK  kuwaalika wadau kushiriki #TMS2025.

Kuwekeza katika maendeleo ya awali ya watoto ni msingi wa Tanzania imara na endelevu. Kongamano la #TMS 2025 litaunganisha wadau wote kuimarisha sera na mifumo ya malezi ya mtoto. Jiunge nasi kujenga mustakabali bora kwa watoto wetu. #WekezaKwaWatoto @Dr_DGwajima @UNICEFTanzania

ECDNETWORK's tweet image. Kuwekeza katika maendeleo ya awali ya watoto ni msingi wa Tanzania imara na endelevu. Kongamano la #TMS 2025 litaunganisha wadau wote kuimarisha sera na mifumo ya malezi ya mtoto. Jiunge nasi kujenga mustakabali bora kwa watoto wetu.
 #WekezaKwaWatoto
@Dr_DGwajima @UNICEFTanzania

We’re proud to join the African Childcare Forum in Kigali 🇷🇼 — an inspiring space for learning, sharing, and uniting to advance quality childcare across Africa. As we prepare for the Tanzania Malezi Summit 2025, we return with fresh insights to strengthen childcare systems in 🇹🇿

ECDNETWORK's tweet image. We’re proud to join the African Childcare Forum in Kigali 🇷🇼 — an inspiring space for learning, sharing, and uniting to advance quality childcare across Africa.

As we prepare for the Tanzania Malezi Summit 2025, we return with fresh insights to strengthen childcare systems in 🇹🇿

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.