Edson B. Mwonge
@EdsonMwonge
Runner | MU Alumni | Trucker
You might like
Mtwara Jumamosi tarehe 13 Tukusa Festival itakuwa huko kama ambavyo bango linajieleza 📌
Baada ya miaka 4 kupita bila kufika Arusha hatimaye nipo tena na wanangu wa TUKUSA,tukutane tarehe 6 jumamosi hii kwenye TUKUSA FESTIVAL itayofanyika Ubalozi wa Ufaransa pale kama ambavyo bango linajieleza 📌
Kuwa Mpole, lakini Usiwe Mjinga. Kuwa Mkarimu, Lakini Usikubali Kutumiwa. Kuwa Mnyenyekevu, Lakini Usikubali Kudharauliwa
Baba P Experience the album out now 😁😁💯✍️✍️🎶🔥🔥 tukasikilize ukweli sasa namna pen inavyopaswa kutumika! 🔥Maneno yote napokea @Valenc_Petr @BabuBomba4 @Gontamnyama @LucasOdero8 @SharoGangstar @Allycaydo1 @innocenzo__ @RealLoisMo @rchboy9 audiomack.com/babapexperienc… by @Baba P
audiomack.com
Baba P Experience by Baba P: Listen on Audiomack
Stream Baba P Experience, an album by Baba P. Release Date: 2025-04-04
#HipHopfamily uwezo wa @NikkiZohan Kwanini tusimpemaua angalia hai. Akifa ndo clips kamahizi zitaanza kutamba mitandaoni kwawanafiki wasaka likes 🙂↕️👮🏿♂️
#HipHopfamily sikia hii kutoka kwa @onetheincredibl ✊🏿👮🏿♂️
" Maneno ni ya ki Maalim , Flow nazo ni Sugu sababu Kinywa ni Complex tukirap we don't do Casual " @dizastavina , kwenye Uandishi huu Hapa wametajwa Maalim Nash, Mr Two Sugu na Marehemu Complex. 🙌
Hip Hop family nani anatamani kizazi hichi cha tatu Kwa Rap bongo kijirudie✊🏿👮🏿♂️
Karibu sana Dodoma....Maalim👊👊
Ndugu zangu wa Mbeya na Dodoma ratiba inaonesha mnafuata katika Ziara hii, nna wana wengi pale Mbeya na Dodoma pia, naomba sana michango yenu ili kufanikisha Ziara hii,tukishindwa watasema Wana Hip Hop wenyewe hawapeani ushirikiano,sasa tuwaoneshe kwa vitendo Dhidi ya Maneno.
ZIARA YA MISTARI NA UJUMBE. 2024. Mshabiki na Mkereketwa wa harakati nazozifanya, Naomba mchango wako ili kufanikisha Ziara hii yenye lengo chanya la kusambaza ujumbe wenye maadili mema kwa jamii kupitia Utamaduni wetu wa HIP HOP.
Nawashukuru tumefanikisha Ziara ya Mwanza,sasa nawaomba sana michango iendelee kwa nguvu tuna safari ya, Chunya,Mtwara,Tunduma na Dodoma. Safari zote zinahitaji nguvu yetu ya pamoja ili kufanikisha maandalizi yote. 🙏🏿
Huwezi kufanikiwa kwa mind inayothamini kuwa entertainment all the time Utavuna unachopanda. Huu ndo wakati wa kupanda vitu sahihi.Usipobadili direction utakuwa unaelekea downfall in every area of your life bila taarifa. Fanya AUDIT jioni ya leo✍️
Ujerumani ndo litawakuta jambo 😃😃😃
Another Day Another Blessings
Bayer Leverkusen wamecheza mechi 49 bila kupoteza game yoyote this season na huwezi kusikia wanalishana Cake wala kuweka Mabango!
Alhamdulillah. Album yangu ya mwisho kutoka ilikuwa mwaka jana mwezi kama huu na sasa ni imetimiza mwaka mmoja, Mhadhiri ni Album iliyosheheni kila aina ya ladha.Bado inapatikana kwa njia ya, Email, Telegram nk. Bei ni Elfu 25 tu. Kama unataka kuinunua text WhatsApp 0769522346
FO KARIBU NA ZIRO FOUNDATION.
Uza mahindi maji baridi misosi Mingi.../ Jua la utosi usihofu we force kingi...
Drop your favorite line that SONGA has ever said.. Tusikilize humu nyimbo👉 mdundo.com/a/972
Dear men si kilamwanamke unatakiwa kumtaka Ebu sisi wengine mtuache nafasi mlizotuweka kama ni rafk basi ibaki hvo. Ahsante Nb: mtapoteza madini kisa tamaa za muda mfupi🥂😊
United States Trends
- 1. Ellison N/A
- 2. Real ID N/A
- 3. Marner N/A
- 4. Macklin Celebrini N/A
- 5. #thursdayvibes N/A
- 6. Czechia N/A
- 7. Augusta N/A
- 8. Brody King N/A
- 9. Sakkari N/A
- 10. Mark Stone N/A
- 11. #SpiderNoir N/A
- 12. Bo Horvat N/A
- 13. Ron Johnson N/A
- 14. Dostal N/A
- 15. McDavid N/A
- 16. Gemini 3 Deep Think N/A
- 17. Max Muncy N/A
- 18. ATMs N/A
- 19. Team Canada N/A
- 20. The Dow N/A
Something went wrong.
Something went wrong.