FASTSMARTTECH's profile picture. Furahisana ni platform changa ya vichekesho mbalimbali vinavyopatikana youtube

Furahisana

@FASTSMARTTECH

Furahisana ni platform changa ya vichekesho mbalimbali vinavyopatikana youtube

Next time watu kama @Sativa255 msiuze every information to public tarehe 31 unawaambia waliopo online namna ya kubaki online tukafungiwa na huo mwanya.


Furahisana reposted

Help my research

fbuyobe's tweet image. Help my research

Sikujua kama VPN ni kwenye simu tu x for PC inapatikana watu mnaotumia simu muache kuangalia mambo ya ajabu mfunguliwe nimehamia for PC inatumika vizuri tu no VPN.

FASTSMARTTECH's tweet image. Sikujua kama VPN ni kwenye simu tu x for PC inapatikana watu mnaotumia simu muache kuangalia mambo ya ajabu mfunguliwe nimehamia for PC inatumika vizuri tu no VPN.

Safari yangu ya kwenda cuba niliyoota naona ikitimia sasa kwa mara ya kwanza dalili hizi hapa.


Kuna mtu mkubwa nitamnyang'anya cheo chake


قال الإمام أمير المؤمنين عليه السلام: يَا مَنْ بِدُنْيَاهُ اشْتَغَلْ قَدْ غَرَّهُ طُولُ الْأَمَلِ الْمَوْتُ يَأْتِي بَغْتَةً وَ الْقَبْرُ صُنْدُوقُ الْعَمَلِ وَ لَمْ تَزَلْ فِي غَفْلَةٍ حَتَّى دَنَا مِنْكَ الْأَجَلُ


Furahisana reposted

…. Mwenye Taarifa za Tajiri la Kihaya (@EsirEid) au mwenye mawasiliano ya mtu wake wa karibu kindly atujulishe. Ni siku kadhaa hajaonekana hapa na namba yake ya simu haipatikani.


Mama @SuluhuSamia asante tunaenda na wewe.


Furahisana reposted

Mawakala wa leo: Retweet for Lema, Like for Boni Yai.

Liberatus80's tweet image. Mawakala wa leo: Retweet for Lema, Like for Boni Yai.
Liberatus80's tweet image. Mawakala wa leo: Retweet for Lema, Like for Boni Yai.

Furahisana reposted

Wakati WAJUMBE wanapiga kura Mlimani Cty, Wakunjangumi tupige kura hapa✊✊ 👇 Retweet kwa LISSU like kwa Mbowe.

WilsonMawala's tweet image. Wakati WAJUMBE wanapiga kura Mlimani Cty, Wakunjangumi tupige kura hapa✊✊
👇
Retweet kwa LISSU like kwa Mbowe.
WilsonMawala's tweet image. Wakati WAJUMBE wanapiga kura Mlimani Cty, Wakunjangumi tupige kura hapa✊✊
👇
Retweet kwa LISSU like kwa Mbowe.

Kula kwa .... kura kwa .....?


Who is inventing digital camera for taking an image in complex mathematical way (vector)? @elonmusk


Join DON'T FORGET THE CHAPPYZ SEASON 2 AIRDROP! app.chappyz.com/campaigns/0191…


Watu wa blum msaada hapa please @Psiteshio1

FASTSMARTTECH's tweet image. Watu wa blum msaada hapa please @Psiteshio1

Furahisana reposted

NAOMBA USIPITE BILA KUSOMA NA KURT Huyu jamaa alifungwa mwaka jana jela kwa kukosa faini ya milioni 7 tu kwa kesi ya kuchapisha maudhui kuhusu vipato vya marais Hukumu yake imekuwa na walakini sana ila kwasababu ni mnyonge akaishia jela Kama wana X tunaweza kumfuta majonzi…

Ugeniaconso's tweet image. NAOMBA USIPITE BILA KUSOMA NA KURT

Huyu jamaa alifungwa mwaka jana jela kwa kukosa faini ya milioni 7 tu kwa kesi ya kuchapisha maudhui kuhusu vipato vya marais 

Hukumu yake imekuwa na walakini sana ila kwasababu ni mnyonge akaishia jela 

Kama wana X tunaweza kumfuta majonzi…
Ugeniaconso's tweet image. NAOMBA USIPITE BILA KUSOMA NA KURT

Huyu jamaa alifungwa mwaka jana jela kwa kukosa faini ya milioni 7 tu kwa kesi ya kuchapisha maudhui kuhusu vipato vya marais 

Hukumu yake imekuwa na walakini sana ila kwasababu ni mnyonge akaishia jela 

Kama wana X tunaweza kumfuta majonzi…

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.