FKaizilege's profile picture.

Meneja Mkuu

@FKaizilege

Pinned

@tanescoyetutz Pole na majukumu, samahani naomba kujua kama kuna gharama zingine anazozilipia mwananchi wa kijijini akitaka kuunganishiwa umeme tofauti na 27,000= naomba mnisadie tayari nimefunga wiring.🙏🙏🤝


Meneja Mkuu reposted

Dear afande CDF. Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwako kwa kuongoza majeshi yetu ya ulinzi kwa utimamu na uadilifu mkubwa. Sio siri, jeshi letu la wananchi siku zote limekuwa likiaminika kwenye missions mbalimbali za ulinzi wa amani chini ya miamvuli ya AU na UN

fbuyobe's tweet image. Dear afande CDF.

Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwako kwa kuongoza majeshi yetu ya ulinzi kwa utimamu na uadilifu mkubwa.

Sio siri, jeshi letu la wananchi siku zote limekuwa likiaminika kwenye missions mbalimbali za ulinzi wa amani chini ya miamvuli ya AU na UN

Meneja Mkuu reposted

Uliwahi Kujiuliza ni Kwanini kuna Namba za Magari yaani [Plate Numbers] tofauti tofauti Tanzania? Sasa Leo Nimekuandalia Makala ndefu na iliyoshiba itakayojibu swali lako na natumai Utaelewa zaidi. Shuka na Uzi🧵🧵

majizo_jr's tweet image. Uliwahi Kujiuliza ni Kwanini kuna Namba za Magari 
yaani [Plate Numbers] tofauti tofauti Tanzania? 

Sasa Leo Nimekuandalia Makala ndefu na iliyoshiba itakayojibu swali lako na natumai Utaelewa zaidi.

Shuka na Uzi🧵🧵

Meneja Mkuu reposted

Ukisikia Nakutakia Maisha Marefu Ndo Hii Sasa Ya Mzee Wassira.. "YUPO"😀


Meneja Mkuu reposted

—HUU UTANI WA SIDE 😃🙌


Pole na majukumu @tanescoyetutz niliwahi kuomba msaada kuhusu kuunganishiwa umeme nyumbani nikapewa majibu kuwa ni 27,000 tu na hakuna gharama zingine. Sasa nimetakiwa kulipia Tsh. 696,669= baada ya kuuliza nikaambiwa kwakuwa kuna nguzo mbili kufika mahari tulipo na mwenzangu

FKaizilege's tweet image. Pole na majukumu @tanescoyetutz niliwahi kuomba msaada kuhusu kuunganishiwa umeme nyumbani nikapewa majibu kuwa ni 27,000 tu na hakuna gharama zingine. Sasa nimetakiwa kulipia  Tsh. 696,669= baada ya kuuliza nikaambiwa kwakuwa kuna nguzo mbili kufika mahari tulipo na mwenzangu
This post is unavailable.

Meneja Mkuu reposted

Ukifika peponi halafu usimkute huyu mwanamke rudi duniani ukate rufaa. Dunia inakua mahala salama sana ikizungukwa na wanawake kama hawa 📌👏🏿


Meneja Mkuu reposted

Kocha kuna mawili.....🤣🤣🤣


Meneja Mkuu reposted

Tujikumbushe kidogo


Meneja Mkuu reposted

UGONJWA UPO KENYA...!!! WACHA NIKUPE ELIMU NDUGU MTANZANIA...🩺 Huenda umeshawai kusikia kuugonjwa unaoitwa kwa "Monkeypox" au kwa Kiswahili "homa ya nyani" au "ndui ya nyani," SOMA KWA MAKINI...SHARE, BOOKMARK..👇

ItsMrHealth's tweet image. UGONJWA UPO KENYA...!!! WACHA NIKUPE ELIMU NDUGU MTANZANIA...🩺

Huenda umeshawai kusikia kuugonjwa unaoitwa kwa "Monkeypox" au kwa Kiswahili "homa ya nyani" au "ndui ya nyani," 

SOMA KWA MAKINI...SHARE, BOOKMARK..👇

Meneja Mkuu reposted

Sumbawanga hapo Chura kiziwi akiwa na watu wake kwenye magari Wakifikq sehemu anawashusha anawahutubia kisha anasonga nao Huyu Bi kizimkazi ushawishi ni sifuri


Meneja Mkuu reposted

Ingawa YouTube mahojiano yameondolewa, hii ni sehemu ya mahojiano ya @Salym na SACP Jumanne Muliro kupitia @CrownMediaTZ kuhusu kutekwa, kupotea, kuteswa na kupatikana kwa @Sativa255. Maswali mengi ya msingi Afande Muliro amegoma kutoa ushirikiano kwa kisingizio cha uchunguzi 💔


Meneja Mkuu reposted

Rais @SuluhuSamia , sikiliza maneno ya kiongozi wa dini hapa, sio wale matapeli wa madhabahu wakina Mwamposa unaowahonga kila siku kwa rushwa unayoiita “sadaka” na “zawadi” ili wakufanyie PR. ⬇️


Meneja Mkuu reposted

Luhaga Mpina ameeleza umma, maamuzi ya mawaziri, Hussein Bashe (Kilimo) na Mwigulu Nchemba (Fedha) yamepoteza mapato ya Serikali zaidi ya Sh580 bilioni. Kwa mantiki ndogo, upotevu wa fedha za Serikali ni zaidi ya ufisadi wa RICHMOND ambao ulimfanya Waziri Mkuu, Edward Lowassa…

IAMartin_'s tweet image. Luhaga Mpina ameeleza umma, maamuzi ya mawaziri, Hussein Bashe (Kilimo) na Mwigulu Nchemba (Fedha) yamepoteza mapato ya Serikali zaidi ya Sh580 bilioni. 

Kwa mantiki ndogo, upotevu wa fedha za Serikali ni zaidi ya ufisadi wa RICHMOND ambao ulimfanya Waziri Mkuu, Edward Lowassa…
IAMartin_'s tweet image. Luhaga Mpina ameeleza umma, maamuzi ya mawaziri, Hussein Bashe (Kilimo) na Mwigulu Nchemba (Fedha) yamepoteza mapato ya Serikali zaidi ya Sh580 bilioni. 

Kwa mantiki ndogo, upotevu wa fedha za Serikali ni zaidi ya ufisadi wa RICHMOND ambao ulimfanya Waziri Mkuu, Edward Lowassa…

Meneja Mkuu reposted

Bado Vita Havina #SULUHU Na Kupona Ni #MAJALIWA 6/6 Save The Date 💐


Meneja Mkuu reposted

1. Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi ya wahimiza nyeto. 2. Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu…

ItsMrHealth's tweet image. 1. Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi ya wahimiza nyeto.

2. Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu…

Meneja Mkuu reposted

VYAKULA VYA ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI. Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo 👇👇👇

ItsMrHealth's tweet image. VYAKULA  VYA  ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME  & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI.

Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo 👇👇👇
ItsMrHealth's tweet image. VYAKULA  VYA  ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME  & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI.

Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo 👇👇👇
ItsMrHealth's tweet image. VYAKULA  VYA  ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME  & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI.

Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo 👇👇👇

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.