Fallen Echoes
@Fallenechoe
Safari bado haijaisha, tumaini bado lipo💡
Umeshapitia mengi umevumilia, umeanguka, umesimama tena. Pengine unahisi umechelewa na maisha hayajakupa kile ulichotegemea. Lakini sikia hii 👇 ➡️kuna watu walifanikiwa baada ya kushindwa mara nyingi. ➡️kuna waliopata nafasi baada ya kuhisi wamepotea kabisa ➡️kuna waliokuwa 👇
Kwa uwezo wa mungu muumba na malaika wake ipo siku Brand well known "MUDI MABIRIANI" itakuwa kama "KFC" au level za McDonald's ntakuwa na story mingi za kumwambia kijana mwenye matamanio ya kuwa kama mimi sio rahisi kama unavyodhani
Kuna nyakati utahisi kama dunia imekugeuka, ndoto zako zimezama kwenye giza. Lakini kumbuka yakuwa hata usiku mrefu zaidi una mwisho na hata mbegu inayofukiwa ardhini huota na kuwa mti imara, subiri wakati wako! #safaribadoinaendelea #usikatetamaa
Usiruhusu kile unachopitia sasa kikufanye usahau nguvu uliyonayo ndani yako, kumbuka hata moto mkali huanza na cheche ndogo. Subiri joto lako linakuja! #usikatetamaa #safaribadoinaendelea
Usijilinganishe na wengine kila mtu ana safari yake. Ua la mwituni linachanua bila kushindana na ua la busitanini lakini uzuri wake haupungui. Thamini safari yako, unaangaza kwa njia yako mwenyewe #thaminisafariyako #weweniwapekee
Usichoke kupambana hata jani dogo linajua kuwa upepo mkali haudumu milele, hata majaribu yako yatapita na utasimama tena ukiwa imara zaidi. #usikatetamaa #safaribadoinaendelea
Mti imara haukui kwenye upepo laini, bali kwenye dhoruba kali. Changamoto zako si mwisho wako ni mafunzo yanayokutengeneza kuwa mtu usiyewahi kufikiria unaweza kuwa. #endeleakupambana #usikatetamaa #mamboyatabadirika
kabla ya jua kuchomoza kuna giza nene, kabla ya ushindi kuna majaribu makali. Usikate tamaa kwa sababu ya leo, kesho inaweza kuwa siku yako ya mabadiliko! #usikatetamaa #endeleakupambana
wingu jeusi linaweza kufunika jua, lakini halina uwezo wa kulizima. Maisha yako yana mwanga wake, hata kama sasa hauuoni, subiri giza litapita! #usikatetamaa #mwangautarejea #safaribadoinaendelea
Wakati mwingine maumivu tunayopitia si adhabu bali maandalizi ya kitu kikubwa zaidi. Usihofie mabadiliko, mara nyingi huja na baraka zilizojificha. #usikatetamaa #endeleakupambana
Usihisi umechelewa maishani. Kila mtu ana muda wake wa kung'aa, maua yote hayachanui kwa wakati mmoja, lakini yote yanapamba dunia kwa uzuri wake wa kipekee, endelea kusonga wakati wako utafika! #usikatetamaa #safariyakoNiyapekee #mamboyatabadirika
Kila mtu ana vita anayopigana kimya kimya. Usiache majaribu yakufanye ujione mdhaifu, ndani yako kuna nguvu ambayo bado haujaiona, endelea kupigana siku moja utaangalia nyuma na kushukuru haukukata tamaa. #usikatetamaa #wewenimwenyethamani #endeleakupambana
Wakati mwingine maisha yanakuvunja vipande vipande ili yakujenge upya ukiwa imara zaidi. Usilalamike kwa maumivu, maana yanaandaa toleo bora zaidi la wewe. Endelea kusonga haupo hapo kwa bahati mbaya! #endeleakupambana #mamboyatabadirika
Usikate tamaa kwa sababu leo ni ngumu. Kumbuka, hata usiku mrefu huisha na jua huchomoza tena, pambana jipe moyo na endelea kusonga mbele. Kesho yako inaweza kuwa muujiza unaokusubiri. #usikatetamaa #mamboyatabadirika #badounanafasi
Ukiwa mtu wa kukata tamaa mapema kuna vitu huwezi kuvipata, hasa vitu vizuri na vikubwa. Good morning Champs
Kuna siku utatazama nyuma na utagundua kuwa kila kilichokuumiza kilikuwa somo, kila maumivu yalikuwa sehemu ya Safari, na kila kilichoonekana kama mwisho kilikuwa mwanzo mpya. Usikate tamaa! #usikatetamaa #safaribadoinaendelea
Mafanikio yakichelewa usikate tamaa ukiwa njiani !
Hivi ndivyo vitabu ambavyo vinaweza kukusaidia kushinda utumwa wa kifikra na kujikomboa kifikra vipo vingi lakini kwa sasa nakupa vitatu tu na nitaongeza tena. UZI 🧵 NB: Vitabu vyote vinapatikana kwangu softcopy kwa Tsh 10000/= tu📍 Jipatie copy yako👇 Wa.me/+255628662202
As a man, Stop chasing women. The bitter truth many men come to realize when it's too late is that a woman has more options than you. Focus on your growth, and let your presence be the one thing that no man can replace. Stay focused.
United States Trends
- 1. Minneapolis N/A
- 2. Alex Pretti N/A
- 3. Alex Pretti N/A
- 4. Steelers N/A
- 5. Keaton Wagler N/A
- 6. McCarthy N/A
- 7. Purdue N/A
- 8. Insurrection Act N/A
- 9. 2nd Amendment N/A
- 10. Embiid N/A
- 11. Kingston Flemings N/A
- 12. Kyle Rittenhouse N/A
- 13. National Guard N/A
- 14. #Illini N/A
- 15. Sixers N/A
- 16. Rodgers N/A
- 17. Mark Mitchell N/A
- 18. Stephen Miller N/A
- 19. Mikal N/A
- 20. Braden Smith N/A
Something went wrong.
Something went wrong.