You might like
Absence of evidence is not the evidence of absence...Alamsik
Dkt.Lazaro Komba✅
BREAKING NEWS : Kikao cha Kamati Kuu CCM Kimefanyika leo Zenji, kilikua na agenda 2, Mwenendo wa Rais Samia na Mwinyi, na kujadili Mgombea Ubunge Peramiho. 1 - Wamempongeza SSH na Mwinyi kwa kuwatumikia wananchi. 2 - Jina la GETRUDE HAULE limepitishwa kugombea Ubunge Peramiho.
Hakuna kutajirika as a group! Don’t be an idiot. GM.
UKIMWI ni ugonjwa wa kawaida ukiwa hujaupata, play safe.
Wacha tuupe muda nafasi kaka, tutakumbushana
Swala hapo sio nani anafanya maamuzi bali kama mhimili wa nchi ilikuwa ni cheap language na inachukuliqa kama maelekezo, na kama nitakukumbusha kuwa yalikuwa maelekezo na dogo atakuwa Mbunge. Tuishie hapa
Huduma yoyote ya kulipia ambayo si ya lazima ni anasa. Fukara Netflix ya nini?
Majirani na marafiki tulishakukanya sana Amigo.
Mambo mengi yametokea ambayo sikuwaza kama yangetokea, nimefanya vitu ambavyo niliwahi kuapa sitokuja kufanya kamwe that's why I will never judge anyone for their choices or their mistakes. Life has no manual. We are all doing the best we can and learning a lot along the way!
Achana na hiyo kuna ile unalia af unagusa mfukoni unakuta simu hamna🤣🤣🤣
Bro to bro ,Nuksi na mikosi hazivaliwi kinga wanangu .Kuwa na mwanamke mmoja anatosha.
Tangu nimekuwa , na nikagundua kwamba unaweza kufanya Kazi na Usifanikiwe , basi nimejifunza kuomba Neema na Utangulizi wa Mungu katika kila ninachokifanya .
you are entitled to your opinion no matter how dumb it is
Kipindi unafeli kuna kitu unajifunza.
Jinsi ya kujiheshimu Mwenyewe 1. Mtangulize Mungu kwa kila Jambo 2. Punguza kujieleza kupita kiasi 3 . Weka mipaka yako bila kuomba radhi 4. Timiza ahadi zako 5 . Dhibiti hisia zako hadharani 6 . Usiombe umuhimu kwa watu 7. Punguza matarajio kwa watu 8. Heshimu muda wako
Kipindi mtoaji anapofilisika, mpokeaji atasema mtoaji hakuwa na matumizi mazuri ya fedha. Watoaji, kuweni makini
Ukiona unatumia nguvu nyingi, Sio Hapo!
"Maneno yote mazuri yanayokuja baada ya kufanya kosa, yanahesabika ni utetezi." ~ Ben Mkapa
United States Trends
- 1. #GRAMMYs N/A
- 2. Kawhi N/A
- 3. #StadiumSeries N/A
- 4. All-Star N/A
- 5. Chet N/A
- 6. Kennedy Center N/A
- 7. Norman Powell N/A
- 8. Kehlani N/A
- 9. Jon Cooper N/A
- 10. Tyla N/A
- 11. Reds N/A
- 12. Durand N/A
- 13. chappell N/A
- 14. #GoBolts N/A
- 15. Suarez N/A
- 16. Hagel N/A
- 17. sabrina N/A
- 18. Siakam N/A
- 19. Black History Month N/A
- 20. Geno N/A
You might like
-
Dada Tuku🌹
@Mwanzalimaa -
D E E 🇹🇿
@LubonaJr -
Prince Evance Masonda
@evance_masonda -
THE LIFE OF MAJANI004
@MAJANI_MASHA004 -
Mr. Guchibanda (Senator)
@guchibanda -
zahORO
@zahoro1601 -
Proud🇹🇿
@WazaelAS -
silence
@sound_ssilence -
Gabriel Idrisa
@idriss__gabbie -
shigimelo
@shigimelo -
mnama
@ThiagoMnama -
Mr. DC.
@Raphael53494775 -
BRIAN✳️🇹🇿🇹🇿
@dangwa_brian -
J🅾️G🅾️🅾️
@Iam__Jogoo -
Ronnie
@MassauGamba
Something went wrong.
Something went wrong.