HernandezJr2016's profile picture. Professional Director of My Life, CEO of Unemployment sectors & A member of Street parlianment.

Mr. 'MFUKUNYUA'

@HernandezJr2016

Professional Director of My Life, CEO of Unemployment sectors & A member of Street parlianment.

Al-jumaa ya 'LEO' iwe ni chanzo kikuu cha vuguvugu la mafanikio yako katika 'MAISHA'. MUNGU atuinue tufikie malengo yetu.. 🙏🙏🙏

Kosa la 'USALITI' ulilolifanya kwa mpenzi wako, limechangia kwa kiasi fulani kwenye Jamii kuongezeka kwa 'UNYAMA', 'UKATILI', 'TABIA', na 'MIENENDO' isiyofaa kwenye 'MAHUSIANO'

Mtanzania umenyongwa kwa miaka 59 tangu tupate 'UHURU' , kisha anakuja mgombea aliyekuwa kwenye mfumo wa chama hicho anajiita 'RAIS wa WANYONGE' na wewe unamkenulia meno utadhani Unyonge ni HESHIMA vile.. Fyuuuuuuuuuh

'KISIMI' husichokiingia hujui urefu wake..

Watanzania tuache ushabiki wa kishamba kwenye 'MAISHA YETU'. @ccm_tanzania wametawala tangu 'UHURU' hadi leo, lakini bado 'Mfumo mzima wa ELIMU ni CHANGAMOTO zilizokosa utatuzi kwa Muda mrefu mno'.. Tuchague #MABADILIKO ✌✌✌ @TunduALissu @zittokabwe

Watanzania tuache ushabiki wa kishamba kwenye 'MAISHA YETU'. @ccm_tanzania wametawala tangu 'UHURU' hadi leo, bado 'UPATIKANAJI wa DAWA' kwa wagonjwa kwenye mfumo mzima wa AFYA ni Kitendawili.. Tuchague #MABADILIKO. ✌✌✌ @fatma_karume @HildaNewton21

Watanzania tuache ushabiki wa kishamba kwenye 'MAISHA YETU'. @ccm_tanzania wametawala tangu 'UHURU' mpaka leo lakini bado hatuna 'UMEME wa UHAKIKA' kwenye Taifa letu.. Tuchague #MABADILIKO. ✌✌✌ @kigogo2014 @RealHauleGluck

Watanzania tuache ushabiki wa kishamba kwenye 'MAISHA YETU'. @ccm_tanzania wametawala tangu 'UHURU' mpaka leo lakini bado maeneo mengi ya nchi hii hayana uhakika wa' MAJI SAFI na SALAMA'.. Tuchague #MABADILIKO. ✌✌✌ @MariaSTsehai @halimamdee

Ilimradi tuna uwezo wa kuingia tweeter na kuona yanayoendelea, 'MUNGU' bado anatuhitaji kwenye 'DUNIA' yake hivyo tunapaswa 'KUMSHUKURU'. Siku hii iwe njema kwenu 🙏🙏🙏

Kama vifua vyetu vingefunguka na tungeona 'DHAMIRA' za watu wote waliyotuzunguka, pengine tungepoteza ndugu, jamaa, na marafiki 'WENGI MNO'..

Wajumbe mnoishi kwenye content ya 'WAPWA TUINUANE' wengi wenu hamna DHAMIRA ya kuinuana ila mnataka KUINULIWA.. Ndio maana 'Followers' na 'Following' kwenu havikaribiani kabisa.

Mara zote 'JAZBA' hupunguza 'UFANISI' wa 'FIKRA PAMBANUZI' katika kufanya 'MAAMUZI YAKINIFU' Niwatakie JUMAPILI yenye 'FURAHA' na 'AMANI' kwenu Jamhuri ya watu wa twitter..

Kwani kukua kwa UCHUMI kunaenda sambamba na hali ya Maisha kuzidi kuwa ngumu?? Wataalam wa Uchumi tunaomba ufafanuzi maana kabla hatujaingia kwenye 'Uchumi wa KATI' maisha yalikuwa na unafuu kidogo kuliko ilivyokuwa sasa.!! @BabaMwita @HASHIMRUNGWE_1

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi. MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

Dieser Tweet ist nicht mehr verfügbar.

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi. MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

#TANZIA Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

eastafricatv's tweet image. #TANZIA Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi. MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt JOHN MAGUFULI ametoa Salamu za Rambirambi Kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu MARK BOMANI. Pole hizo zimetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole Kwa Niaba ya Dkt MAGUFULI.

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi. MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo September 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, DSM. #RIPMzeeBomani🙏🏼

millardayo's tweet image. Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo September 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, DSM.
#RIPMzeeBomani🙏🏼

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi. MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

Mwenyezi Mungu amjalie Mzee wetu Bomani pumziko jema! Pole sana kwa familia; Mama yetu Rahma Mwapachu Bomani, Heri, Clement na Andrew. Pamoja na wote ambao wameguswa na msiba kwa namna moja au nyingine. Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie.....!

jjmnyika's tweet image. Mwenyezi Mungu amjalie Mzee wetu Bomani pumziko jema!

Pole sana kwa familia; Mama yetu Rahma Mwapachu Bomani, Heri, Clement na Andrew. Pamoja na wote ambao wameguswa na msiba kwa namna moja au nyingine. 

Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie.....!

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi. MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

Rest in Peace Judge Mark Bomani I am privileged to have known you na nimepata madini mengi kutoka kwako! Ulisimamia kwa dhati ujenzi wa mifumo ya haki Tanzania 🇹🇿 Tumeondokewa na hazina kubwa sana ya Taifa 🙏🏽

MariaSTsehai's tweet image. Rest in Peace Judge Mark Bomani
I am privileged to have known you na nimepata madini mengi kutoka kwako! Ulisimamia kwa dhati ujenzi wa mifumo ya haki Tanzania 🇹🇿 Tumeondokewa na hazina kubwa sana ya Taifa 
🙏🏽

R.I.P Jaji Mstaafu Mark Bomani, ukibahatika kukutana na Baba wa Taifa hayati Mwl. JULIUS K. NYRRERE huko huendako mwambie tunahitaji DUA zake nyingi MAANA tulipofikia leo; 'MZALENDO' anaitwa 'MCHOCHEZI' na 'MPIGANIA HAKI' wamempa jina la 'MVURUGA AMANI' 😔

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Serikali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Pumzika kwa Amani Jaji Bomani.

HildaNewton21's tweet image. Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Serikali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Pumzika kwa Amani Jaji Bomani.

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.