Image3Van's profile picture. 🙉

Van_imagePro

@Image3Van

🙉

Bora akusapport kama X-boyfriend/girlfriend wake kirafiki, kuliko kukupost mtandaon kila uchao kwa mpenzi lakinafki na huku hana mpango wala maono na wewe kimaisha. BORA SUPPORT KULIKO POST, utaepuka fedheha.


Niheri waseme unaringa kuliko wakuzoe sana nakuku dharau, Muda mwingine mazoea kuza dharau @Image3Van


UNAWEZA UKAWA ZAKO NYUMBANI UMETULIA UNASOMA ZAKO BIBLIA AFU KUNA MJINGA MMOJA YUKO GUEST ANASAINI KWA KUTUMIA JINA LAKO @movic


Katika maisha makosa ni kitu muhimu sana kua nayo au kuyafanya kusudi uweze kujifunza kadri unavyo kosea kwenye maisha ndivyo tunavyo jifunza @Victor_mwambene


Dunia imeja vipofu wengi kuliko wenye macho na akitokea mwenye macho vipofu huungana kumpiga vita @Abdurazaki Issa 🙌


Nikikuacha ukapata Boy mwenye uwezo/Pesa upaswi kunichukia mimi nisinge kuacha ungempata wapi uyo mwamba nipende zaid ya jana


Nikikuacha ukapata Boy mweny uwezo/Pesa kuzid mimi upaswi kunichikia nishukuru na uzidi kunipend zaid nisinge kuacha mimi unge mpatia wapi uyo msela.😪


Sometimes hauwezi kujua kama una mbio sana kama haujakimbizwa na kitu cha kutisha.👹👺


Kiwango cha mafanikio yako kinatokana na wewe unavyo amini Na nidham binafsi @Image3Van


Duniani utakutana na wanadamu, pia utakutana na wanywa damu waliovaa sura za wanadamu na hauwezi kukwepa kukutana na aina ya watu hawa. Muhimu nikujua kuishi nao wote. @Image3Van


Uhuru wa Ukweli unaweza kufurahiwa zaida na wale watu ambao wanajua kukata nakusema HAPANA. @ezdenjumanne


Yule kisura aliyekataa kuolewa na mwanaume mfupi, amekubali kuolewa na mwanaume mwenye akili fupi. wakati vya kufikirika vinakataa uhalisia [FOG]


"" Usipo heshimu unakotokea ata uendako utapotea, Nimekupa moja ya siri kubwa. Ukubwa sio umri. @Image3Van


Kati ya SIFA na FAIDA utachagua nin.? cheo ni sifa ila maisha ndani ya cheo ni faida. Ukifuatilia sana sifa, utapishana sana na faida nyingi maishani.


Maisha ayakupi unachotaka ila yanakupa unachokitafuta. Ukiitaka dunia isiyokutaka, yatakukuta usiyoyataka.


Ukiacha hisia zikuendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli, Sababu neno la ukweli sio zuri na neno zuri alina ukweli.. Makinika @Image3Van


```Ukweli unachoma kama pasi ukiusikia, lakini ndio tabia inanyooshwa na moyo unagangwa. @FOG|UKWELI NI UKWELI TU|HEKIMIKA QUOTES.```


United States Trends

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.