InfoLib2008's profile picture. #Bismillah Rahmanir Rahiim || Cyber Librarian || Deaf || Information Technology Enthusiast ||Qur'an 36:82 || My Hands My Language || Content Creator ||

#InfoLibrary

@InfoLib2008

#Bismillah Rahmanir Rahiim || Cyber Librarian || Deaf || Information Technology Enthusiast ||Qur'an 36:82 || My Hands My Language || Content Creator ||

Pinned

#Library4Future Leo ndio siku ambayo nilipanga kushare nanyi kuhusu👇👇👇 💢Jinsi ya kutengeneza Blog za blogspot.com 💢Jinsi ya kuweka Template 💢Jinsi ya kuandika Post zako 💢Kuongeza Author(Mwandishi)na kuongeza email 💢Kuhamisha umiliki #Uzi

InfoLib2008's tweet image. #Library4Future

Leo ndio siku ambayo nilipanga kushare nanyi kuhusu👇👇👇
💢Jinsi ya kutengeneza Blog za blogspot.com
💢Jinsi ya kuweka Template
💢Jinsi ya kuandika Post zako
💢Kuongeza Author(Mwandishi)na  kuongeza email
💢Kuhamisha umiliki
#Uzi

Just remember

InfoLib2008's tweet image. Just remember

Just mined 24.048 $BYTE on my phone! 🎉 Join the ByteBlockchain movement!🌐 Fast. Easy. 100% free. 🚀 Start mining now with @ByteBlockchainX ⛏️ 👉 Download ByteBlockchain APP: app.byteblockchain.org

#Library4future Nawaomba RITA mfungue inbox yenu nina shida nanyi kuhusu cheti cha kuzaliwa please! @RITATanzania

Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary

InfoLib2008's tweet image. Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary

#InfoLibrary reposted

Interested in blogging? Then Read this Thread.. - You can build your blog in Just 15 Minutes. - Best ways to Monetize and make money - How to get traffic to your blog the easiest way. Dive with me... 👇

Dhulma ni mbaya sana na hutosamehewa kwa dhulma zako mpaka uombe msamaha kwa uliemdhulumu. Na hata ukifa bado zambi za dhulma zitazidi kuendelea kukuhukumu. Tujitahidi kuwa waja wema ili Mwenyezi Mungu atujaarie nuur katika kila lililo jema juu yetu. 🙏🙏🙏

Wanaodhulumu katika Vipimo, Hawadhulumu ila nafsi zao, kwani moto wa Jahannam ndio makao yao ya kudumu

#InfoLibrary reposted

Msemaji wa mabingwa, Ezekiel Kamwaga tayari amenunua jezi yake mpya, jezi bora inayofaa kuvaliwa na kila mtu. Kama bado unasubiri nini? fika sasa kwenye maduka ya Vunja Bei upate jezi yako. #SimbaDay2021 #NguvuMoja

SimbaSCTanzania's tweet image. Msemaji wa mabingwa, Ezekiel Kamwaga tayari amenunua jezi yake mpya, jezi bora inayofaa kuvaliwa na kila mtu.

Kama bado unasubiri nini? fika sasa kwenye maduka ya Vunja Bei upate jezi yako. #SimbaDay2021 #NguvuMoja

Ujuzi kuzidiana ila hapa ni zaidi ya ujuzi wa kuibia. Je uliwahi sikia trick inaitwa GodMode katika pc yako? Kama jibu ni Hapana basi fuata huu uzi ulioandaliwa na mtaalamu wetu @HabariTech ili tuhabarike kiteknolojia

Fanya zaidi na Windows PC yako kwa kuruhusu god mode. Hapana, god mode haiongezi feature yoyote ambayo haipatikani katika Windows ya kawaida. Hii ni njia tu ya kupata settings zote za windows sehem moja. 🧵 #habarimaarifa

HabariTech's tweet image. Fanya zaidi na Windows PC yako kwa kuruhusu god mode.

Hapana, god mode haiongezi feature yoyote ambayo haipatikani katika Windows ya kawaida.

Hii ni njia tu ya kupata settings zote za windows sehem moja.

🧵 #habarimaarifa

Ufahamu mfumo wa uoinzi na usalama nchini Marekani ambao umechambuliza na mtaalamu wetu @Eng_Matarra

Serikali yeyote jukumu lake la kwanza ni kulinda raia wake ktkn na vitisho vya usalama wao. Hivyo serikali inatakiwa kuunda mfumo madhubuti wa ulinzi wa ndani na mipaka.Waliopewa dhamana ya kulinda nchi yake na kuitetea ikiwa kuna vita|uvamizi kutoka kwa maadui ni Jeshi #UZI...👇

Eng_Matarra's tweet image. Serikali yeyote jukumu lake la kwanza ni kulinda raia wake ktkn na vitisho vya usalama wao. Hivyo serikali inatakiwa kuunda mfumo madhubuti wa ulinzi wa ndani na mipaka.Waliopewa dhamana ya kulinda nchi yake na kuitetea ikiwa kuna vita|uvamizi kutoka kwa maadui ni Jeshi
#UZI...👇

We need this technology for sure. Ma dokta wapumzike! @mBongo @furia_francis @winluckshayo @GIVENALITY

#InfoLibrary reposted

Bm3 4 vs manara 1 na dk ni ya 90' na Bm3 kapata penalt😂

RahmaChuwa's tweet image. Bm3 4 vs manara 1 na dk ni ya 90' na Bm3 kapata penalt😂

#InfoLibrary reposted

Ilikuwa rahisi kuona kwamba mnamo 2001, wakati Dick Cheney, Rumsfeld & W walipoamua kuvamia Afghanistan, kulikuwa na Maendeleo ya KITEKNOLOJIA, ambayo yangeweza kubadilisha uwanja wa vita. Silaha nzito na za kisasa pamoja na ndege zisizokuwa na rubani (drones).

Eng_Matarra's tweet image. Ilikuwa rahisi kuona kwamba mnamo 2001, wakati Dick Cheney, Rumsfeld & W walipoamua kuvamia Afghanistan, kulikuwa na Maendeleo ya KITEKNOLOJIA, ambayo yangeweza kubadilisha uwanja wa vita. Silaha nzito na za kisasa pamoja na ndege zisizokuwa na rubani (drones).

#InfoLibrary reposted

🔊 | #SPOTSTZ SPACE 🦁👀 Tutakua hewani leo kupitia @TwitterSpaces tukijadili na kuskiliza maoni ya mashabiki wa soka kuhusu: ✍️ Mafanikio ya Simba SC msimu huu ✍️ Sakata la Haji Manara ✍️ Sakata la Usajili wa Miquissone ✍️ Uwekezaji na matarajio ya msimu mpya. 🕥12:00 Jioni

Bibosports's tweet image. 🔊 | #SPOTSTZ SPACE 🦁👀

Tutakua hewani leo kupitia @TwitterSpaces tukijadili na kuskiliza maoni ya mashabiki wa soka kuhusu:

✍️ Mafanikio ya Simba SC msimu huu
✍️ Sakata la Haji Manara
✍️ Sakata la Usajili wa Miquissone 
✍️ Uwekezaji na matarajio ya msimu mpya.

🕥12:00 Jioni

#InfoLibrary reposted

Chanjo ya UVIKO-19(COVID-19) inatolewa katika kituo cha Afya, Chuo Kikuu (DSM) Kampasi ya Mwl.Nyerere-Mlimani. KUPATA CHANJO NI HIYARI YAKO NA INATOLEWA BURE. Jisajili sasa kupitia “link” kwenye bio yetu. chanjocovid.moh.go.tz/#/

udsm_alumni's tweet image. Chanjo ya UVIKO-19(COVID-19) inatolewa katika kituo cha Afya, Chuo Kikuu (DSM) Kampasi ya Mwl.Nyerere-Mlimani.

KUPATA CHANJO NI HIYARI YAKO NA INATOLEWA BURE.

Jisajili sasa kupitia “link” kwenye bio yetu.
chanjocovid.moh.go.tz/#/

#InfoLibrary reposted

#MsaadaTutani: bado natafuta taarifa kuhusu mtoto huyu. Tafadhali nisaidie kusambaza ujumbe huu hadi uwafikie wazazi/walezi/walimu wake. Mungu awabariki sana

Chahali's tweet image. #MsaadaTutani: bado natafuta taarifa kuhusu mtoto huyu. Tafadhali nisaidie kusambaza ujumbe huu hadi uwafikie wazazi/walezi/walimu wake. Mungu awabariki sana

#InfoLibrary reposted

🇬🇭 Bernard Morrison has been banned for three (3) games by the 🇹🇿 Tanzanian FA! #NguvuMoja

Banned for how long?

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.