IssaMus65770525's profile picture. mshukuru mungu kwa kila jambo

Issa Mustapha

@IssaMus65770525

mshukuru mungu kwa kila jambo

Issa Mustapha 已轉發

IGP Sirro sikiliza maneno ya OCD wako


Huyu ni mtoto Au mtu mzima hahahahaaa🤣🤣🤣🤣😅😅🤣🤣


Issa Mustapha 已轉發

Tundu Lissu in Tarime a few days ago. Unified opposition grows in Tanzania. Courage @TunduALissu #TunduLissu2020


Nimesikitishwa na kifo cha mh Benjamin William mkapa (rais mstaafu wa awamu ya tatu 3) Nitamkumbuka kwa uongozi wake mh. rais mstaafu mwenyezi mungu aiweke roho yake pahala pema peponi.Amina


Nimepokea kwa masikito makubwa kufuatia kifo cha mh. Benjamín.W mkapa kufuatia kifo chake.innalilah waina illah rajiuuñ.M/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina

IssaMus65770525's tweet image. Nimepokea kwa masikito makubwa kufuatia kifo cha mh. Benjamín.W mkapa kufuatia kifo chake.innalilah waina illah rajiuuñ.M/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina

Issa Mustapha 已轉發

Waziri Mkuchika kwa Mamlaka aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Hassan Ngoma kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida akichukua nafasi ya Wilson Shimo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoani Geita. #MillardAyoUPDATES

millardayo's tweet image. Waziri Mkuchika kwa Mamlaka aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Hassan Ngoma kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida akichukua nafasi ya Wilson Shimo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoani Geita.
#MillardAyoUPDATES

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.