Built in secret
@JacksonInChrist
Moving in silence.Delivering in power.08.
Siku niliyogundua hatima zetu hazifanani,niliweka chini mzigo wa kujilinganisha. Nikaacha kutafuta shortcuts,nikaanza kuamini mchakato. Nikachagua kuishi kwa imani,si kwa presha.
Ukiishi bila ufahamu wa kiroho,unaweza kupigwa vita bila kujua.
Mathayo 6:33 “Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.”
Kuna mipaka ya uwezo wa mwanadamu. Kwa kutumia akili zako,nguvu, connection au fedha kuna mahali utaishia.Lakini Mungu haishii hapo. With God all things are possible.
Nakushukuru kwa kuwa sehemu ya maisha yangu. Wewe si tu mpenzi wangu, bali ni rafiki yangu, amani yangu na furaha yangu. Kama ningechagua tena, ningekuchagua wewe mara mia. Happy Valentine my love 😘❤️
Wazee mnisamehe sana. Ila Love is a beautiful thing❤️🙌
Mfumo wa serikali: Soma → Pata ajira → Pata mshahara → Staafu. Mfumo wa utajiri binafsi: Jifunze → Jenga asset → Pata cashflow → Ongeza leverage. Hauhitaji kuacha mfumo wa serikali. Unahitaji kujenga mfumo wako juu yake.
"ulifanya vizuri kumchekesha, tusingejuwa kama ana kipini kwenye ulimi"
Kemea lile pepo au msukumo au hamu ya kuwaokoa wanawake wenye shida za maisha:- Ukiona single mother anahangaika muache ateseke na toto lake. Alichagua mwenyewe kuzaa na kishandu haikuwa bahati mbaya. Malaya wanaojiuza acha waendelee kula vichwa usijifanye Mesia eti unampa mtaji.
Ukibetia helaa yenye jina lakee mfano ada, chakula na naulii lazima uvuje jasho hiyo siku.
Kwenye Mahusiano unaweza ukafanya kila kitu na Bado ukaachwa,watu wakiamua kuwaacha watu hawajali wenzao watajisikiaje ubaya zaidi ni kwamba hakuna Njia ya kumbakisha mtu aliemua kuondoka.!!
Kama vile magonjwa yanavyokuja kutukumbusha namna ya kuipenda na kuijali miili yetu sana ndivyo nyakati nguvu zengine pia huja kwa hilo lengo. Hazijawahi kuwa adhabu hata siku moja. Kazi kwako kuzichukulia kama somo na ujifunze ama uendelee kulalamika huku hamna kinachobadilika.
"Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye,Naye atayanyosha mapito yako". Mithali 3:5-6 One of my favorite Bible verse ❤️
after a relationship with God, this is all men need:
Baraka huambatana na juhudi, nidhamu na uaminifu.
Wema umekuwa kitu adimu sana hadi ukimfanyia mtu wema anadhani unamtaka..
Unaendelea kuishi sio kwa sababu una imani, bali kwa sababu hujui utafanya nini ukikata tamaa. #ElimikaWikiendi
Baada ya miezi mingi leo nimefanikiwa kukutana na customer care mzuri.
United States Trends
- 1. #UFCHouston N/A
- 2. Strickland N/A
- 3. Rondale Moore N/A
- 4. Duke N/A
- 5. Rockets N/A
- 6. Knicks N/A
- 7. Brunson N/A
- 8. Auburn N/A
- 9. UCLA N/A
- 10. Albright N/A
- 11. Frank Martin N/A
- 12. Michigan N/A
- 13. #AEWCollision N/A
- 14. Geoff Neal N/A
- 15. #ufcfightnight N/A
- 16. Jose Alvarado N/A
- 17. Uros Medic N/A
- 18. Chandler N/A
- 19. #ufcparamount N/A
- 20. Donovan Dent N/A
Something went wrong.
Something went wrong.