Mkalikwanza🐾
@JacksonMsigwa6
JacksonManenoMsigwa~🇹🇿
You might like
Are you struggling to pay a huge amount on paid courses? I'm giving you access to 20+ FREE Courses 1. Artificial Intelligence 2. Machine Learning 3. Cloud Computing 4. Ethical Hacking 5. Data Analytics 6. AWS Certified 7. Data Science 8. BIG DATA 9. Python 10. MBA To get it,…
Hakuna umeme mkoa wa Iringa tangu saa 2 asubuhi mpaka usiku huu. Na ni mkoa mzima. @Tanescoyetu shida nini?
THIS IS NOT A MERCEDES BENZ LOGO Hiki ni kifaa kidogo sana ambacho waathirika wa ukimwi hutumia Muathirika wa ukimwi, hua hapaswi kutembea na kopo au pakiti nzima la dawa za ARVs Hivyo kwa safari fupi kama ya siku mbili hivi hutumia kifaa hiki kuweka dawa hizo kwakila kiboks🧵
best movie 🍿 to watch your self Thread 🧵 your best sex 2023 movies
Programming is creation; LOOK, let be a tweeter!, let tweet!, let people follows each other!,
I can't imagine sita shinda hi challenge 😳 Rts Likes
Mwigulu, kwa tafsiri ya kihehe ni Magulu yaani Miguu, Miguu katika mwili wa binadamu ni viungo vilivyo chini yaani kazi yake ni kukanyaga ardhi. Hivyo Miguu siyo kichwa kwani, katika kichwa kuna akili.
Hakuna matumaini yoyote kutoka @ccm_tanzania na @SuluhuSamia na @mwigulunchemba1 Hawana habari na masikini wa Nchi hii. Kitu pekee nikuwatoa madarakani CCM, otherwise Twendelee Kumuomba Baba Mungu awaite Mbinguni. Don't expect miracle from them.
Serikali nadhani haijua kuwa hatuhitaji ufafanuzi Bali tunataka hizi TOZO zifutwe tu. Pesa zetu zote mpaka zinafika bank tayari tumeshakatwa kodi nyingi. Lkn bado tena ukitoa wachukue nyingine. Badala ya kutoa ufafanuzi waje watuambie wamezifuta na tuishi maisha yetu
Utendaji kazi wa marais Hawa Retweet kwa Hichilema au like kwa Samia.
RETWEET Kwa Lunch yetu hii vs LIKE kwa huyu kijana
Kati ya mende na nikki wa pili yupi bora? Naimani hamtaniangusha, Retweet mende, like nikki wa pili
Magufuli alikuwa na mpungufu (hakuna mkamilifu Duniani) lakini suala ya Gharama za Maisha ya Wananchi alibalance sana. Hakukuwa na TOZO wala nini. Apumzike kwa Amani.😰
Taxation/tozo that hurt wananchi must end. We must voice our voices to return local problem solving and resource control to the grassroots people, this is the only way we can grow a viable economy and build a peaceful nation from the inside out. #SaveTanzania #TozoZimezidi
Imagine Mama Mzazi anafariki Ww ukiwa na Hali Mbaya kitandani,Wanao kuuguza wanaamua kuficha taarifa zA kifo Cha Mama yako Wakihofia Afya yako Zaidi..Lakini Baada ya siku 2 unafariki Bila kujua kuwa Mama yako tayari alitangulia Siku 2 za Nyuma.😓😓 R.I.P. Pdr. FRANK MNYEMA., 🛐
Jinsi ya kucomment kwa mjinga ni kumpuuza na ujinga wake.
Jinsi ya kutengeneza CHUKI kwa serikali 1.Andaa mjinga 2.Mwambie atukane serikali kila kukicha 3.Teka mjinga huyo 4.Wahamasishe wajinga wengine wakeshe mtandaoni kusema serikali inahusika 5.Tesa mjinga kisha mtupe porini 6.Andaa mwingine. The cycle continues #ChangeTanzania
Right kama mkeka ungekuwepo kipindi cha agano la kale, mpaka muda huu ningekuwa nshamlushia nabii Elia au Isaya😌
United States Trends
- 1. Sedition 181K posts
- 2. Cheney 89.4K posts
- 3. Lamelo 7,133 posts
- 4. Texans 21K posts
- 5. Seditious 98.8K posts
- 6. Constitution 118K posts
- 7. Coast Guard 24.7K posts
- 8. Commander in Chief 55.5K posts
- 9. Seager 1,318 posts
- 10. First Take 47.8K posts
- 11. TMNT 4,540 posts
- 12. UCMJ 10.4K posts
- 13. Jeanie 2,113 posts
- 14. Last Ronin 1,885 posts
- 15. Trump and Vance 37.6K posts
- 16. UNLAWFUL 80.7K posts
- 17. Cam Newton 4,735 posts
- 18. Mark Walter 1,562 posts
- 19. Shayy 15K posts
- 20. Dizzy 7,445 posts
You might like
Something went wrong.
Something went wrong.