JimmyMathayo1's profile picture. Mr.Stamp

Jimmy

@JimmyMathayo1

Mr.Stamp

Jimmy รีโพสต์แล้ว

Kabla ya kulala muhimu kukumbushana kuwa 👇🏽 UHAI NI MALI YA MUNGU PEKEEE 🚶🏾‍♂️👊🏾


Jimmy รีโพสต์แล้ว

💔

jaxis__'s tweet image. 💔

Jimmy รีโพสต์แล้ว

Nimemaliza kazi yangu ya maombi rasmi leo. Naondoa hema yangu. Over to you God. Strength forth your might hand so people can see your exceeding greatness and salvation such that they never seen. In Jesus name, I pray. Amen. Mungu awabariki sana.


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Mwandiko wa TAL huu!!!

CHAKWERA kutoka Jumuiya ya madola amechaguliwa kuja kuanzisha MARIDHIANO nchini kuanzia kesho 18 hadi tarehe 21. Huenda hajui kama anaotakiwa kurudhiana nao ni wakina SOKA, MZEE KIBAO, MDUDE na POLEPOLE. Hawa ndio wawakilishi wetu kwenye Maridhiano hayo. Kama ataongea na…

Sativa255's tweet image. CHAKWERA kutoka Jumuiya ya madola amechaguliwa kuja kuanzisha MARIDHIANO nchini kuanzia kesho 18 hadi tarehe 21. 

Huenda hajui kama anaotakiwa kurudhiana nao ni wakina SOKA, MZEE KIBAO, MDUDE na POLEPOLE. Hawa ndio wawakilishi wetu kwenye Maridhiano hayo.

Kama ataongea na…


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Tume ya uchunguzi wa vurugu. Mwisho wa kunukuu.


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Kwa nchi za watu wenye akili timamu huwezi leo ukawa Waziri/N. Waziri, kesho ukaapishwa Kuna kitu kinaitwa VETTING, Rais akishakuteua unaenda bungeni kuchekechwa elimu, uwezo, weledi, na uzoefu wako Hata mali zako lazima uzitolee ufafanuzi TZ hata Harmorapa anaweza kuwa Waziri


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Wachina suala la dress code ofisini sio kazi zao, mtu anaingia mzigoni kama anaenda beach yani fresh tu..Mbongo kazi ya sales juani anataka uvae na tai huku unauza mabeseni


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Tiktok wametuacha mbali sana Respect to habil anda kabil🙌🙏 Repost bila kuchoka ✌️


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Ninanusa kabisa nia ya watu kubadili katiba 🤭


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Kwa ukatili kama huu na mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza? Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza eti maendeleo ya nini? Kwaajili ya nani kama mmeua watanzania na kuwatesa hivi? Maji, umeme, Barabara au kitu chochote bila binadamu kuwepo vina maana gani?…


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Wiki nzima tangu niachiwe na polisi, nimekua nikidai Paspoti yangu ili nisafiri kwaajili ya kupata matibabu bila mafanikio. Hakuna sababu yoyote ya vyombo vya dola kuendelea kushikilia paspoti yangu. Nafanyiwa haya kwasababu ya msimamo wangu wa kisiasa, nimeona ni muhimu…


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

TOTTechs's tweet image. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Jimmy รีโพสต์แล้ว

Kumtetea ngumu sana😀


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Huyu mtoto alipigwa Risa's Arusha akiwa anatembea anaenda stationary, Mwili haujapatikana mpaka leo ila wamekuta viatu vyake vipo mochwari, Amemaliza Tengeru boys mwaka jana. #D9 #MsiogopeTutashinda

Twaha_Mwaipaya's tweet image. Huyu mtoto alipigwa Risa's Arusha akiwa anatembea anaenda stationary,  Mwili haujapatikana mpaka leo ila wamekuta viatu vyake vipo mochwari, Amemaliza Tengeru boys mwaka jana. #D9  #MsiogopeTutashinda

Jimmy รีโพสต์แล้ว

💨 Leo nimekutana na @TanzaniaOneJezi account yake soon itarudi hewani Anawasalimia sana wakuu✊

NjiwaFLow's tweet image. 💨 Leo nimekutana na @TanzaniaOneJezi account yake soon itarudi hewani

Anawasalimia sana wakuu✊

Jimmy รีโพสต์แล้ว

Anaekupa ujeuri aishi milele tu mzee!

Asante sana Baba Mtakatifu. Hiki ndo anachofanya Rais Samia Nchini Tanzania akihutubia ufunguzi wa Bunge la 13 ameahidi Msamaha, amesisitiza Amani na mshikamano ameahidi kuundwa Wizara ya Vijana na ametangaza utawala wake utaacha Tabasamu kwa wote. 🙏



Jimmy รีโพสต์แล้ว

Unavizia tumelala ndugu zako jamani mbona vibaya 😂😂 Nimetoka kuchungulia 50% hiyo imeshuka una 45% mpaka jioni vipenzi vyako tutahakikisha una 5% Hongera Familia 😊 Wakuu Lets Bring Tuzo Tundumaa 👇🏿

MiriamMkanaka's tweet image. Unavizia tumelala ndugu zako jamani mbona vibaya 😂😂

Nimetoka kuchungulia 50% hiyo imeshuka una 45% mpaka jioni vipenzi vyako tutahakikisha una 5% Hongera Familia 😊

Wakuu Lets Bring Tuzo Tundumaa 👇🏿
ทวีตนี้ไม่สามารถใช้งานได้อีกต่อไป

Jimmy รีโพสต์แล้ว

Sheikh wangu ni kweli kwamba uaribifu wa mali umekuuma kuliko uhai wa watu?

VIDEO: Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa…



Jimmy รีโพสต์แล้ว

LISSU AWASILISHA OMBI MAHAKAMA KUU, KESI YA RASILIMALI ZA CHAMA: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake dhidi ya Bodi ya…


Jimmy รีโพสต์แล้ว

Mkapa alinikamata mara moja. Kikwete alinikamata mara tatu. Magufuli alinikamata mara nane. Hii itakuwa mara ya pili kwa Samia kunikamata. Mara zote hizi sijawahi kutiwa hatiani & mahakama yoyote. Sijawahi kutenda kosa la jinai. Mimi ni mpigania Uhuru & Haki. Huo sio uhalifu!


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.