prossoff's profile picture. A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.

ProsperNow.

@prossoff

A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.

Pinned

Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.


Wanaume wengi kuna wanawake wangeweza kutufanyia kazi zetu kwa utimilifu, nidhamu na juhudi kwa sana. Tatizo ni kwamba tunawatomba na hapo ndio heshima inapotea. Inabaki mazoea kazini mwisho wa siku kushindwana.


Leo wamapiga zoezi la pamoja hapa Mpanda.


Nakereka kuona mtoto anaumwa halafu mama yake ndo analia mara kwa mara.


Binti wa single mother 80% anakuwa single mother.


Ndoa za sasa hazidumu kwasababu Mama wa mwanamke nae hakubahatika kuwa na ndoa. Hakuna mtoto wa single mom anaedumu katika ndoa.


Usioe mtoto wa single mother.


Incase machozi ya mwanamke wako ambae ana miss behave mara kwa mara ila ukiwasha moto anaanza kulia. Usitishwe na machozi yake, yaani.. These girls cry, Girls cry when they are happy Girls cry when they are mad Girls cry when they are scared All am tryna say is these girls…

Sema suala la mwanamke amekukosea then ukimwambia anaanza kulia au ananuna inabidi tena umuombe msamaha ni kitu huwa kinanipa hasira sana kmmmk😭😭😭😭



Morning reminder. Mwanamke mwenye thamani ya chini anapenda uhuru, clubing, ma pombe na standards za one night stand. Mwanamke mwenye thamani kubwa, anapenda amani, unyenyekevu, kuolewa na ibada. Mtoto wa kike akiwa desperate na raha raha ni the more anazidi kupotea.


Mi sijamaliza video yote ila uyo mtoto anaonekana msumbufu, mtundu na hamuheshimu uyo sister.

Angalia binti wa kazi alivyomfunga miguu mtoto



Bros, Single mothers wanakuwaga na traumas kibao pamoja na mood swing. Kuna muda mnaweza ku vibe halafu duddenly anabadilika na kukosa raha. Hata mnaweza piga mechi ila papo hapo akabadilika. Anaweza kukukalia kimya pengine hata kuwa anafoka hovyo. Mwisho kabisa. Haupo…


TAKE THIS BROS AND SISTERS. Mwanamke mjinga mjinga anaamini kabisa katika kuwekeza kwenye urembo kama namna ya kuvutia wanaume ili kupata huduma. Ndiomaana tunasema the more unahitajikuonekana mrembo, the more unajiona mbovu zaidi. Hii ndio sababu utakuta 1. Demu ameji cream…


Mwanaume hufai kuamini kwamba kumsaidia mwanamke mwenye shida ni njia nzuri ya kumfanya akupende. Like, hana ada unalipia ukihisi atakupenda au kwao wanaishi kwa tabu halafu unaamini ukianza kuwasaidia atakupenda, It is NOT. Atapenda sana huduma zako, atanyenyekea misaada yako…


Bro yuko vizuri.

My Cousin Na Mume Wake Walivyopeleka Tu Watoto Shule Za Mabasi Ya Njano , Kiliitwa Kikao Kimoja Matata .Mawifi Walikuja Kwenye Kikao Na Sare Za Kayumba Kuonyesha Msisitizo Kuwa Watoto Warudishwe Kayumba. Cousin Yangu Akapambana Nao Watoto Wamebaki English Medium Ila Ndoa Imeyeyaa



Maumivu ya machoo baada ya kuangalia moto wa mchomereaji kwa muda mrefu ni balaa sijaona.


Vijana msio na watoto. Katika kila mnalofanya, usi ji'commit kwa single mother Haijalishi ni mzuri kiasi gani. Haijalishi anajua mapenzi kiasi gani. Haijalishi ana elimu kiasi gani. Haijalishi ana fedha na kipato gani. Mwanaume anaanzisha familia sio kuendeleza familia ya…


Automatically huyu mwanamke ni bonge, hauna picha?

Bibi harusi kajibu na haya ndo majibu yake lakini Ninachoshangaa mwanzoni amesema Sababu haikuwa Gauni ila kadri anavyoendelea kuelezea unaona sababu ni Gauni enewei🤦‍♀️👇visa vya familia ya mume pia vimehusishwa🙌



Wana CCM waliokuwa ofisini na POLEPOLE na hili watalikalia kimya?


prossoff's tweet image.

Polepole aliwezaje kupiga spana zote zile akiwa ununio jamani 😕😕😕



Katika hii dunia, hakuna kitu utakianza kwa ushindi na kipendwe na jamii nzima. Kuna kundi litakupa imani. Halafu, kuna kundi litacheka na kukukatisha tamaa. Haya maisha ya *kuanza* huwa ni magumu lakini ikishaleta matokeo chanya ndipo watu watakuamini na kukupenda. Unapoanza…


Moja kwa moja MCHUMI kapoteza points. Hizo text zinaleta maana to why aombwe direct maana ndio pigo alizoleta. Big yupo sawa. Wacha tuone tena.

#TajiriLaKihaya @mchumimrembo Next Time ukiamua Kuleak DM … toa zote… USIFUTE WALA KUVUKA TEXT YOYOTE ILE. Hapa umenileta sasa kwenye uwanja wa nyumbani… I enjoy this… Yaani hii Ndio kazi yangu Mimi- kuhakikisha Msimbe hapati Furaha humu ndani…Twende kazi! Umemwaga mboga…

EsirEid's tweet image. #TajiriLaKihaya 

@mchumimrembo Next Time ukiamua Kuleak DM … toa zote…
USIFUTE WALA KUVUKA TEXT YOYOTE ILE.

Hapa umenileta sasa kwenye uwanja wa nyumbani… I enjoy this…
Yaani hii Ndio kazi yangu Mimi- kuhakikisha Msimbe hapati Furaha humu ndani…Twende kazi!

Umemwaga mboga…
EsirEid's tweet image. #TajiriLaKihaya 

@mchumimrembo Next Time ukiamua Kuleak DM … toa zote…
USIFUTE WALA KUVUKA TEXT YOYOTE ILE.

Hapa umenileta sasa kwenye uwanja wa nyumbani… I enjoy this…
Yaani hii Ndio kazi yangu Mimi- kuhakikisha Msimbe hapati Furaha humu ndani…Twende kazi!

Umemwaga mboga…
EsirEid's tweet image. #TajiriLaKihaya 

@mchumimrembo Next Time ukiamua Kuleak DM … toa zote…
USIFUTE WALA KUVUKA TEXT YOYOTE ILE.

Hapa umenileta sasa kwenye uwanja wa nyumbani… I enjoy this…
Yaani hii Ndio kazi yangu Mimi- kuhakikisha Msimbe hapati Furaha humu ndani…Twende kazi!

Umemwaga mboga…


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.