Just98889Daniel's profile picture.

Daniel Justus

@Just98889Daniel

Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 86 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Insp Kaaya Cross-examination Mhe. Lissu: Mimi ndio nakuuliza Maswali au wewe? Haya unafahamu katika kesi ya Mtikila kupinga kifungu cha Katiba kinachozuia wagombea binafsi kilikubaliana na hoja zake na kifungu…


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 10, 2025 Jana tuliishia Part 84 so leo tunaendelea na Part 85 Mhe. Lissu ameingia, Majaji wote watatu wameingia. Leo humu ndani wameweka Ma TV mengi sana. Sijui ndio wanataka kucheza hizo video lipo lingine la kama inch 70 huko lipo…


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 82 John Kaaya: Pia aliposema Mahakamani hakuendeki ila Mahakama ni chombo cha kutoa haki na kutoa maamuzi ya mambo mbalimbali yanayobishaniwa. Hivyo anavyojulisha umma kwamba hakuendeki ni kutoa taarifa ya uongo kwa umma na kuitishia serikali 😂…


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 81 Mahakama imeanza muda huu. Majaji wameingia. Mheshimiwa Lissu alivyoingia kabla ya Majaji amewaambia Mawakili anzeni kuandaa submission ya No Case to Answer maana hakuna kitu hapa. Mawakili wa Serikali wanacheka. Anasema Jaji Ndunguru…


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 79 Wakili wa Serikali Job Mrema anaendelea kumuongoza Mzee wa Doria Mitandaoni kujibu maswali. Je unajua utaratibu wa kusajili mtandao wa YouTube? Mzee wa Doria Mitandaoni: Ndio mtumiaji unapaswa kuwa umeandaa taarifa zako binafsi kama Username,…


Daniel Justus أعاد

Kiboko ya Mashahidi wa mchongo. Show love kwa mshua. #FreeTunduLissu Repost 200 #TUTAKUWEPO🫵😎


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 71 Mhe. Lissu : Jaji Themistocles Kaijage, Jaji lubuva hao wote walikuwa wenyeviti wa tume ya Uchaguzi? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Lissu: Na waliteuliwa na Rais? George: Ni sahihi. Mhe. Lissu : Je kuhusu Jaji Nyalali na Jaji Kisanga…


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 8, 2025 Jana tuliishia Part 64 so leo tunaendelea na Part 65 Mhe. Lissu ameshaletwa hapa. Amepiga Kombati ya Kaki ya CHADEMA. Shahidi nae amaingia amevaa shati la kanisani kabisa lina maua maua. Utafikiri amekuja kuongea ukweli…


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 52 Anaendelea George Bagyemu Kwa maana atahamasisha uasi, atakinukisha na kuzuia uchaguzi. Nia yake aliidhihirisha pale alipochapisha taarifa hizi. Watu wanacheka 😂 Nadhani kila mtu anajiuliza Lissu alichapisha lini? 😂😂 Eniwei tuendelee…


Daniel Justus أعاد

REPOST 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BILA SABABUUUUU

KitabuchaBaba's tweet image. REPOST 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
BILA SABABUUUUU
KitabuchaBaba's tweet image. REPOST 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
BILA SABABUUUUU
KitabuchaBaba's tweet image. REPOST 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
BILA SABABUUUUU
KitabuchaBaba's tweet image. REPOST 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
BILA SABABUUUUU

Daniel Justus أعاد

Kumbe inawezekana wazee, tuifanyie mchakato account YANGU ya @MfalmewaX iliripotiwa na wapiga punyeto 😂😂

Naomba Repost 500 kabla Tafrija Haijaanza. 😂😂🔥🔥🔥

Thereal_taivina's tweet image. Naomba Repost 500 kabla Tafrija Haijaanza. 😂😂🔥🔥🔥


Daniel Justus أعاد

Help my research

fbuyobe's tweet image. Help my research

Daniel Justus أعاد

Good morning, Hustlers 🙏 🌄

Cargo_1911's tweet image. Good morning, Hustlers 🙏 🌄

Daniel Justus أعاد

Mshua master.💪🏻❤️

HildaNewton21's tweet image. Mshua master.💪🏻❤️

Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 11 Anaendelea Mhe. Lissu Walinipa uamuzi wa kesi ya Ishengoma na wenzake sita. Kesi ya Mahakama ya Rufani hiyo Kesi ya Donatus Ishengoma ukurasa wa 15 umecite kesi ya Mbogo niliyoitaja hapo awali. Anasoma hiyo kesi hapa ilichosema. Maelezo…


Daniel Justus أعاد

Manbo ya BUSARA waachie “TFF”. Naomba REPOST 500 #FreeTunduLissu #LissuSiMhaini #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Sativa255's tweet image. Manbo ya BUSARA waachie “TFF”.

Naomba REPOST 500

#FreeTunduLissu 
#LissuSiMhaini 

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Daniel Justus أعاد

Kwanini EFM wamefuta video hii? Uchambuzi mzuri kama huu kwanini unafutwa? Haya muda wa kuisambaza hii video kwa speed umefika. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎


Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 4 Anaendelea Wakili wa Serikali Mrema Upande wa Jamhuri tulikuwa tunajiuliza jambo moja DPP yeye ameshajiridhisha kwa mujibu wa taratibu zake kwamba nyaraka hizi zinafaa ndio kaziwasilisha. Sasa hatuoni kama ilikuwa ni busara kama nyaraka…


Daniel Justus أعاد

Free this man, let him meet his family.

Oktoba29's tweet image. Free this man, let him meet his family.

Daniel Justus أعاد

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 13 Anaendelea Mhe. Lissu Hiyo sheria inayotumika kuficha mashahidi haijawahi kuwa kwenye website ya Bunge ni sheria ambayo haijulikani kabisa. Huyu Katuga anasimama anaongea takataka kwamba nisiongee kuhusu mashahidi kufichwa kwasababu sheria…


United States الاتجاهات

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.