#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 138 Mhe. Tundu Antipas Lissu akiwa anaendelea kumsomea Shahidi maelezo yake. Anasema naomba tuelezane yafuatayo. Majaji watatu ambao ni Dunstan Ndunguru-Mwenyekiti wa jopo. James Karayemaha – Jaji mjumbe wa jopo. Ferdinand Kiwonde – Jaji…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 125 Kwahiyo kwa kumalizia hoja hiyo ni kwamba shahidi huyu hana Competence ya kutoa hii nyaraka hapa Mahakamani. Sababu ya nne ni Chain of custody. Msingi wa hoja hii ni kesi maarufu ya Paulo Maduka na Wenzake 4 vs R Criminal Appeal No. 110…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 112 Anaendelea Wakili wa Serikali Thawabu Issa Hii Meta Data ni nini hasa? Meta Data ni Data about Data. Yaani picha mjongeo ni Data ndani ya Picha mjongeo kuna Data nyingine ambazo ni taarifa. Hzio taarifa zinaweza kuwa tarehe, jina na…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 16, 2025 Jana tuliishia part 105 so leo tunaendelea na-; Part 106 Muda huu ni saa tatu asubuhi. Tumefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Hali ya Mahakama ni nzuri. Tunawashuhudia Waandishi wakichukua picha…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 105 Mhe. Lissu: Kwahiyo wewe hufahamu mtu anayeteua Mawaziri nchi hii wewe humfahamu? Kaaya: Mawaziri wanateuliwa na Rais. Mhe. Lissu: Kwahiyo Mohamed Mchengerwa ni mteule wa Rais Samia? Huyo ni waziri wa TAMISEMI. Kaaya: Ni kweli. Mhe.…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 104 Mhe. Lissu: Sasa waeleze majaji kuwa serikali haihusiki chochote na uchaguzi na uchaguzi uko chini ya Tume huru? Kaaya: Hapo ni kweli serikali haihusiki ni tume ndio inahusika. Mhe. Lissu: Sasa naambiwa nilitengeneza nia ya kuhamasisha…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 15, 2025. Last time tuliishia part 101 so leo tunaendelea na Part 102 Leo Tarehe 15/10/2025. Mheshimiwa Tundu Lissu ameingia Mahakamani. Amesimama Kizimbani anauliza Polepole amepatikana na Mama anasemaje si Balozi wake? Majaji…
Mda huu katibu wetu jimbo la Kyerwa Baziri Waziri amechukuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa polisi akiwa kazini kwake. Amechukuliwa kwa namna ya utekaji. Juzi alichukuliwa Mwenyekiti wetu wa Bukoba mjini na viongozi wengine watano.. Huyu ni kiongozi wa sita kuchukuliwa.…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 100 Mhe. Lissu: Sasa hayo maneno yalisemwa mbele ya watu wote hao watia nia na viongozi wengine. Kaaya: Sijui kama walisikia wote Mhe. Lissu: unafahamu kuna kosa linaitwa mispresion of treason yaani kupata taarifa za kigaidi na usizitoe polisi…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 99 Mhe. Lissu: Waeleleze majaji kama kwenye hiyo kesi ya Kisutu umeandika maelezo ya shahidi na waeleze kama ni kweli au si kweli ulikwisha ma kutoa ushahidi tarehe 16/06/2025. Anasimama Job Mrema anasema Mh. Jaji hili jambo lilishakatazwa…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 93 Mhe. Lissu: Ulienda kumuona saa nne na ulipomaliza ni saa nne hiyo hiyo? Sasa uliwezaje? Kaaya: Lisaa lina dakika 60 kwahiyo kwenye hiyo mida ya saa nne ndio nilimaliza hayo yote. Mhe. Lissu: Ulipofika kwa SSP George ulimueleza ulichoona…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 91. Mhe. Lissu: waeleze majaji kama hicho cheo cha special seargent kipo kwenye vyeo vya Police hapa Tanzania. Kaaya: Nilisema nimehudhuria mafunzo ya Special seargent na sio cheo cha special Sergeant. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji someni…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 86 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Insp Kaaya Cross-examination Mhe. Lissu: Mimi ndio nakuuliza Maswali au wewe? Haya unafahamu katika kesi ya Mtikila kupinga kifungu cha Katiba kinachozuia wagombea binafsi kilikubaliana na hoja zake na kifungu…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 10, 2025 Jana tuliishia Part 84 so leo tunaendelea na Part 85 Mhe. Lissu ameingia, Majaji wote watatu wameingia. Leo humu ndani wameweka Ma TV mengi sana. Sijui ndio wanataka kucheza hizo video lipo lingine la kama inch 70 huko lipo…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 82 John Kaaya: Pia aliposema Mahakamani hakuendeki ila Mahakama ni chombo cha kutoa haki na kutoa maamuzi ya mambo mbalimbali yanayobishaniwa. Hivyo anavyojulisha umma kwamba hakuendeki ni kutoa taarifa ya uongo kwa umma na kuitishia serikali 😂…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 81 Mahakama imeanza muda huu. Majaji wameingia. Mheshimiwa Lissu alivyoingia kabla ya Majaji amewaambia Mawakili anzeni kuandaa submission ya No Case to Answer maana hakuna kitu hapa. Mawakili wa Serikali wanacheka. Anasema Jaji Ndunguru…
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 79 Wakili wa Serikali Job Mrema anaendelea kumuongoza Mzee wa Doria Mitandaoni kujibu maswali. Je unajua utaratibu wa kusajili mtandao wa YouTube? Mzee wa Doria Mitandaoni: Ndio mtumiaji unapaswa kuwa umeandaa taarifa zako binafsi kama Username,…
United States Trends
- 1. Jokic 19.7K posts
- 2. Lakers 53.9K posts
- 3. #AEWDynamite 47.7K posts
- 4. Epstein 1.56M posts
- 5. Nemec 2,562 posts
- 6. Clippers 12.5K posts
- 7. Shai 15.6K posts
- 8. #NJDevils 2,919 posts
- 9. Thunder 41.1K posts
- 10. #Blackhawks 1,571 posts
- 11. Markstrom 1,064 posts
- 12. Nemo 8,391 posts
- 13. Sam Lafferty N/A
- 14. #AEWBloodAndGuts 5,744 posts
- 15. #Survivor49 3,836 posts
- 16. Steph 27.5K posts
- 17. Kyle O'Reilly 2,098 posts
- 18. Darby 5,613 posts
- 19. Spencer Knight N/A
- 20. Rory 7,466 posts
Something went wrong.
Something went wrong.