You might like
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt.John Pombe Magufuli wa CCM kuwa Mshindi wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu mwenye kura 1,933,271, Mama Samia Suluhu ametangazwa kuwa Makamu wa Rais. #MillardAyo2020
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
“Tumetoa Tuzo hii kwako kama Rais wa karne aliyetoa mchango mkubwa kwenye Madini, wachimbaji hawatokusahau na watakuandika kwa wino wa dhahabu na Tanzanite, chini yako akina Laizer watakuwa wengi, tunafikiria siku moja tuwe na Dini linaloitwa John Joseph Pombe Magufuli"-FEMATA
Shirika la Ndege la Singapore (SIA) limezibadilisha kuwa Migahawa Ndege zake mbili zilizopaki tu Changi Aiport ikiwa ni njia ya kupunguza hasara zilizosababishwa na corona, siti zote zimeuzwa baada ya tangazo hilo kutangazwa jana kwa bei ya USD 475 (Tsh. Mil 1.1) kwa Mtu mmoja.
FOR YOU GRAMMY CONSIDERATION Kwa heshima kubwa msanii wenu nimependekezwa kuwania kwenye TUZO ZA GRAMMY kwenye kipengele cha THE BEST NEW ARTIST . Hivyo basi kama wewe ni mmoja kati ya wanaoweza kupiga kura kama VOTING ACADEMY MEMBER basi nakuomba unipigie kura
“Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira, miaka mitano inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote, kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa vijana”-JPM #MillardAyo2020
Nawashukuru wote mlionitumia salamu na kunitakia heri kwa kufikisha umri wa miaka 70. Nimeelemewa na upendo wenu mkubwa mlionionyesha. Nawapenda sana.
#UNAAMBIWA:Maci Currin mwenye umri wa miaka 17 kutoka Austin, Texas ndiye anashikilia rekodi ya Dunia ya Guinness ya Mtu mwenye miguu mirefu zaidi Duniani, Maci ana miguu yenye urefu wa Futi 4 na Inch 5 huku urefu wa mwili wake mzima ukiwa ni Futi 6 na Inch 10 “nataka kuwa Model”
#UNAAMBIWA: Mfanyabiashara tajiri Adam Deering (39) wa U.K, amepewa jina la Baba wa Motivational Speakers baada ya kusaka pesa kwa nguvu na kuamua kulinunua jengo la Benki ambayo ilimnyima mkopo wakati akipambania maisha miaka 18 iliyopita “Vijana msikate tamaa yote yanawezekana”
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” -JPM akiwa Zanzibar #MillardAyo2020
Panya wa kiume kutoka Tanzania, Magawa ametunukiwa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini Cambodia, Magawa alizaliwa Tanzania Nov 5,2014 akiwa na uzani wa KG 1.2 na urefu wa Sentimita 70 “amenusa mabomu 39 na silaha 28” #MillardAyoUPDATES
Magawa- Panya kutoka Tanzania ashinda medali ya dhahabu kwa kazi za kunusa na kubaini mabomu ya kutegwa ardhini
Kwa unyenyekevu mkubwa, Leo nimechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge jimbo la kigamboni. Kama mlivyokuwa nami katika SALA na DUA siku zote za utumishi wangu, Naomba muendelee kuniombea ili mapenzi ya Mwenyezi Mungu yatimizwe.
Nimesikitishwa na kifo cha Mzee wetu Balozi (Mst) Job Lusinde. Nawapa pole Familia, wana Dodoma na Watanzania. Nitaukumbuka mchango wake mkubwa kwa Taifa akiwa Waziri, Balozi, Mdhamini wa CCM na Kiongozi wa Wazee wa Dodoma. Pumzika salama Mtani wangu, kazi kubwa umeifanya vizuri.
Nakupongeza Ndg. Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi. Wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwako. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano mzuri kati yetu. Nawatakia Warundi wote amani na ujenzi bora wa Taifa lenu.
Nakumbuka kuna muda baba kwenye ajira yake palitokea tatizo, ilifika time akawa nyumbani na sisi tulitaka kusoma na mama alitaka huduma ila mama alielewa na kupitia kazi yake ya mama lishe aliendelea kulipa huduma za familia mpaka baba aliporudi stable. Hii sio kauli👇 kabisa.
Goli la @Samagoal77_ vs Liverpool pale Anfield limechaguliwa kuwa goli bora la mwaka kwa klabu yake ya zamani ya @KRCGenkofficial #HongeraSamagoal #Samaheader
United States Trends
- 1. Good Friday N/A
- 2. #KawasakiHeavenlyWord N/A
- 3. Lakers N/A
- 4. Luka N/A
- 5. Ari Lennox N/A
- 6. Clippers N/A
- 7. #TheTraitorsUS N/A
- 8. Jim Jones N/A
- 9. Autopilot N/A
- 10. Kawhi N/A
- 11. Maki N/A
- 12. Colton N/A
- 13. #VolunteerLife N/A
- 14. #PetLove N/A
- 15. jihyo N/A
- 16. Ted Nugent N/A
- 17. Vando N/A
- 18. Progress u003e N/A
- 19. #CommunityLove N/A
- 20. Toji N/A
Something went wrong.
Something went wrong.