LelloFrank's profile picture. Basketballer . Barcelona & Manutd fans

Lello Frank

@LelloFrank

Basketballer . Barcelona & Manutd fans

You might like
Lello Frank reposted

Mjomba unazijua gharama za underground road lakini, au haujafanya tafiti kujua gharama za kujenga underground tunnel mita 100 tu?


Lello Frank reposted

LIVE: Haji Manara anazungumza na Waandishi wa Habari


Lello Frank reposted

INTARAHAMWE wana mbinu za kikomando kama washtakiwa


Lello Frank reposted

Chadema ni Chama ambacho wanachama wake wamepitia na bado wanapitia mengi Sana, ukiona mwanachadema aliyekunywa damu ya Chadema kwelikweli (haki na demokrasia ya Kweli), huwa haogopi kitu. Tuwaombee wanapitia mengi Sana...kwa ajili ya nchi hii...nao ni binadamu sio malaika.


Lello Frank reposted

Hii watatema tu ndoano


Lello Frank reposted

Are the Rally photoshopers paid, because ! YIKES


Lello Frank reposted

😁😁😁😁


Lello Frank reposted

😂


Lello Frank reposted

mzee wa korosho huyo


Lello Frank reposted

@tanpol Mambosasa shut up you mouth! Watu wamekufa na mnatumiana hizi meseji unasema watu wameumia!? Hivi wewe mzee mbona mshenzi hivi wewe? Unaleta uchawi wako hapa unadhani uko kwenu Sumbawanga ? Hovyo kabisa

kigogo2014's tweet image. @tanpol Mambosasa shut up you mouth! Watu wamekufa na mnatumiana hizi meseji unasema watu wameumia!? Hivi wewe mzee mbona mshenzi hivi wewe? Unaleta uchawi wako hapa unadhani uko kwenu  Sumbawanga ? Hovyo  kabisa
kigogo2014's tweet image. @tanpol Mambosasa shut up you mouth! Watu wamekufa na mnatumiana hizi meseji unasema watu wameumia!? Hivi wewe mzee mbona mshenzi hivi wewe? Unaleta uchawi wako hapa unadhani uko kwenu  Sumbawanga ? Hovyo  kabisa

Lello Frank reposted

Uhuni wa JK na wenzake 2015 ndiyo chanzo


Lello Frank reposted

Khee kwani kwa mzee Mwinyi kuna nini mnamjazia wanajeshi hivoooo! 😰

kigogo2014's tweet image. Khee kwani kwa mzee Mwinyi kuna nini mnamjazia wanajeshi hivoooo! 😰

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.