Matojo M. Kosatta
@MMatojo
Tanzanian
You might like
The only and one human being in this world who can interpret this photo with arithmetic precision is a Luo Lady, Maverick Aoko.
NEW PROVERB AND LEGAL MAXIM. "JurisPesa knows no law but JurisPesa knows money and only money". IN LATIN: JurisPesa nullam legem novit, sed JurisPesa pecuniam novit, et solam pecuniam. @ahmednasirlaw, I have just invented a new proverb and legal maxim. CC: @NelsonHavi
Balozi Polepole anaongea muda huu wahi kabla mkata switch hajafanya yake. youtube.com/live/PpB4852yH… @HildaNewton21 @TitoMagoti wahi seat mapema
youtube.com
YouTube
🔴LIVE: Humphrey Polepole Akizungumza Mazito Mustakabali wa Siasa...
TANGAZO Leo hakikisha simu zenu za smartphone zina; (1) Chaji kwa 100% (2) Bando la intaneti (3) VPN Balozi Polepole atahutubia Taifa leo kuanzia saa 2:00 kamili usiku kwa kuweka wazi mambo ambayo haujawahi kuyasikia. By Mr. Mtu Aliyehamasika Kukinukisha.
Mimi ni Mfanyabiashara ya kuuza nguo Kariakoo, nimeoa na nina mke na watoto, nilisikia Mhe. Lissu anasema atakinukisha nikashawishika na kumuacha mke wangu na kutelekeza watoto wangu na kuoa Mchepuko 🤣🤣🤣 @TitoMagoti
Hon. Lissu's Statement from the Dock in Republic Vs Tundu Lissu Case. One of the interesting parts of this Statement from the Dock: "May the Lord place Job Yustino Ndugai where he deserves to be" @MariaSTsehai @rose_mayemba @HildaNewton21
Chauma ni sawa na Kibenteni au Serengeti Boy aliyezaliwa mwaka 2014 anayelelewa na Jimama ambalo lilizaliwa mwaka 1954 lakini linajifanya limezaliwa mwaka 1977 lionekane lina umri mdogo.
Umati mkubwa sana wa Wananchi ukisikiliza Hotuba za Viongozi wa Chauma katika Mkutano wa Hadhara wa Chauma Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha.
Wakili Matojo alikuwepo Mahakamani hapo Kisutu kwenye kesi ya Jamhuri Vs Lissu na jina lake ndo la mwisho kwenye Orodha ya Mawakili wa Mhe. Lissu kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama @SShikilie77551
@MMatojo na @TitoMagoti ni kati ya mawakili wa @TunduALissu , hawapo na wana ruhusa . Unatakiwa kuwaweka ktk orodha ya Mawikili ambao wahajafika Mahakamani kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Kiongozi @MpaleMpoki 🙂
Mrema umejielekeza vibaya mno, Ibara ya 74 (12) ya Katiba ilitafsiriwa na Mahakama ya Rufaa mwaka 1995 katika kesi ya Attorney General Vs Dr. Kabourou, Civil Appeal No. 32 & 42 of 1994 kuwa ni ruksa kuishtaki Tume ya Uchaguzi kwa njia ya Mapitio ya Kimahakama (judicial Review)
Nasikitika kuwa kuna Mawakili ambao wanashauri kuwa tunaweza kwenda Mahakamani kudai haki ya kushiriki uchaguzi baada ya kutokusaini kanuni za maadili, hawajasoma kifungu hiki cha Katiba ? Kwamba Tume haihojiwi au ndio wanaendelea kutufanganya kuwa kuna option ? Wanaharakati wa…
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe (unaji contradict) kwa kuunga mkono uchunguzi unafanywa na chama halafu hapo hapo unataka chama kulaani tukio ambalo chama kinalifanyia uchunguzi. Je chama kinawezaje kulaani tukio kabla ya Uchaguzi kukamilika na kujua ukweli?
Tukio alilofanyiwa Mwenezi wa Bawacha Taifa Mwanasheria Sigrada Mligo siyo la kiuungwana wala kibinadamu. Kitendo cha chama kukaa kimya na leo ndio wanakuja na barua badala ya kukemea wahuni waliompiga Sigrada na kuwachukulia hatua wanasema wanachunguza kama ni kweli, sina neno…
Yericko Nyerere ameni block baada ya kutaja majina ya watu aliowaibia kazi zao na kuziweka kwenye vitabu vyake. Sasa Yericko sio mwenzetu maana sio muumini wa haki ya kujieleza
Uwezekano wa kujibu ni chini ya asilimia 0.01% 🤣🤣🤣
Suti ya Kijivu ina baraka za Wazee wa Mbeya.
Na juzi kwenye ushindi wa Lissu niliivaa ile suti wakati naenda mahakamani na Lissu akashinda. Ile Suti ina baraka.
Na juzi kwenye ushindi wa Lissu niliivaa ile suti wakati naenda mahakamani na Lissu akashinda. Ile Suti ina baraka.
United States Trends
- 1. Rickea N/A
- 2. #Toonami N/A
- 3. Duke N/A
- 4. #Olandriax15PercentPledgeGala N/A
- 5. #TokyoRevengers N/A
- 6. #JAPANEXPOTHAILAND2026 N/A
- 7. James Pearce N/A
- 8. Super Bowl Sunday N/A
- 9. Travis Scott N/A
- 10. Falcons N/A
- 11. #BlueLock N/A
- 12. Fears N/A
- 13. Annie N/A
- 14. Robot N/A
- 15. Jake Paul N/A
- 16. Izzo N/A
- 17. Kentucky N/A
- 18. GM CT N/A
- 19. Happy Birthday Natalie N/A
- 20. Houston N/A
Something went wrong.
Something went wrong.