MatthewJacobJr1's profile picture.

Matthew Jacob Jr

@MatthewJacobJr1

Hahaha huyo noma

Kuna Watu Wana Majina Jamani Daaah!!🙌🏻🙌🏻 Niliwahi Kusoma Advance Na Mwamba Anaitwa "MASING'OTI MAKENGEZA MBUNYE" Sijui Yuko Wapi Yule Jamaa Aisee



Ayo

Kipengele cha ‘Muandaaji Maudhui wa Mwaka’ wa Kidigiti kinawaniwa na; @millardayo @jaliluzaid @masoudkipanya @JotiOfficial na Fredrick Bundala. Kura yako inakwenda kwa nani?Tembelea digitalawards.co.tz kupiga kura. #DigitalAwardsTZ #ContentCreator #Tanzania

DigitalAwardsTZ's tweet image. Kipengele cha ‘Muandaaji Maudhui wa Mwaka’ wa Kidigiti kinawaniwa na;
@millardayo 
@jaliluzaid 
@masoudkipanya 
@JotiOfficial na
Fredrick Bundala.

Kura yako inakwenda kwa nani?Tembelea digitalawards.co.tz kupiga kura. 

#DigitalAwardsTZ #ContentCreator #Tanzania


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.