MatukioDaimaTv's profile picture. Tufuatilie Kwenye Mitandao Mingine
YouTube https://youtube.com/@matukiodaimatv2?si=gTKVezIPOuAH1f4d

Instagram @matukiodaimatv

Tiktok @matukiodaimatv

Matukio2025

@MatukioDaimaTv

Tufuatilie Kwenye Mitandao Mingine YouTube https://youtube.com/@matukiodaimatv2?si=gTKVezIPOuAH1f4d Instagram @matukiodaimatv Tiktok @matukiodaimatv

Mjumbe wa kamati ya utekelezaji wazazi CCM Mkoa wa Iringa Stella Raphael Mwanjisi akiwa amepiga magoti kuomba kura Oktoba 29 za Rais Dkt Samia mbunge wa Mafinga mjini na madiwani wa CCM,Mwanjisi ameomba kura leo kwenye kikao chake na wajumbe Kata ya Upendo Mafinga.

MatukioDaimaTv's tweet image. Mjumbe wa kamati ya utekelezaji wazazi CCM Mkoa wa Iringa Stella Raphael Mwanjisi akiwa amepiga magoti kuomba kura Oktoba 29 za Rais Dkt Samia  mbunge wa Mafinga mjini na madiwani wa CCM,Mwanjisi ameomba kura leo kwenye kikao chake na wajumbe Kata ya Upendo Mafinga.

Mwenyekiti wa wazazi wilaya ya Iringa mjini Shadrack Masanika (wa pili kushoto) akiwa na wana CCM wengine kusaka kura za Dkt Samia, Mbunge na madiwani leo baada ya kumaliza mkutano wa kampeni kata ya Iringa wa pili kulia ni mgombea ubunge Iringa mjini Fadhil Ngajilo

MatukioDaimaTv's tweet image. Mwenyekiti wa wazazi wilaya ya Iringa mjini Shadrack Masanika (wa pili kushoto) akiwa na wana CCM wengine kusaka kura za Dkt Samia, Mbunge na madiwani leo baada ya kumaliza mkutano wa kampeni kata ya Iringa  wa pili kulia ni mgombea ubunge Iringa mjini Fadhil Ngajilo

Mwenyekiti wa wazazi CCM wilaya ya Iringa mjini Shadrack Masanika (mwenye kofia kushoto) akiongozana na wana CCM na Mgombea ubunge Iringa mjini Fadhil Ngajilo wa pili kulia kusaka kura za CCM wakati wakitoka kwenye kampeni kata ya Ilala leo.

MatukioDaimaTv's tweet image. Mwenyekiti wa wazazi CCM wilaya ya Iringa mjini Shadrack Masanika (mwenye kofia kushoto) akiongozana na wana CCM na Mgombea ubunge Iringa mjini Fadhil Ngajilo wa pili kulia kusaka kura za CCM wakati wakitoka kwenye kampeni kata ya Ilala leo.

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.