MichongoTu's profile picture. Backup Account ya @Kamigakikumbise

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ

@MichongoTu

Backup Account ya @Kamigakikumbise

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Mwangaza Wa Siku.โ›… Nao watakaa humo salama; naam, watajenga nyumba, na kupanda mashamba ya mizabibu, na kukaa salama; nitakapokuwa nimetekeleza hukumu zangu juu ya watu wote, wanaowatenda mambo ya jeuri pande zote; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao. "EZEK 28:26"

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Kisha Mwenyezi-Mungu akatuambia sisi sote, โ€˜Hao watoto wenu mnaoogopa kwamba watakuwa nyara za adui zenu, naam hao walio wadogo ambao hawajui bado kupambanua kati ya mema na mabaya, hao ndio watakaoingia huko, nami nitawapa wao nchi hiyo iwe yao. (Kumbu 1:39|BHN

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

"Angalieni msikialo; kipimo kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa, na tena mtazidishiwa. Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangโ€™anywa." (Mk. 4:21-25)

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Kumcha Mungu kunatufanya tujuwe thamani halisi ya maisha yetu kunatupa sababu ya kuishi na ujasiri wa kukabiliana na kila jambo tunalokutana nalo ktk hii dunia bila woga Tumche Mungu ndugu zangu Na iwe J2 njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE โค๏ธโค๏ธโค๏ธ

Eagleseye02's tweet image. Kumcha Mungu kunatufanya tujuwe thamani halisi ya maisha yetu kunatupa sababu ya kuishi na ujasiri wa kukabiliana na kila jambo  tunalokutana nalo ktk hii dunia bila woga Tumche Mungu ndugu zangu Na iwe J2 njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE โค๏ธโค๏ธโค๏ธ

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

story time: Kuna daktari mmoja alikuwa anasoma SUA(Vet), jina lake ni Frank. Kwa mujibu wa wanawake waliomuona live au kwenye picha wanasema ni bonge la handsome. mimi kwangu alikuwa ni mshikaji sana, mcheshi na mtoa support kwa wana. Frank alikulia mazingira ya kishua flani.

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Mungu ni mwema Account yangu imerejea salama. Asanteni sana nyote. ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿค๐Ÿพ๐Ÿค๐Ÿพ

Napenda sana kuwashukuru nyote mliokuwa nami katika Account hii kwa muda. Mungu ni mwema AC yangu imerudi. Turudi sasa nyumbani tuendeleze gurudumu @Kamigakikumbise ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿค๐Ÿพ๐Ÿค๐Ÿพ๐Ÿค๐Ÿพ

Habari, Account yangu ya @Kamigakikumbise imekuwa Temporary Restricted. Sasa hivi natumia hii kwa muda hadi mambo yatakapotengamaa. Tafadhali nifollow. @Eric_Bernard94 @gracemella95

MichongoTu's tweet image. Habari, Account yangu ya @Kamigakikumbise imekuwa Temporary Restricted. Sasa hivi natumia hii kwa muda hadi mambo yatakapotengamaa.
Tafadhali nifollow.

@Eric_Bernard94 @gracemella95

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

๐Ÿ’™.... ๐Ÿ‘  : instagram.com/hikas_shoes #hikasshoes

iamthatfemale's tweet image. ๐Ÿ’™....

๐Ÿ‘  : instagram.com/hikas_shoes 

#hikasshoes
iamthatfemale's tweet image. ๐Ÿ’™....

๐Ÿ‘  : instagram.com/hikas_shoes 

#hikasshoes

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

๐Ÿ˜ƒโšฝ๏ธ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hello our Tanzanian friends! ๐Ÿ‘‹๐Ÿฟ ๐Ÿ’›๐Ÿ’™

Fenerbahce_EN's tweet image. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hello our Tanzanian friends! ๐Ÿ‘‹๐Ÿฟ ๐Ÿ’›๐Ÿ’™

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Natamani siku nipate japo nafasi wasafi Fm niwe nachambua sheria mbili tatu ambazo ni muhimu kwa Maisha yetu ya kila siku๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š @Kimkayndo

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hello our Tanzanian friends! ๐Ÿ‘‹๐Ÿฟ ๐Ÿ’›๐Ÿ’™

Fenerbahce_EN's tweet image. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hello our Tanzanian friends! ๐Ÿ‘‹๐Ÿฟ ๐Ÿ’›๐Ÿ’™

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda. Mithali 9:8

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Mithali 8:17

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Atafutaye mema kwa bidii hutafuta fadhili; Atafutaye madhara, hayo yatamjia. Mithali 11:27

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Ramani ya vituo vya ufundi (Technical centers) vya Shirikisho la soka nchini TFF vikavyojengwa Kigamboni na Tanga Mradi TFF na Kampuni ya Group Six International utakao gharimu bilion 9

yose_hoza's tweet image. Ramani ya vituo vya ufundi (Technical centers) vya Shirikisho la soka nchini TFF vikavyojengwa Kigamboni na Tanga

Mradi TFF na Kampuni ya Group Six International utakao gharimu bilion 9

Home Mwanza Jioni njema ๐Ÿ™ ๐Ÿ™

DuniaSlaveDunia's tweet image. Home Mwanza 

Jioni njema ๐Ÿ™ ๐Ÿ™

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Mkadi hutumika kutengeneza mikeka na Makuti , Mmea huu umesaidia watu wengi wa pwani kujipatia kipato na wenyewe wanakwambia mizizi yake michanga na majani ni tiba . #OkoaMimeaYaAsili

VwalaViola's tweet image. Mkadi hutumika kutengeneza mikeka na Makuti , Mmea huu umesaidia watu wengi wa pwani kujipatia kipato na wenyewe wanakwambia mizizi yake michanga na majani ni tiba . #OkoaMimeaYaAsili

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Ruwaza ya #ElimikaWikiendi | MAKUZI YA LUGHA ni mujarabu sana. Tukutane kesho katika saa 3 za nguvu za Waswahili.

ElimikaWikiendi's tweet image. Ruwaza ya #ElimikaWikiendi | MAKUZI YA LUGHA ni mujarabu sana. Tukutane kesho katika saa 3 za nguvu za Waswahili.

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

We need to recheck our national values and basics if we need to restore true patriotism, by respecting Human Rights and Equality. Back in the days, patriotism was natural. Unlike now, we struggle to motivate people to become patriots ~ | @KiwangaFrancis #Rights4Development

yose_hoza's tweet image. We need to recheck our national values and basics if we need to restore true patriotism, by respecting Human Rights and Equality.

Back in the days, patriotism was natural. Unlike now, we struggle to motivate people to become patriots ~ | @KiwangaFrancis 
#Rights4Development

Kamigakiku ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ//๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ memposting ulang

Kumcha Bwana ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Mithali 9:10

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.